naombeni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. msouth23

    Naombeni kazi wakuu hali ni mbaya

    Habari zenu wakuu, Hope ni wazima otherwise Allah awafanyie wepesi. Lengo la uzi huu ni kuomba kazi, kibarua au shughuli yoyote halali itayoniingizia kipato. Nina umri wa miaka 27, nina elimu ya Diploma ya Information Technology ila sijabahatika kupata hata kazi ya kujitolea (mimi ni kati ya...
  2. Ushimen

    Nimegombana na waifu kwasababu ya Mudi: Naombeni ushauri wakuu

    ...... ......... ............ Hiyo nafasi nilio acha hapo juu ni kwaajili ya salam. Ipo hivi..... Jana wakati tunatoka shambani kidogo niliona mabadiliko kutoka kwa mamaenu (waifu). Alikua mtu mwenye hasira sana, basi nikamuuliza kipenzi changu kulukoni...?? Akanijibu kwamba hawezi akawa na...
  3. A

    Naombeni msaada wakuu.

    Habari Wana bodi natumia wote ni wazima wa afya. Wakuu Ilikuwa kama mwezi mmoja nyuma nilianza kupata maumivu chini ya mbavu upande wa kulia, hali hiyo ili endelea ndani ya wiki mbili, baada ya hapo yaka potea. Cha ajabu Toka siku ya juzi maumivu Yale yameanza upya, pamoja na homa. Leo...
  4. Mr Smart Money

    Wanasheria wabobezi migogoro ya kazi naomba msaada

    Nilimfungulia kesi mwajiri wangu kwa kuniachisha kazi unfairly tena kwa taarifa ya mdomo kwa kosa la uchelewaji wa siku moja tu ~Ni tangu mwezi April ~Kesi ipo CMA hatua ya uamuzi ~Upande wa pili hawajawahi kufika kwenye hearing lakini summons wanazipokea ~Sina mkataba wa maandishi, wala...
  5. muafi

    Hiki ni nini? Naombeni ushauri nachanganyikiwa. Nimekopa Milioni 14 natakiwa kurudisha Milioni 39

    Nimevumilia ila nimechoka acha niwaambie, ndugu walimu nimekopa ABC bank shilingi milioni 14 nikatwe kwa miaka nane sawa na miezi 96, nakatwa shilingi laki nne na elfu 14 kwa mwezi. Nimeshangaa kukuta kwenye salary slip deni ni milioni 39😥😥😥, nimelia sana yaani nakopa 14M narudisha 39? Mimi...
  6. sky soldier

    Kimoja chali, naombeni msaada wenu kwa mliowahi kupata tatizo hili na mkalitatua

    Ndio uzuri wa Jamiiforums, usirl unatupa confidence ya kuweza kuomba ushauri bila aibu. Wakuu, kwa sasa umaridadi wangu kunako uwanja wa sita kwa sita kipindi cha Kwanza nacheza fresh ila kikiisha naweka mpira kwapani maana ni ngumu kurudi kipindi cha pili. Mechi ya Kwanza naipania Sana...
  7. Mizho26

    Ushauri: Ninampenda sitaki kumpoteza kwani tumeshafanya mambo mengi

    Habari zenu wanajamii ninaomba msaada wenu nilikua na mpenzi wangu niliyempenda sana na tumepanga malengo mengi sana kiasi kwamba nikatulia nae lakini wiki moja iliyopita nikakuta sms za kimapenz na mtu mwengine nilichukua maamuzi mabaya yampiga kofi moja nakumpokonya cm kwahasira lakini kesho...
  8. complexi

    Naombeni msaada wa connection ya kazi, hali yangu kimaisha imekua ngumu

    Habari wana JF, Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 24, naomba msaada wenu kwa yoyote ambae ana fursa ya kazi kutokana na fani yangu au nje ya fani yangu. Elimu yangu ni shahada ya elimu katika masomo ya sanaa (history na geography), nimejitolea katika shule moja ya serikali bila malipo na...
  9. Moronight walker

    Nomba uzoefu kwa wenye mzazi (wakike au kiume) mwenye watoto kutoka kwa wenzi zaidi ya wawili na wote wakiwa hai

    Habari jf. Naomba uzoefu wenu watu wazima mlio na watoto au watoto ambao umezaliwa kwenye familia hii. Ni zile familia ambazo Baba yako kazaa na wanawake hata 2 au zaidi ya 2 na wanawake aliozaa nao wapo hai pamoja na watoto pia. Hivi swala kama ilo kwako kama mtoto unaonaje kwenye familia hio...
  10. M

    Nimeanzisha biashara ya maziwa mtindi

    Jamn nimeanzisha biashara ya maziwa mtindi naombeni ushaur kwa wenye uzoefu. Pia namna ya kuitangaza biashara yangu njia gani rahisi
  11. J

    Ushauri: Kila ninachoomba ananipa isipokuwa muda wake, nifanyeje?

    Mimi nipo kwenye mahusiano na mwanaume yapata miaka mitatu, kabla sijamkubalia alikuwa muda mwingi tunawasiliana ila nilipoanza nae mahusiano tu alibadilika; akawa bize muda mwingi na akipata mapumziko atatumia kuangalia mpira tu. Hatuishi mbali sana ila kuonana inaweza pita mwezi mzima...
  12. Unique Flower

    Wanaume wa kiislam hii inawahusuu

    Nina swali jaman et wanaume wa kiislamu wanafunga ndoa na wanawake wanne kwaiyo anavaa Pete zote nne au kila akioa nyingine anatoa??? FaizaFoxy
  13. R

    Naomba kujuzwa haya kuhusu Homa ya Ini, Homa ya Manjano

    Habari za majukumu, Niko hapa nikiwa na kuchanganywa na vitu vifuatazo. Ambavyo ningeomba msaada 1. Kuna tofauti gani Kati ya chanjo ya homa ya Ini na yellow fiver 2. Sina maambukizi pia sijawahi chanjwa nimepata mwaliko wa safari za kimataifa, nauliza ni hospitali zipi naweza pata huduma...
  14. Ushimen

    Tupo kwenye ndoa changa, ndio kwanza inamiezi tisa na wife anaujauzito wa kwanza: Naombeni ushauri

    Wife hana tatizo lolote, zaidi kuonekana mchovu na kudeka hapa na pale. Je, mwisho wa kupiga pipe ni mimba ikiwa na wiki ngapi? Naombeni ushauri wakuu, maana nahofia kumtoboa mtoto utosi.
  15. Chale david

    Kati ya advance na chuo ipi njia nzuri zaidi?

    Kati ya kwenda hge hgk au kwenda chuo course ya bussness administration au human resource qu accountancy ipi ni bora zaid naombe msaada
  16. Lord denning

    Tumalize Ubishi: Naombeni Ushahidi wa Uuzwaji wa Bandari

    Kama kawaida yangu Lord Denning a.k.a kiboko ya wafiwa a.k.a kiboko wa ufipa fc na kiboko ya wapotoshaji leo nakuja kwenu wale mnaodai Rais ameuza Bandari zetu Swali langu kwenu. Upo wapi uthibitisho/ ushahidi wa Bandari zetu/ yetu kuuzwa? Msisitizo: Sitaki longolongo , naombeni uthibitisho...
  17. draxer777

    Msaada: Tofauti kati ya kozi ya civil and transport engineering na civil engineering ni ipi?

    Wakuu naombeni kufahamu course ya civil and transport engineering na civil engineering tofauti wa hizi course ni nini?
  18. Hamza Nsiha

    Naombeni ushauri kuhusu kuoa

    Ndugu wana JamiiForums ninapenda kuomba ushauri hivi nikitaka kuoa nizingatie sifa zipi (characteristics) Kwasababu hivi sasa hakuna ndoa imekuwa ni complex organization ambayo inaundwa na vipengele vidogo vidogo vingi. Unaweza oa kwa kuangalia hiki, then mkashindwana kwa kile. Hivyo basi...
  19. MrWings

    Hey naombeni ramani ya kufika maeneo haya nakuja Dar Jumatatu

    Jamani naombeni mnipe ramani, yani nakuja Dar natokea Njombe. Natarajia kuingia Dar stand ya Magu saa 1 usiku naombeni mnielekeze guest( cheap) ya karibu na pale. Kesho yake nitatarajia kwenda K,koo - hapa naomb mnitajie ntapand hiace zipi Hadi nifike Kariakoo(yani Ile center ya biashara)...
  20. U

    Mliowahi kutumia pig booster kwa kuku naombeni ushauri hapa

    Mimi ni mfugaji mwanafunzi kuna mdau anadai pig booster ikitumiwa kwa kuku,kuku huwa na maumbo mithili ya nguruwe! Mliowahitumia hiyo kitu kwa kuku,naomba mnielimishe,mlitumiaje na kwa kuku wa umri gani!!
Back
Top Bottom