Wakuu wangu habari za wakati huu..
Naombeni msaada wa haya madude. Hapa chini
Nataka niwe na kunywa chai ya star anise na nimeenda sokoni kununua star anise. Cha kushangaza wakati na peruzi peruzi kabla sijanywa nikakutana na hili tishio huku lisemalo star anise za kichina ndiyo salama...
Huu ugonjwa ulitutokea wate mimi na mke na watoto Ila nimetumia dawa mbalimbali lakini huu mwezi wa tatu naona tunaendelea kujikuna
Hasa kwa watoto wangu hasa pia usiku wanajikuna Sana tulienda hospitali hawakutupima Ila tu tuliambiwa dawa za kununua za kuchua.
Kama Kuna mtu anisaidie maana...
Mi nina wito sana wa kuwa nun ila baba yangu mzazi ni padre na hataki ajurikane kama yeye ndo baba yangu. Sasa nikituma maombi si lazima details zangu zote wazijue? Na je itakuwaje
Habari zenu ndugu zangu.
kama nilivyojitambulisha mimi ni mhitimu wa shahada ya ualimu wa somo la kemia na biologia mwaka 2020 na G.P.A ya 2.9
Nina uwezo mzuri wa kufundisha vidato vyote (form 1 mpaka form 6) na vyuo vya kati pia.
Nimefundisha shule kadhaa za sekondari kabla ya kuingia mazima...
NAOMBENI NIFUNGE MWAKA KWA POST HII; SPIRITUAL CLEANSING AND HEALING (KUITAKASA, KUISAFISHA NA KUIPONYA ROHO NA NAFSI YAKO)
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Kuhani Katika Hekalu Jeusi.
Nataka uuanze Mwaka 2025 roho yako ikiwa Safi umeitakasa ili mambo yako yakuendee. Usijesema Mtibeli ni...
Habari zenu, Kwa kweli naomba mnipe ushauri maana ni siku ya tano sasa sili wala silali mpaka nimeamua kuja mbeli zenu mnipe Masada WENU
Maana naona sasa naenda kupata tatizo la moyo.
Kisa kiko hivi mm nimeoa Kwa ndoa kabsa na ndoa ina miaka 3, tumebahatika kupata mtoto mmoja, Mimi na mke...
Habari za mda huu
Nina million 1200000 wazo la biashara nililolipata ni kununu a pikipiki ya laki 8 alafu pesa inayobaki ninunue nguo za ndani za wadada na vigauni vikali niwe nawatembelea masaloon na kuwauzia je kwa hilo wazo nitafeli?
Maana nitakuwa na pikipiki nitakuwa na uwezo wa kuuza...
Baada ya kuona watu wanazisifia sana hizi series mbili ikabidi nizitafute.
Itoshe kusema breaking bad ni bonge la series.
Game of thrones nayo iko vizuri japokuwa sio kama breaking bad.
Msimu huu wa sikukuu naombeni list ya series kali za hivi karibuni,
Natanguliza shukrani
Wakuu naomba kufahamu maana hizi pangua za hivi karibuni zimesababisha nivurugwe sielewi elewi naomba kwa anaefahamu anifahamishe vizuri.
Hivi Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu kwa sasa ni nani?
Naombeni kumfahamu wakuu Waziri anaeshughulikia masuala ya...
Habarini wanajukwaa hili,
Kama mada inavyojieleza ni kwamba mwanangu wa kiume umri mwaka 1 na nusu kwa mwezi sasa anasumbuliwa na mgolo kutoka nje, kila anapojisaidia haja kubwa.
Nilimpeleka hospitali lakini nilimshangaa Daktari anaonekana kutotambua ugonjwa huu.
Baada yakumwelezea,bpia...
Wakuu baada kupambana hapa Tabora na kutokuona mwelekeo wowote maisha nimeamua niende Zanzibar. Sasa nimekuja hapa mnipe muongozo jinsi ya kuingia Zanzibar nataka niende huko nikatafute KAZI ZA UJENZI. Pesa niliyonayo Kwasasa niliyosevu ya kunifikisha huko kutoka Tabora na matumizi mengineyo...
Sorry, za muda hu waungwana, nimepata mkopo mahali flani wa pesa taslim laki tatu, sijui na sielewei naifanyia nini,!! Maan marejesho kila baada ya wiki mbili kwa miezi sita, Naombeni ushauri 🙏
Habari zenu humu jukwaa hili la utambulisho.
Nilikuwa na uwezo wa kuposti jukwaa lolote ila nikaona si vyema na si jambo la busara kupost bila kupitia huku.
Naomba mnikaribishe na mnionyeshe pacha wangu Miss Natafuta
Habari za asubuhi wapendwa.
Kijana mpambanaji miaka 28 nimekuja Dodoma kupambana ila hali imekuwa tete nimeshindwa kiukweli naomba kama kuna mwenye ramani ya kazi au kibarua dodoma naomba msaada.
Angalau niweze kumudu gharama za kukaa hapa Dodoma. Nipo tayari kuwasaidia fundi au kufanya...
Naombeni mnitajie app ha kudownload music naona Vidmate inanizingua Kila nikidownload nyimbo inaishia nusu naona kama app hii imeshakua mizinguo inakera
Naombeni kazi ya uuguzi
Mimi ni msichana wa miaka 25 muuguzi ngazi ya degree mwenye valid licensure Nina uzoefu wa kutosha natafuta kazi iwe hospital au kwenye shirika au chuoni kufundisha
Mawasiliano 0620686518
Kuna mahali nimepita nikakutana na hii "Multifunctional Turntable Bluetooth Record Player with Vinyl to MP3 Converter, CD, Cassette Player, and FM Radio", bei yake 250,000/=, je is it worth it ama iko overpriced?
Hizi dude nazionaga sana kwenye movies ila sijawahi kutana nayo physically...
PEP nasikia ni maalum kwa watu ambao wanahisi wameambukizwa VVU kwa dharura.
Hata mimi kisa changu ni cha dharura naombeni PEP.
Kisa chenyewe kuna binti nilikutana naye mtandaoni. Picha zake alizokuwa ananionyesha kwakweli ni binti mzuri ambapo nwanaume yeyote lazima angehitaji atue mizigo...
Habari zenu humu, naombeni mnisaidie connection ya kazi Nina degree ya mechanical engineering, nimetoka mkoani nimekuja dar kutafuta kazi, Nina familia ,imebidi niiache nije kupambana huku, nakosa hata nauli
Msaada wenu Wana jf ,kazi yoyote halali , Storekeeper,warehouse, Service Engineer,n.k...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.