naombeni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Naombeni msaada kwenye hili

    Habari wanajamvi. Nimekuwa nikikabiliana na woodworms (wood borers) kwenye miti na mbao hasa ni wale long-horn beetles wadudu wanao kula mbao kwa muda mrefu kwa kutumia aina tofauti todfauti ya viuatilifu ikiwemo Dichlorvos(DDV), Chloropyrifos(Colt) na Imidacloprid (Twiga Prid) bila mafanikio...
  2. M

    Nimepoteza marafiki kisa mke wangu!

    Matumaini yangu mlio wengi humu ndani mlikua na weekend njema. Ni miaka sita sasa tangu nimeoa na nimebarikiwa kua na watoto wawili. Kabla sijaoa nilikua nna marafiki wengi na bahati nzuri rafiki hao angalau wanajiweza wao wenyewe na familia zao. Namshukuru sana Mungu kwa ajili yao kwa sababu...
  3. J

    Ushauri: Nimeomba kazi Polisi pamoja na Kampuni binafsi. Kwa wenye uzoefu, ni wapi niende?

    Naombeni mnisaidie ushauri, nimeapply Kazi sehem mbili, Ajira za polisi pamoja na private company as sales engineer. Kwa wenye uzoefu Ni wap niende.
  4. I LOVE YOU DUCE

    Wakuu naombeni msaada, naona msongo wa mawazo una ninyemelea

    Nadhani naingia kwenye msongo wa mawazo, nahitaji neno la faraja kwenu wa TANZANIA wenzangu, ndugu, kaka, dada, mama na baba zangu. Wakuu juzi, niliwashirikisha juu ya dhiki ya njaa Inavyotaka kuniua (mwezi wa nne sasa na kula mlo mmoja tu tena wakati wa usiku). Sasa hapa nimemaliza Kuweka...
  5. blessed chiqqah

    Ukimuomba hela kila siku hana

    Habari ya jioni wana Jf poleni na mihangaiko ya hapa na pale, Baada ta kupoteza Id yangu ya zamani nilisema sitarudi tena Jf ila kwa hili imebidi nije mwenyewe. Naombeni mnipe ushauri. Nimekuwa kwenye mahusiano na huyu baba kwa takribani miaka 5 sasa (japo yeye ni mume wa mtu) tulianza kama...
  6. Mwanamke wa mithali 31

    Naombeni wazo la Biashara kwa mtaji wa kati ya Milioni 2-3 kwa Dar es Salaam

    1: UWAKALA WA MITANDAO YA CM M-pesa Tigopesa Airtel money Halopesa 2: Duka la maziwa fresh+mtindi + juice fresh 3: Banda la chipsi + vinywaji ANGALAU KWA MWEZI NIINGIZE 300,000 TU (300,000)
  7. GenuineMan

    Naombeni Mbinu za Kumtongoza Mdada hapa JF

    Katika harakati za mitandaoni, unajikuta umemwelewa mdada/mwanamke hapa JF. Humjui sura, umbo, wala tabia yake ila moyo unamkubali tu. Unajiuliza nini hiki sasa. Sio mbaya kujaribu pengine ikawa kweli. Basi unajaribu kuzama PM unakuta imefungwa. Kumuanzishia thread haijakaa poa. Hapa najua...
  8. BUSH BIN LADEN

    Wataalam Wa Mawasiliano Naombeni Ufafanuzi

    Hizi cable/mkongo wa internet unaodaiwa kukatwa chanzo chake ni wapi hadi kutufikia hapa Tanzania? Ila pia mawasiliano ya sasa tunaambiwa ni wireless, sasa kama kuna cable zinapita baharini kuja kuwezesha mawasiliano hapo u wireless unatokea wapi? Mwisho kabisa kwa walio wahi kutumia simu za...
  9. B

    Unatakiwa kufanya nini baada ya kumfikisha polisi mtu aliyekufanyia vurugu na kukujeruhi?

    Mtu akikufanyia fujo na kukujeruhi kwa kutumia silaha (Chupa za soda zilizovunjwa) unatakiwa kufanya nini baada ya ya kumfikisha kituo cha polisi? Je, hii ni aina gani ya case?
  10. pet geo pet

    Naoa mwezi wa nane, naombeni ushauri

    Wakuu habarini...??niende kwenye mada moja Kwa moja. Nimejaribu kupambana na haya maisha toka nimalize chuo mwaka 2018 lakini mpaka sasahivi bado sijajipata. Lengo langu nilitaka nipate maisha kwanza ya kujitegemea ili badae nioe lakini naona umri unazidi kwenda na maisha bado magum sana kwenye...
  11. africatuni

    Nataka kufungua Kiwanda cha Peanut Butter, naombeni uzoefu!

    Habari zenu wana jamvi. Hope this thread finds you well. Bila kupoteza muda, naomba niruke kwenye mada moja kwa moja.. ninaomba uzoefu katika nyanja tofauti tofauti za uendeshaji wa kiwanda cha peanut butter, Kama vile upatikanaji wa Mashine bora na bei zake. Changamoto?? Masoko?? n.k Nipo...
  12. U

    Naomba msaada wa ajira yoyote. Nina shida ya usikivu hafifu

    Habari za Uzima Ndugu zangu. Mimi ni Kijana wa Kiume Mwenye Umri wa Miaka 26 Nina Usikivu Hafifu. Hali hii imenifanya Nakosa Kazi / Mishe. Juzi Niliitwa kwenye Usaili Kwenye Kampuni Ya Ulinzi Ya "Ws insight Security" iliyopo Msasani. Usaili Nilifanya Vizuri Lakini walipogundua Nina Usikivu...
  13. M

    USHAURI: Nahitaji kurudia mitihani ya Kidato cha Nne katika michepuo ya sanyansi

    Nahitaji kurudia mitihani ya kidato cha nne katika michepuo ya sanyansi. Naombeni msaada wapi nitapata walimu wazuri.
  14. Mtu porii

    Nasumbuliwa na maumivu upande wa kushoto

    Nasumbuliwa na maumivu upande wa kushoto yaliyonianza baada ya kuumia uwanjan wakat nacheza mpira.. Wakati nimeruka juu mchezaj wa tim pinzan alinipga maeneo ya kifua upande wa kushoto.. Nilienda hosptal nikapiga X ray, nikapima vidonda vya tumbo..nkiawa sina na X ray haina shida.. Nikaenda...
  15. The dumb Professor

    Naombeni msaada: Nimeng'atwa na mjusi shingoni

    Dakika kumi zilizopita nilikuwa nimekaa chini ya mti nakula upepo, mara ghafla kamjusi kadogo kakaanguka kutoka mtini na kutua shingoni. Kamening'ata na sasaivi shingo imeanza kuwasha na kuvimba. Naogopa kufa, bado sijapublish theory yangu ya Everything...naombeni msaada Jf doctor:Floshed:
  16. ndege JOHN

    Nifanyeje kuweza kufanya cheku-up ya figo na ini kwa bima wakati sina tatizo au dalili yoyote ya ugonjwa?

    Habari za asubuhi, Nimesafiri kuja mkoa fulani kuna Taasisi kubwa ya afya nzuri Sana mimi ni mla pombe wa kiwango cha 5G Kwa muda mrefu nimekuwa nikitamani kuziacha na nadhani huu ndo muda sahihi ingawa sijaona bado Madhara ya kiafya zaidi ya kiuchumi na kijamii pekee.. So ili niache Kwa amani...
  17. Mhaya

    Naombeni majibu: Mnaosema hawa sio wana wa Israel. Je, waisraeli asilia walienda wapi?

    Jamani naombeni elimu. Na mimi nikae niwasikilize. Nasikia mnasema Israel hawa sio wale waliochukuliwa na Musa kutoka Misri kwenda Canaan. If so, okay, wale wa Musa wapo wapi? Waliishia wapi? Na hawa wapya wametoka wapi? Daudi alitaka ajenge hekalu la Mungu, Mungu akamzuia, akamwambia mikono...
  18. Gol D Roger

    Wanawake naombeni mnipe elimu juu ya hili swala

    Habari 👋 Wakuu naombeni mchango wenu, ni swala linalohusu mahusiano. Nipo katika mahusiano na mwanamke(22) ambaye juzi nimetoka kumtoa bikra. Cha kushangaza ni kwamba maumivu kwake hayakati, hii ni mara ya nne sasa tunafanya mapenzi lakini bado anasikia maumivu, hii ni hali ya kawaida?? Mara...
  19. azithromycim

    Ushauri: Mwajiri anataka vyeti pamoja na leseni (original) ili anisajili kwenye kituo chake, hii ni sahihi? Nitaweza kuajiriwa serikalini?

    Habari za asubuhi Wana jamiiforums, Nimatumaini yangu muwazima wa afya. Wakuu mimi ni afisa tabibu yaani clinical officer ninafanya kazi katika kituo x cha afya cha private na Sina mkataba wa kazi na muajiri wangu. Ila cha kushangaza muajiri wangu anataka nimpatie vyeti vyangu vya taaluma...
  20. ndege JOHN

    Naombeni maoni yenu juu ya biashara ya water refilling station vyuoni.

    1.bei ya Hizo water ATM 2.zinapatikana wapi nchini 3.changamoto zake na faida zake 4.mahitaji yake (leseni? Vibali? N. K)
Back
Top Bottom