naombeni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Trophic

    Kwa Wadau Wote Wa Muziki Humu: Naombeni Feedback Yenu [Zoom]

    Hello JF especially wadau wa muziki. Here's my new track; inastahili marks ngapi kati ya hizo kumi? Elements zipi niziadapt/nizibadili/niziongeze kwenye mix zijazo? Natumia Fl Studio + Ableton Live. Kuhusu style ya mziki, bado siko sure hii ni aina gani, but the whole idea ni kuunda...
  2. MrsPablo1

    Naombeni ushauri nataka kujifunza Data analytics Online

    Mimi ni mwanamke nipo below 35yrs ,nilikuwa natafuta skills mpya ya kujifunza ndiyo nikajipata kwenye hiyo data analytics, mimi chuo nimesoma procurement&supplies management je nitaweza kutoboa kwenye hiyo course ya data analytics au ni course ya watu wale vipanga wa PCB? Please ushauri wenu...
  3. Barnaba Fumbo

    Naombeni ushauri wenu

    Kuna mdogo wangu alisoma PCB form six akafaulu kwa div one. Aliomba chuo mwaka jana course za afya lakini hakufanikiwa akadai ataenda chuo mwaka huu 2024/2025. Mwaka huu anasema anataka akasome course moja wapo kati ya hizi. 1. Bachelor of Computer science 2. Bachelor of Chemistry 3...
  4. N

    Naombeni taarifa za UVUMI kilosa

    Habari wakuu,natumaini jumapili imekaa vyema kwenu. Sasa ndugu zangu nimekuja kwenu tena,nina shida ya kupajua vyema UVUMI morogoro,naomba kwa anayepajua vyema atupe taarifa za muhimu,maana nataka niende huku kulima,sasa nataka kujua mazao gani yanatoka sana,maisha ya huko,chumba bei gani?? Na...
  5. P

    Naombeni mbinu jinsi ya kuwa bahili, kubana bajeti

    Jamani, Naombeni mbinu za kuwa mchumi, nisitumie pesa hivyo, hali hii inanitesa sana. Natafuta pesa kwa taabu mnoo. Yaani kuipata Ile 20,000 NI kazi Sana lakini nikiwa na pesa matumizi yangu ni mabya mnoo. Yaani mwezi December Hadi February nafikir nimetumia zaidi ya 1M. Juzi Jana na leo...
  6. haszu

    Naombeni tricks and tips za kumtunza mke wangu

    Nataka mke wangu siku zote awe soft, young elegant and flourishing, sitaki aonekane mzee, Naombeni uzoefu kuanzia moangilio wa uzazi na mambo mengine Shukran
  7. K

    Ushauri: Aende kidato cha tano au chuo?

    Jamani naombeni munisaidie ushauri mwanangu amemaliza form four na amepata division two ya kumi Na nane masomo ya science. Je, nimpeleke chuo Moja kwa moja au aendele na form five.
  8. Mtu porii

    Mke wangu msaliti

    Nina mchumba angu tulipanga mwezi wa tatu niende kwao nikajitambulishe ila kuna kosa analifanya hajataka kubadlika. Mwezi wa tisa alichat na mhuni nikamkanya na alilia sana wakati anaomba msamaha, nikasamehe. Mwez wa kumi karudia the same nkaamuru abadili namba ya simu akafanya hivyo. Juzi...
  9. G

    Naombeni msaada wenu, Kila mwaka inabidi niende TRA kufanyiwa makadirio ya duka?

    Habari zenu jukwaa la biashara, nina duka nilifungua mwaka jana kuna rafiki alinisaidia kukata vibali vya TRA ila kwa sasa hayupo. Mwaka jana nilihusika tu kwenye kulipia zile kodi za kila baada ya miezi mitatu. Sasa kwa mwaka huu nimejuzwa kwamba inabidi niende kufanyiwa makadirio upya. Je...
  10. P

    Naombeni wazo la Biashara

    Kwa mtaji wa 3mil naweza kupiga business gani hapa Dar es salaam? Hii 3M sijapewa na mtu. Ni Katika harakati zangu za kutafuta since 2022 hadi leo ndiyo niliweza kuweka Chochote ninachopata, mpaka imefika hiyo. Mimi nilikua na mawazo ma 2 La kwanza biashara ya mazao. Na la pili biashara ya...
  11. Phdum

    USHAURI: Mdogo wangu amekataa shule, nataka nimtafutie fani ya ufundi asiwe mzigo mbeleni

    Naombeni ushauri kuhusu mdogo wangu wa kiume ambaye hajamaliza hata shule ya msingi na sasa amekuwa mzigo, kwani mawazo ya kusoma hana. Nataka nimtafutie fani (ufundi) ili mbeleni asijekuwa mzigo, kumbuka ni miaka 18+. Naombeni ushauri wa fani inayoweza kumfaa na labda pia kama mnajua chuo cha...
  12. Jasor

    MSAADA: Naomba uzoefu kwa wanufaika wa scholarship au yeyote mwenye ujuzi wa masuala ya kusoma nje

    Nina ndoto ya kusoma nje ya nchi naombeni ushauri kwa wale mliowahi kunufaika na full funded scholarship. Mliwezaje na vitu gani nianze kujiandaa navyo ili niweze kupata na mimi nitimize ndoto yangu?🙏🙏
  13. S

    Naombeni ushauri nisome kozi ipi nzuri kwa ufaulu huu

    Natanguliza shukrani, Naomba mnishauri ni Kozi ipi nzuri zaidi naweza kusoma kutokana na ufaulu huu. CIVICS"D" ENGLISH"C" GEOGRAPHY"C" KISWAHILI"C" HISTORY"C" BIOLOGY"C" CHEMISTRY"C" PHYSICS"F" MATH'S"F" Division III:22
  14. S

    wadau ninashida naombeni mnisaidie

    wakuu kila sehemu ninayofika mademu wanachanganyikiwa hasa wale warembo sana yani unakuta kama nimeenda sehemu kupata huduma mademu wote wahilo eneo wanaojihisi niwarembo hasa wanajipitisha mbeleyangu hatamke wangu nimempata kwastail hiohio sikumtongoza Wala nini nakumbuka nilienda...
  15. She Quoted you

    Naombeni ushauri: Nilichezea mshahara wa milioni 10

    Habari wanaJf, Mwezi wa 6 mwaka Jana nilipata kazi NGO moja huko Kigoma as a purchasing officer, nikilipwa mshahara+ Bonus + madili nilikuwa naingiza average ya million 10 kwa mwezi. Pale walinipa short contract ya miezi 6 maana mradi wao upo kwenye closing phase. Mkataba wangu umeisha...
  16. TUKANA UONE

    Kwa Mlioangalia Movie ya "OPPENHEIMER" naombeni mniambie kuna jipya gani huko? Naona kwenye tuzo za kimataifa inajinyakulia mituzo yakutosha!

    Salamu nimemwachia GENTAMYCINE na ndugu zake wa Butiama & Nyamuswa!, Kwangu mambo yote ni Shega! Ndugu zangu naomba walio angalia movie ya OPPENHEIMER waniambie ni movie inayohusu kitu gani maana mimi huwa ni mgumu wa kuangalia movie hasa za huyo jamaa maana naonaga kama hakuna anachoweza...
  17. Minjingu Jingu

    Niliwahi kosea jambo hili kwa Mwanamke, leo sitaki rudia. Naombeni msaada

    Mwaka jana nli kutana na dada mmoja ambaye mtu wangu wa muda kidogo. Actually mimi ni mtu ambaye nazingatia sana masuala ya usafi kwa mpenzi. Shida ya kwanza ikawa mdada amekuja Hotel ananuka jasho. Hili suala likawa limeanza kunipa changamoto. Pia ana bad breath. So obvious siwez mkiss...
  18. Mhaya

    Naombeni mnikumbushe tena maana ya maisha

    Huenda mimi ni mmoja kati ya wale watu wanaosahau mambo haraka, kwa jinsi mambo yanavyosonga ni wazi kabisa nakosa maana halisi ya neno Maisha. Navurugwa na kupata mtungo wa maswali ndani ya kichwa change, nakosa majibu nabaki nakuna kichwa kwa mishangao mikubwa mikubwa. Unaweza kupata mgonjwa...
  19. GENTAMYCINE

    Naombeni Picha zozote za Makomandoo wa Israel, Marekani, China, Russia na Rwanda wakiwa na Fire Extinguishers Miilini mwao

    Mkiambiwa hamna Akili mnaninunia!
  20. N

    Mafundi naombeni mnishike mkono mimi saidia fundi

    Habari za muda huu wanajamii nimerudi tena, Jamani kama kuna fundi yeyote atakae saidia fundi nipo tayari kufanya ili namimi niweze kupata ujuzi.
Back
Top Bottom