Wanajamvi najua itakuwa strange kidogo, kwasababu kila mtu katika maisha yake kuna kitu anaitaji kuki achieve.Na mimi kiukweli natamani kupata european woman wa kuzaa nae achana na io mi shangazi hapana kwakeli ni wale age ya kawaida tu.
Naisi hii ilisukumwa sana na mamdogo angu ambaye...
Salaam wakuu.
Katika harakati za kutafuta kipi ni fanye baada ya masomo yangu ya ualimu hapo mwezi wa Saba, nimetoka Leo kuongea na Moja ya shule ya kanisa katoliki hapa jijini( niliwatumia letter of interest Leo wakaniita).
Wamenambia kuwa baada ya kumaliza chuo nifanye kazi nao kwa miezi...
Edit: Nimshukuru thesym kwa kuweza kushare nasi link muhimu yenye vitabu kibao, nimeweza kupata vitabu nilivyohitaji nawe waweza kujaribu.
link ya vitabu
Salaam,
Katika harakati zangu za kusaka tonge, yupo jamaa ambae nilifahamiana Naye katika biashara, tukawa tumezoeana hadi ikafikia kipindi akiwa na shida na hela namuazima ila anaacha gari yake kama bond, akienda akasupply mizigo yake akilipwa ananirejeshea pesa zangu na yeye anachukua gari...
kaka habari yako pole na majukumu,nakuomba uni postie hili Jambo linanisumbua Sana naomba nipate ushauri wa watu wengi moyo wangu upone lkn naomba unifichie jina langu..
Kaka sasa liko ihvi, mimi nimeoa mwaka 2014 mpaka sasa Niko na watoto wa3 watoto wangu nawashughulikia kama Baba vizuri...
Habari zenu ndugu zangu Mimi ni kijana wa miaka 23 na nimekua na matamanio ya kufika ng'ambo (ughaibuni) kwa muda mrefu Sana kwa sababu ya kupambana na hali ya kiuchumi (umasikini) Sasa katika pita pita zangu online nikakutana na jamaa mmoja anazungumzia website moja inaitwa Indeed na hii...
Edit: Matumiz ya Tv kwa watotot Cartoon na games (playstation)
Mimi nimeona nianze kuweka vitu vya ziada kwenye flash, hizi katuni zimekuwa too much sasa na sioni faida yake.
Video nilizoanza nazo nimeona niziweke zifuatazo, walimu wanafundisha kwa vitendo zaidi kuliko kuongea hivyo inakuwa...
Habarini ndugu watanzania.
Ninaelekea Pemba kufanya study ya masuala ya mwani, majongoo bahati n.k nikitokea Tanga. Wazoefu na wenyeji wa huko naombeni uzoefu wa kimazingira, tamatuduni, hotel za bei nafuu, price za gari ndogo ya kukodi + driver wakati nikiwa huko na vitu vingine muhimu...
Wanaspoti wenzangu kutokana na kilichototokea leo naombeni nipewe ratiba ya Vipindi vya michezo kwa Siku ya kesho kwa redio zote.
Lakini ningependa kushauri wanaspoti wenzangu hasa wale wayanga, tusikose kipindi cha hawa Manguli wa michezo hapo kesho.
Natanguliza shukrani.
Wadau wa JF,
Naomba kupitia thread, watu mtupe elimu na watu wajifunze namna ya kuweka order, kulipia, na kusafirisha (shipping) bidhaa kutoka kwa manufacturer kwenda Dar kwa usalama zaidi.
Tafadhali tuweke ma consideration kwa mtu anayechukua pisi zaidi ya 10 kwenda juu kupitia Alibaba...
Wakuu habari za jioni.
Ni mimi kijana mzalendo wa taifa langu, pia mwanafunzi hapa mlimani , ndugu Wana jf nahitaji kuonana na MH: Daktari Samia Suluhu Hassan nipo na project proposal ya muhimu Sana ambayo itakwenda kuliokoa taifa hili na watu wote kwa ujumla.
Najua wengi mtanidhihaki Lakini...
Habari wanajamii naomba msaada wenu, miaka takribani mitano nyuma nilikuwa kwenye mahusiano ambayo yalipelekea kuwa mzazi wa mtoto mmoja wa kiume.
Kiuhalisia maisha hayakuwa mazuri sana ila tulikuwa na furaha na tuliishi kwa kupendana sana. Safari yetu ilikuwa nzuri kiujumla, lakini ikatiwa...
Wadau, nakumbuka Rais Samia Suluhu Hassan aliwahi kusisituza vijana kucheza Bitcoin. Kuna kampuni ya Bitcoin imeniimgiza huko. Na inanitaka nianze Kwa kuwekeza $200 kwamba nitavuna $360. Je Kuna ukweli wowote katika Bitcoin?
Wanasema uwoga wako ndiyo umaskini wako....... Najiona mjinga,mpumbavu na nisiyekua na akili..... Mimi ni binti, wa 20+. Nimehangaika mnoo hapa nilipo Nina 2.5 MIL. Ambayo nimeipata ndani ya mwaka 1.5 kwa taabu mnooo. Kwakudunduliza kidogo kidogo. Huku na huko.......
Mimi natamani kuwa Yule...
Natumaini wote nyie ni wazima,
Well, naombeni mawazo yenu kwenye changamoto yangu hii ndogo, next week natarajia kuwa na kumbukizi yangu ya siku ya kuzaliwa
Nilipanga niende Zanzibar ila hii weekend nimewaza nikaona hakuna sababu ya kurudi kule na nilienda tu December hapo. Sasa basi, naombeni...
Mkuu wa Mkoa wa Jiji kuu la Dar es salaam, mpeni jina zuri kanisa kutokana na kauli zake!
Mimi namuita Profesori.
Hiyo mikoa mingine ambayo hakuna umeme nako ni miundombinu ama umeme umekataa kuingia kwenye mabwawa?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.