Kwenye hizo bilioni 730 za ElNino mimi naombeni bilioni 30 tu

Ponjoro wa Kinondoni

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2024
Posts
3,771
Reaction score
10,311
Wakuu kuna kipengele hapa natakiwa kupata bilioni kadhaa chap. Sasa kwakuwa mvua za El Nino ni kama zimekaidi, naomba Samia aniwekee bilioni 30 kwenye account yangu ili nivuke hiki kikwazo.

Bilioni 700 zitakazobaki mtaamua kama taifa mzifanyie nini mimi msinijumuishe huko kabisa.

Kama kuweka kwenye account ni mlolongo mrefu basi amtume Abduli au Mafwele aniletee hapa Mbagala Rangi 3 kona Bar.
 
Hizo hela ni nyingi, zitatumika kidogo na zitakazobaki walafi watagawana, hazitarudi hazina. Zinatumika kimtindo kama vile kuwasogeza wamachinga na mama lishe waliojipaki kando ya vibarabara na vinjia vya mijini kwa hoja kwamba wameweka biashara zao yanakopita maji, kuzibua mifereji na mitaro, mafunzo ya kuzugia uokoaji majini na abrakadabra zingine za upigaji hela. Mbaya zaidi el nino isipokuja ndio basi hela zitakuwa zimeishia mifukoni mwa wajanja kwa kisingizio cha kujihami na el nino
 
Wamesema El nino imeanza toka mwezi wa nne, ulikuwa wapi hela zimeisha?
 
Wakuu kuna kipengele hapa natakiwa kupata bilioni kadhaa chap. Sasa kwakuwa mvua za El Nino ni kama zimekaidi, naomba Samia aniwekee bilioni 30 kwenye account yangu ili nivuke hiki kikwazo.

Bilioni 700 zitakazobaki mtaamua kama taifa mzifanyie nini mimi msinijumuishe huko kabisa.

Kama kuweka kwenye account ni mlolongo mrefu basi amtume Abduli au Mafwele aniletee hapa Mbagala Rangi 3 kona Bar.
1792742297860.jpeg
 
Siku za nyuma ujanani, ilisemekana kwamba eti mbwa huwa anajipelekaga mwenyewe kwa chatu na kuliwa - sijui kama kuna ukweli hapo. Ila ukweli upo kwamba wawindaji wakiwa porini kuwinda na ikatokea wakimwona chatu huwa haraka sana huwashikilia kwa nguvu mbwa wao na kuondoka eneo hilo haraka kwa usalama wa mbwa wao.
 
Back
Top Bottom