Ponjoro wa Kinondoni
JF-Expert Member
- Jan 5, 2024
- 3,771
- 10,311
- Thread starter
- #21
Si mafwele wala abduli hakuna mwenye uwezo wa kuniteka labda kama anataka kuaga duniaSiku za nyuma ujanani, ilisemekana kwamba eti mbwa huwa anajipelekaga mwenyewe kwa chatu na kuliwa - sijui kama kuna ukweli hapo. Ila ukweli upo kwamba wawindaji wakiwa porini kuwinda na ikatokea wakimwona chatu huwa haraka sana huwashikilia kwa nguvu mbwa wao na kuondoka eneo hilo haraka kwa usalama wa mbwa wao.