makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,696
- 109,218
Kachungulie usikute anamuwasha na gunia la mkaa, we upo upo tu, nenda nyuma ya dirisha uone, wameogopa kugombana mbele yako, shemeji yako kaweka muziki usisikie anavyompiga dada yako 🤣😂Nikweli kabisa mkuu, nipo kwa shemeji mume wa dada. Wao wamejifungia na wamewasha mziki kwa sauti ila mimi nipo hapa sebleni nimetulia tu mkuu