Kuna mambo nikikumbuka moyo wangu unauma sana wakuu...

Ushimen

Platinum Member
Joined
Oct 24, 2012
Posts
44,788
Reaction score
113,025
Kaniambia eti kila akiniona moyo wake unaenda mbio... mimi nikamjibu huo ni wasiwasi na hofu tu...
Kwanza nikinywa pombe kananiita chapombe, lakini nikinywa fanta hakaniiti fantastic...😂
Leo nimekajaribu kwa salam..
Mimi: mambo
Yeye: niko poa kabisa
Mimi: basi sawa kama upo poa, nilidhani haukopoa nikutumie pesa kidogo" nika kata sim" hapa naangalia sms zinavyo miminika tu naitwa majina yote mazuri....😂

Haka ni ndio kale kaliko nisevu eti "mubaba wangu"
downloadfile-2.webp
 
Ushimen Platinum member yupo JF tangu mwaka 2012. Kwa kweli JF imeshuka hadhi sana. Kuna kipindi ilikiwa platinum member akianzisha mada lazima iwe mada fikirishi. Lakini siku hizi mhhh! Sijui masharti ya kuwa platinum member yamelegezwa 😂

View attachment 3702075
Usiwe serious sana na maisha mkuu, hii ID niliinunua kwa mzee wangu na anatamani namimi nije nimuuzie mtoto wangu..🤣
 
Kaniambia eti kila akiniona moyo wake unaenda mbio... mimi nikamjibu huo ni wasiwasi na hofu tu...
Kwanza nikinywa pombe kananiita chapombe, lakini nikinywa fanta hakaniiti fantastic...😂
Leo nimekajaribu kwa salam..
Mimi: mambo
Yeye: niko poa kabisa
Mimi: basi sawa kama upo poa, nilidhani haukopoa nikutumie pesa kidogo" nika kata sim" hapa naangalia sms zinavyo miminika tu naitwa majina yote mazuri....😂

Haka ni ndio kale kaliko nisevu eti "mubaba wangu"
View attachment 3702074
Ushimen hizi siku umeanza kukaribia menopause ya kiume.Umekua mtu mzima na lazima tukufanyie send-off! Believe it or don't we, surely ,gonna do it!
 
Kaniambia eti kila akiniona moyo wake unaenda mbio... mimi nikamjibu huo ni wasiwasi na hofu tu...
Kwanza nikinywa pombe kananiita chapombe, lakini nikinywa fanta hakaniiti fantastic...😂
Leo nimekajaribu kwa salam..
Mimi: mambo
Yeye: niko poa kabisa
Mimi: basi sawa kama upo poa, nilidhani haukopoa nikutumie pesa kidogo" nika kata sim" hapa naangalia sms zinavyo miminika tu naitwa majina yote mazuri....😂

Haka ni ndio kale kaliko nisevu eti "mubaba wangu"
View attachment 3702074
Mtoto mpendwa wa Dr. Unepewa V shaped fruit, bado huridhiki
 
Ushimen Platinum member yupo JF tangu mwaka 2012. Kwa kweli JF imeshuka hadhi sana. Kuna kipindi ilikiwa platinum member akianzisha mada lazima iwe mada fikirishi. Lakini siku hizi mhhh! Sijui masharti ya kuwa platinum member yamelegezwa 😂

View attachment 3702075
1793445113582.png

Huyu ndio alijaza mtungi mkubwa wa gesi kwa kuupuliza?
 
Back
Top Bottom