Kuna mambo nikikumbuka moyo wangu unauma sana wakuu...

Kuna mambo nikikumbuka moyo wangu unauma sana wakuu...

Bro, endelea na kuchukia watu usiowajua.
Wenzako wanawekeza kwenye wealth multiplication wewe uko busy na maisha ya watu.

Wenzako tukichoka kubeba matofali ndio uchovu tunakuja JF kufurahia maisha.
Wewe na kadegree kako ka political science, Huna kazi Huna uzoefu wowote, Huna connection, Huna kitu ndio maana uko busy kuchukizwa na maisha ya watu usiowajua.

Njoo tubebe tofali huku kwa Mzee Baba
😁😁😁nina degree ya civil engineering.acha kubeba tofali zitakuuwa njoo uombe kazi nikupe hata ya kumwagilia maji sote utakufa mapema kwanini hukusoma? ujinga shuleni hadi hapa jf😁😁😁
 
😁😁😁nina degree ya civil engineering.acha kubeba tofali zitakuuwa njoo uombe kazi nikupe hata ya kumwagilia maji sote utakufa mapema kwanini hukusoma? ujinga shuleni hadi hapa jf😁😁😁
Hamna mtu aliyesoma engineering ana ufinyu wa fikra, kiasi cha kuacha kuhangaika na maisha na kuanza kuchunguza maisha ya mtu mwingine.

Kwa akili za kawaida, iweje engineer aache mambo yake ya msingi awe busy na kumchunguza mbeba matofali?

Very shame
 
Kwahio kwenye huu mtandao sisi tulio soma haturuhusiwi kuchangia humu?unaona ulivyo mjinga?

badirika mzee kubeba tofali kusikufanye kuwa mjinga.
 
Kaniambia eti kila akiniona moyo wake unaenda mbio... mimi nikamjibu huo ni wasiwasi na hofu tu...
Kwanza nikinywa pombe kananiita chapombe, lakini nikinywa fanta hakaniiti fantastic...😂
Leo nimekajaribu kwa salam..
Mimi: mambo
Yeye: niko poa kabisa
Mimi: basi sawa kama upo poa, nilidhani haukopoa nikutumie pesa kidogo" nika kata sim" hapa naangalia sms zinavyo miminika tu naitwa majina yote mazuri....😂

Haka ni ndio kale kaliko nisevu eti "mubaba wangu"
View attachment 3702074
Kwa hadhi ya cheo chako hii sio mada ya kuandikwa na wewe humu jamiiforums, hasa hiyo picha uliyoiweka pia
 
Achana nae huyo anatafuta kiki kupitia jina lako mkuu, mpotezee kijana huyo🤣
downloadfile-5.jpg
 
Back
Top Bottom