Mhandisi Mzalendo
JF-Expert Member
- Aug 23, 2010
- 8,069
- 15,029
Mkuu mbona ghafla tena si juzi uliitwa kikao ukampiga chini mbele ya maza ake?Kaniambia eti kila akiniona moyo wake unaenda mbio... mimi nikamjibu huo ni wasiwasi na hofu tu...
Kwanza nikinywa pombe kananiita chapombe, lakini nikinywa fanta hakaniiti fantastic...😂
Leo nimekajaribu kwa salam..
Mimi: mambo
Yeye: niko poa kabisa
Mimi: basi sawa kama upo poa, nilidhani haukopoa nikutumie pesa kidogo" nika kata sim" hapa naangalia sms zinavyo miminika tu naitwa majina yote mazuri....😂
Haka ni ndio kale kaliko nisevu eti "mubaba wangu"
View attachment 3702074