wakuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Zero IQ

    Wakuu bikra Bado zipo,Nimekutana na Moja Kwa mtoto wa kichaga

    Kama kawaida katika harakati zangu za uchakataji wa papuchi wakuu , Hamuwezi amini Nimekutana na Bikra ,Kwa mara ya kwanza ndani ya miaka 7, awamu hii ndio nimekutana na Bikra,sio Bikra tu ni Bikra Kwa mtoto wa kichaga, Ni kama utani ila ndio hivyo wakuu nimeipasua Bikra ya mtoto wa kichaga ...
  2. M

    Wakuu nisomee mtambo gani nini kati ya TOWER CRANE au MOBILE CRANE?

    Wakuu nimemaliza chuo kikuu mwaka Jana, Nimepambana kwenye kazi za ujenzi za Mtaani nimeweza kupata pesa kiasi cha laki nane[800,000 Tsh] tu. Sasa nimekuja hapa mnipe ushauri nikasomee mtambo gani kati ya TOWER CRANE au MOBILE CRANE na upi kati hiyo kupata kazi inaweza kuwa rahisi au ina uwanda...
  3. M

    Nisome mtambo gani kati ya TOWER CRANE au MOBILE CRANE wakuu?.

    Wakuu nimemaliza chuo kikuu mwaka Jana, Nimepambana kwenye kazi za ujenzi za Mtaani nimeweza kupata pesa kiasi cha laki nane[800,000 Tsh] tu. Sasa nimekuja hapa mnipe ushauri nikasomee mtambo gani kati ya TOWER CRANE au MOBILE CRANE na upi kati hiyo kupata kazi inaweza kuwa rahisi au ina uwanda...
  4. Mwangi T.

    Habari wakuu!? Naomba kujua matibabu ya Toki, uvimbe wenye maumivi juu ya paja unaotokea wakati fulani unapopata jeraha au maumivu mguuni.

    Kama Headline inyosomeka hapo juu tafadhali kwa mwenye ufahamu!
  5. B

    WAWEKEZAJI wakuu katika mradi wa gesi kimiminika (LNG) Tanzania, wachagiza mchakato uharakishwe

    WAWEKEZAJI wakuu katika mradi wa gesi kimiminika (LNG) wahimiza Tanzania iharakishe mchakato, mradi Uanze https://m.youtube.com/watch?v=29vTb7IfVy4 Katika viunga vya mkutano huo wa Wiki ya Nishati India ( IEW India Energy Week) naibu waziri mkuu aliye waziri wa nishati mheshimiwa Dr. Doto...
  6. Braza Kede

    Eti wakuu mume aliyesahau kinga (kondomu) kwenye mfuko wa suruari yake ni kufokewa kweli?🤔

    Eti wakuu mume aliyesahau kinga (kondomu) kwenye mfuko wa suruari yake ni wa kufokewa kweli? Unarudi home mtu kaiona tu basi imeshakuwa nongwa anabwata siku nzima hadi majirani wanasikia. Hivi wakuu huyu mume si wa kupongezwa huyu, maana anamaanisha anaijali familia yake hataki kuiletea...
  7. Msaga_sumu

    Wadau wenye uzoefu na maduka na hizi stores za kawaida hivi hawaitaji mtu anaeweza kua anafanya stock taking

    Ni muda sana sijaandika uzi, wakuu kwanza habarini, Aseh mimi ni muhitimu wa chuo cha fedha hapa Tanzania, nimesoma masomo ya uhasibu na IT, nImekua nikijihusisha na shughuli za hapa na pale ila Mungu si Athumani napata chochote kitu. Wazo langu bi kufungua consultation firm lakini kwa sasa...
  8. Delacruzito

    Wakuu nimepunguza bei mpaka 250k

    Pc yangu ile nimepunguza bei maana inaonekana bei ya mwanzo ilikua mkasi sana. Hp probook Proccessor Intel-pentium inside (7thgeneration) Ram 8Gb HDD 500Gb Batrery 4hrs Price 250k 0628116693 Dar Es Salaam
  9. Delacruzito

    Wakuu nauza hp probook mali yangu binafsi

    Hp proboook Proccessor intel-pentium inside (7thgeneration) Ram 8gb HDD 500gb Battery 4hrs Price 280k 0628116693 Airport Dar Es Salaam
  10. Delacruzito

    Kwahiyo ndo hamtaki kununua Pc yangu wakuu? Price 280k mshindwe nyie sasa.

    Pc bei kigonga kabisa 280k. Hp Pro book. Proccessor Intel-Pentium (7th Generation) Ram 8gb, Hdd 500gb, battery 4hrs uhakika. Price 28k maongezi yapo 0628116693
  11. issac77

    Wakuu META wamepita na account yangu ya WhatsApp Business

    Kwakuu hii ni ban ya muda au wamefuta kabisa... Dah hapa kichwa kinawaka hela yangu imeenda hivi hvi
  12. M

    Hii chartGPT inatisha sana wakuu ni Next level

    Yani wazungu bana hii chatGPT wametuweza sana, hata hivyo wakuu, hii kitu isifananishwe na Ile takataka ya wachina kabisa. Chatgpt ni next level . 🤣🤣🤣.
  13. Nyamwage

    Wakuu naweza kujiunganisha na huduma ya eSIM mimi mwenyewe nikiwa home au mpaka niwafate vodacom ofisini kwao

    Uzi tayari
  14. D

    Wakuu nisaidieni, hivi zamani pia jukumu la mwanaume lilikua pia kusaidia familia ya mkewe?

    Wakuu thread tajwa izingatiwe. Hata nikijaribu kujifariji, ila ukweli unasimamia kua, kuoa kunaongeza utegemezi Kwa mwanaume. Ili limepelekea wengi , hasa tunaotoka familia duni na uwezo wa kati kutopiga hatua mara baada ya kuoa. Kuna wimbi kubwa sana la kijana wa kiume kubebeshwa majukumu...
  15. scot mcomic

    Ni kitu gan kinanisumbua wakuu msaada tafadhali

    Wakuu habarini za weekend nisipteze muda sasa ni wiki ya tatu sasa napata kiungulia kikali, kizungu zungu yaani kuna muda nikisimama kama naona naanguka hivi, lips zinauma mara nyingine kichefuchefu. Je wataalam wa JF hali hii inayonitokea, nitakuwa nasumbuliwa na nini? Natanguliza Shukran zangu
  16. issac77

    Wakuu mwenye uelewa na hii fursa nasikia mwisho Feb 28 mwezi huu watu wanakuwa matrilionea

    Ilianza Bitcoin enzi hizo sarafu po chini sana watu na fursa wakaruka nayo... Sasa hivi sarafu haishikiki walioiwahi enzi hizo wanakula kuku kwa mrija. Ikaja binance nakumbuka 2017 late yake ilikuwa 0.007 kwa coin kwa sasa ipo 500+ usd KWa sasa naona watu wanatamba na hii #pai, na ni kitu...
  17. The ice breaker

    Msaada: Nimepatwa na tatizo hili kwenye tupu yangu, itakuwa ni ugonjwa gani?

    Aseee Kuna hii kitu imetokea kwenye Tupu yangu, inaweza ikawa ni tatizo gani Kumradhi, nimeambatanisha na picha =====
  18. G

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Full name: Arsenal Football Club Nickname(s): The Gunners Founded: 1 December 1886 League: Premier League Website: arsenal.com Ground: The Emirates Stadium, (Capacity: 59,867) - Pitch 105m x 68m Owner: Stan Kroenke Chairman: Sir John Chippendale "Chips" Lindley Keswick Head...
  19. The Supreme Conqueror

    Ya DRC,SADC na Rwanda je,MOSSAD,CIA na M16 ni Wanufaika Wakuu ama ni Kweli HIMA EMPIRE inatawala 75% ya EAC?

    Wakuu Mchungaji Mtikila aliwahi kuzungumza jambo zito sana miaka 12 nyuma leo Athari yake tunaiona ndani ya Ardhi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kwa hakika yajayo yanafikirisha sana JWTZ,TISS,MIGRATAION na PT lindeni Kitabu chetu kwa Wivu na Upendo Mkubwa Mnoo.
  20. uhurumoja

    Wakuu nilisema simtoi out nibane matumizi Sasa katika nguvu zote zimeisha

    😂😂😂nikija kulia mnipokee wakuu huenda nimepigwa dawa Safari Longoni beach
Back
Top Bottom