WAkuu habari zenu. Naimba msaada wa link ya kunisaidia kudownload facebook contact nimehangaika sana nimeshindwa kama kuna mtu ana link naimba msaada wakuu
Wakuu Tanzania tunategemewa kuwa host wa Mkutano wa Wakuu wa Nchi unaenda kwa jina la Africa Heads of State Energy Summit utakaofanyika January 27 - 28, 2025 Dar es Salaam, Tanzania
Tungependa Kujua Utaratibu ambao Wizara ya Nishati inatumia Kuinvite delegates na stakeholders mbalimbali...
Hivi karibuni (takribani miezi mitatu sasa) nimeshuhudi baadhi ya watu huko mitaani wakijihusisha na uwekezaji katika jukwaa linalofahamika kama FIC (wenyewe wanawaita Football investment Charity) huku wakimwaga sifa kwamba mabwana hawa (FIC) wanalipa na ni mchongo legit kwa sasa.
Kutokana na...
2011 kulikuwa na Maandamano ya Machinga, Askari wa FFU baadhi waliuawa na mabomu ya machozi yaliisha, Muda huo Kikwete yupo njiani kuelekea Mbeya, Ilibidi watumwe JWTZ kutuliza hali (hakukuwa na majibishano yoyote na JWTZ)
Kwenye maandamano mengine ya Machinga, hali ilikuwa mbaya, Mkuu wa mkoa...
Huu ujumbe unamuhusu ye yote mwenye access ya kuingia kwenye mikusanyiko inayowakutanisha watawala wakuu wa Afrika!
Siku watakapokutana, naomba uwazamomee na kuwaambia wanalitia sana aibu bara la Afrika kwa kuendelea kulialia kuwa nchi za Magharibi zinaharibu amani barani Afrika. Waambie kuwa...
Sijui nisemaje lakini you people mmenishangaza sana,
Always humu huwa nahisigi kuna watu flani hivi sijui nisemaje lakini mnisamehe nilivyokuwa nawawazia sivyo,.
First of all mie ni mtu ambaye siwezagi kukaa na kitu rohoni kwakweli,. Ila sio muongeaji kwa watu wangu wanaonizunguka, so...
Hivi mabroo huku jukwaani naombeni mnipe msaada kwa sababu jamii forum ni kisima cha maarifa hivi mwanamke anakuambia mimi nipo tayari au muda wake sahihi wa kufunga ndoa ni mwishoni mwa mwaka kama mwezi wa kumi anamaanisha nini? Kwamba yeye mwanamke ndiyo anapanga kuolewa mwezi wa kumi na...
Huu uraibu nilidumbukia rasmi mwaka 2016 nikapigwa wee akili ikaja kunikaa sawa mwaka 2021 Niko nyang'anyang'a. Nikasema basi sirudi Tena huko.
Hamna tim ambayo siijui, ligi zote zipo kichwani, option zote zipo kichwani lakini vichapo kwenda mbele...
Nawashangaa sana vijana wanashupaza shingo...
Huu mwaka umekua wa hovyo mapema mnoo aisee,
Habari zenu kwanza wakuu
Mwenzenu jana nimetapeliwa, na nikiri tu kuwaambia uchawi upo wakuu, Ilikua jana kuna hela nilipatiwa nikamlipie dogo Ada, Nimeenda bank( NMB)nimelipa, ile wakati natoka nikawa naelekea ile njia ya sokoni ili nikapite vile...
Mbowe ameyasema hayo wakati akihojiwa na Salim Kikeke katika kipindi cha Kasri kinachorushwa na CrownFM
Mbowe amesema kwamba Lissu anashiriki vikao vyote vya chama lakini hajawahi kuwasilisha hoja katika vikao ya kuomba wajadili kuondoa ukomo wa uongozi
Wakuu hawa watoto wetu si watavunjwa mabega dogo ameanza shule leo darasa la kwanza masomo nane.
Yaani madafutari 8+ vitabu 8 jumla kumi na sita vyote anatakiwa avibebe kwenye bag, dogo ana miaka mitano tu aiseeh atameza haya masomo yote.
Math
English
Kiswahili
Drawing
Reading
Sport &art
Heath...
Niliwahi kuingia barbershop moja humu ndani kuna full kiyoyozi huduma si mchezo masaa mawili kinyozi anakunyoa hana haraka.
Nikanyoa si unajua tena wadada wa barber shop kaka uso wako una mafuta sana ngoja tukusafishe uso, nikatoka nimeg’aa ile mbaya, ikaja bill macho yalinitoka 45000.
Uzuri...
wakuu kwema ..? jana nmerudi zangu magetoni usiku mwingi nikakuta hawa wajusi wajomba wako 2 sijui wametoka wapi msaada sijalal magetoni leo nmerudi nmewakuta chini wanacheza hawana hata habari halafu hawaogopi mtu nmeita majirani wanasema hawa n wajusj wajomba hawana shida inabdi niwazoee hapa...
Wakuu,
CHADEMA itasilimika kweli mpaka 2025?
====
Uamuzi wa Tundu Lissu kukusudia kuchuana na Freeman Mbowe katika kinyang'anyiro cha uenyekiti wa Chadema, umekigawa chama hicho pande tatu huku sababu za Lissu kuamua kuchukua hatua hizo zikibainika.
Lissu ambaye ni Makamu Mwenyekiti wa...
Habari za muda huu,
Kwa munaelewa hii imekaa je wadau, yaani ipo hivi, kuna wakala anafanya shughuli za miamala yaanu nmb, crdb, nbc na nyrnginezo.
Sasa ukiweka pesa mwanzo ni millioni moja, na kwa kila millioni kwa mwezi unapata 50k, hii ni kusema ukiweka millioni kumi kwa mwezi utapata laki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.