econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 25,522
- 40,795
Kura zilizopigwa milioni 5 ila NEC wanadai kura milioni 31. Huo sio ubatili?Unapimaje ubatili
Kura zilizopigwa milioni 5 ila NEC wanadai kura milioni 31. Huo sio ubatili?Unapimaje ubatili
Kwanzia Mkapa wote ni batili mpaka Leo.swali la kufikirika mkuu, unataka kusema hapa bongo rais wa kwanza kua batili ni SSH wa 2025 kwenda 2030 ?
hapo naweza kuunga mkono. kwamba bi mkubwa amestukiwa mchana kweupe tuKwanzia Mkapa wote ni batili mpaka Leo.
Pumbavu wewe!Ninatoa pendekezo la Serikali kuandaa Muswada wa Sheria ya kusimamia michango ya shughuli za Vyam vya Siasa nchini ili kuzuia watu au makundi ya watu wasio na maadili kuhusika kwenye michango ya shughuli za vyama kwani kwa sasa kumejitokeza tabia ya watu wanaojiita wanaharakati kuchangia au kuhamasisha michango kwa vyama vya siasa lakini watu hao wanahusika kwenye uhalifu mitandaoni kwa kutukana ,kuwazushia watu uongo,kudhalilisha watu hasa wale wanaotofautina mawazo na mtizamo
Ninawasilisha
Odero
Mwanachama wa CHADEMA
Aliyegombea Uenyekiti CHADEMA Taifq
Ni batiliMfano wa kufikirika mkuu kwa kua hakuna uthibitisho kamili,
Tushasikia zenji kule maalim seif hua anashinda lakini hatangazwi,
Tushasikia baba odinga pale kenya hatangazwi,
Na tuseme mtifuano kama ule wa 2015 nyepesi nyepesi ni kwamba lowassa aliula.
Je ikiwa ni kweli kwamba watu kama hao washawahi kushinda kwenye sanduku la kura na matokeo yaliyotangazwa yakawa sio yenyewe, --- serikali zilizotangazwa na zwnyewe ni batili?, au tunaziita halali kwa ukosefu wa ushahidi?
Kuna watu unachana nao watapotea kulingana na muda unavyoendaHuyu Mjinga CDM kwanini wanachelewa kumfuta uanachama?
Kweli kabisa mkuuhapo naweza kuunga mkono. kwamba bi mkubwa amestukiwa mchana kweupe tu
muda wa kufumua mfumo mzima ni sasaKweli kabisa mkuu
2025 hakukuwa na uchaguzi hivyo huyo anayejiita rais na wanaojiita wabunge wote ni haramu.wabunge wake walikua nao watawala au wawakilishi halali?
ccm ni mzigo2025 hakukuwa na uchaguzi hivyo huyo anayejiita rais na wanaojiita wabunge wote ni haramu.
Jimama halina aibu yaani kabisa linarembua macho na kushika msahafu na kuapa kuwa rais, mwisho wake utakuwa mchungu sana urais wa damu za Watanganyika zaidi ya 10,000 hauwezi kumuacha salama hata kidogo.Kura zilizopigwa milioni 5 ila NEC wanadai kura milioni 31. Huo sio ubatili?
Nikweli kwa mfano nakumbuka watu walimwaga mabilioni kwa sisiemu kipindi kile cha uchaguzi aisee ni ufisadi wa kutishaNinatoa pendekezo la Serikali kuandaa Muswada wa Sheria ya kusimamia michango ya shughuli za Vyam vya Siasa nchini ili kuzuia watu au makundi ya watu wasio na maadili kuhusika kwenye michango ya shughuli za vyama kwani kwa sasa kumejitokeza tabia ya watu wanaojiita wanaharakati kuchangia au kuhamasisha michango kwa vyama vya siasa lakini watu hao wanahusika kwenye uhalifu mitandaoni kwa kutukana ,kuwazushia watu uongo,kudhalilisha watu hasa wale wanaotofautina mawazo na mtizamo
Ninawasilisha
Odero
Mwanachama wa CHADEMA
Aliyegombea Uenyekiti CHADEMA Taifq
Hata wanajeshi na Wana CCM ni wananchi.Haikuchaguliwa na Wananchi
Tatizo la chadema kila kiongozi ni pandikizi la CCM. Baada ya Mbowe sasa zamu Lema.Wewe uligombea uenyekiti Chadema kama pandikizi la CCM ndo maana uliambilia kura moja