masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,870
- 15,068
Ni jambo la kudikitisha.
Licha ya Ikulu kutoa samaam za rambirambi hivi karibuni, lakini huyu Wicknell Chivali wa Zimbabwe amekuja julikana kama tapeli na fisadi mbeba hela za viongozi wezi wa Afrika.
Alifikaje Ikulu?
Ana biashara gani Ikulu?
Analipa kodi?
Amefikaje hadi kwa Rais mama Samia?
Kuna dalili za wazi za ufisadi, wizi na uporaji wa mali ya umma.
Wananchi hasa wana CCM tupate majibu.
Kamati ya maadili hivi majuzi imemvua chapa chap Dr Emmanuel Nchimbi uanachama kwa kuenda kinyume na maadili ya chama.
Kamati hii ya CCM inamfikiriaje Mama Samia kwa haya madudu ya wazi yanayohitaji kuwajibika kikamilifu.