Mungu anaangalia vyote matendo ya mwili wa nje na ndani yako

a sinner saved by Christ

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2017
Posts
4,014
Reaction score
4,600
## 🚨 KUTAZAMA PICHA,VIDEO ZA PORN AU KIMTAZAMA MWANAMKE KWA KUMTAMANI,TAMAA YA NGONO HUFUNGUA MILANGO YA KUKARIBISHA KUALIKA MAROHO,MAPEPO,MAJINI MABAYA YA UHARIBIFU KWAKO NA KURUHUSU VIFUNGO VYA KIPEPO… NA WENGINE WENU MNAISHIKA MNAFUNGULIA WAZI MILANGO YA MTU WAKO WA NDANI KURUHUSU KUVAMIWA KUKARIBISHA MAPEPO. 👀

Hebu tuzungumzie vita vya kiroho ambavyo hakuna anayetaka kuvijadili kwa sababu vinaweza kuhitaji kufuta (KUACHA KUPERUZI KWENYE KURASA ZA MITTANDAO ZINAZOCHOCHEA SISIMUA KUTAMANI NGONO ama KUACHA kabisa na kubadilisha historia ya kuperuzi vivinjari vyao vya intaneti zenye kuhamasisha NGONO maudhui ya NGONO (browser history).

Ndugu yangu, huwezi kuendelea kukaribisha giza chumbani kwako kisha ukashangaa kwa nini amani yako imefungasha virago vyake IKAPOTEA. 💀

Pornografia(maudhui ya NGONO) sio tu kuhusu kile unachokitazama.

Ni kuhusu kile unachokilisha.

Macho yako ni malango. Akili yako ni uwanja wa vita. Na chochote unachokiburudisha mara kwa mara hatimaye huanza kuumba kile unachokitamani.

Yesu hakusema lazima uzini kimwili ndipo tamaa mbaya iwe tatizo la moyo.

Alienda moja kwa moja kwenye chanzo.

Mathayo 5:28
"Lakini mimi nawaambieni, atakayemtazama mwanamke kwa kumtamani amekwisha zini naye moyoni mwake".

Maandiko yanatuambia tusimpe nafasi yoyote kwa shetani. (Waefeso 4:27)

Hiyo haimaanishi kwamba pornografia inafungua milango ya kiroho ya Kulisha tamaa mbaya mara kwa mara huku ukijaribu kuenenda katika haki ni kama kuacha mlango wako wa mbele wazi na kushangaa jaribu linapoingia ndani likiwa limevaa nyumba (slippers).

Huwezi kushibisha giza usiku wa kuamkia Jumamosi kisha utarajie uwazi wa kiroho siku ya Jumapili asubuhi.

Hiyo ni sawa na kula vyakula vizito vyenye mafuta kwa siku sita mfululizo kisha ukaumiza kichwa kulaumu choo chako kwa mateso yako. 😂

Na tusipuuze madhara ya ulimwengu wa kweli.m WA kiroho

Pornografia inaleta URAIBU kama uteja,kama madawa ya kulevya inaweza kuwa ya kulevya kwa baadhi ya watu, kuharibu matarajio kuhusu uhusiano wa karibu, kuharibu uhusiano, na kuwaacha watu wakipambana na aibu na usiri.

ADUI MKUBWA WA WATEULE WA MUNGU watu walioteuliwa na Mungu KWA kutumika katika KAZI ya Mungu wapakwa mafuta au CHOOSEN ONES ,ADUI YETU WALA SIO SHETANI...ADUI UNAYE HAPO ULIPO NI MWILI WAKO(TAMAA MBAYA ZA MWILI WAKO NA MAWAZO YAKE MABAYA NDIO ADUI YAKO NAMBA MOJA USIHANGAIKE KUMTAFUTA MCHAWI/SHETANI.

SASA NI SAA YA MABADILIKO KUFANYA MATENGENEZO

Wewe sio mtu uliyekosa ukombozi kwa sababu umekuwa ukipambana na tamaa mbaya.

Jibu sio kuzama kwenye lindi la aibu.

Bali ni kutubu, nidhamu, kuwajibika kwa wengine (accountability), na kusimama tena unapoanguka.

Yesu hakutuita tuwe na starehe kwenye minyororo yetu kwa kuwa watumwa WA tamaa mbaya na KIU ISIYOKWISHA ya dhambi izinzi

Alikuja kuweka huru mateka.

📖 Mathayo 5:28 — Tamaa huanzia moyoni.

📖 1 Wakorintho 6:18 — Ikimbieni uasherati.

📖 Ayubu 31:1 — Fanya agano na macho yako.

📖 Yakobo 4:7 — Mpingeni shetani, naye atawakimbia.

🔥 ACHA KULISHA KILE UNACHOKIOMBEA KUSHINDA.

Mwili wako unataka UNATAMANI KUJIBURUDISHA NA ANASA ZA DUNIA HII burudani(tamaa mbaya na mawazo yake mabaya).(mwili huu WA dhambi ni dhaifu,unapenda ubatili..

Mhubiri 2:1 inazungumzia mfalme Sulemani (Mhubiri) akitafuta maana ya maisha kupitia anasa na starehe, ambapo anasema:
"Nikauambia moyo wangu, Haya, nitakujaribu kwa njia ya furaha basi ujifurahishe kwa anasa. Na tazama, hayo nayo yakawa ubatili."

Na hao walio wa Kristo Yesu wameusulibisha mwili pamoja na mawazo yake mabaya na tamaa zake" Wagalatia 5:24

Flp 3:8
Naam, zaidi ya hayo, nayahesabu mambo yote kuwa hasara kwa ajili ya uzuri usio na kiasi wa kumjua Kristo Yesu, Bwana wangu; ambaye kwa ajili yake nimepata hasara ya mambo yote nikiyahesabu kuwa kama mavi ili nipate Kristo

Roho yako inahitaji nidhamu ya mwili. *DISCIPLINE MWILI WAKO ,kusulubisha tamaa zake mbaya na mawazo yake mabaya,kujitoa miili YETU iwe dhabihu kuwa hekalu la Roho mtakatifu.

HUWA SIWAELEWI WATU WANAOSEMA MUNGU HAANGALII MWILI ANAANGALIA ROHO TU.

SIO KWELI,Mungu ana angalia vyote nje na ndani,Roho na MWILI Tena huwezi kutenganisha Roho na MWILI mana yake unazungumzia KIFO kifo na Mungu ni Mungu WA wote wenye mwili,hata mbinguni UTAPEWA mwili mpya,na hata yeye YESU ilibidi avae mwili,BILA MWILI YESU tusingemjua ndio akawa mwanadamu KWELI,na kupitia mwili ndio MATENDO ya mwili yanaikamilisha IMANI,Imani bila Matendo imekufa.

MATENDO ni mwili,hata huyo IBRAHIMU IMANI yake ilithibitika kwa MATENDO ya kuwa tayari kumchinja mwanaye WA PEKEE,

Na hayo ya Rohoni yanatokana na MATENDO ya mwili,IMANI+MATENDO..
Mfano ukiwatendea mema wahitaji kuwasaidia Matendo hayo yanabadilishwa kuwa hazina mbinguni..ukisema una UPENDO lazima utoe na ujitoe kwa KAZI ya Mungu,sadaka,ZAKA,KUSAIDIA wahitaji,na KUTII na KUYAFANYA yote maagizo ya Mungu.

Na MWILI WAKO ni nyumba ya KUKALIWA NA ROHO MTAKATIFU na Roho mtakatifu akiwa ndani yako utabadilika NJE NA NDANI(kama ulikuwa unazulumu unaibia watu utaacha kama ZAKAYO MTU MFUPI ,Yesu Roho mtakatifu alivyoingia ndani yake Yesu alivyoingia ndani ya nyumba ya ZAKAYO AKABADILIKA nje na ndani,akarudisha mali za wizi.

Kama ulikuwa unapenda dhambi za uzinzi,ulevi,KUSHINDA disko,vilabu night club..utaacha

Kama ulikuwa unavaa nguo FUPI za KUACHA mango Yako wazi ili watu wakutamani)WANAZINI NA WEWE kwa kukutazama na kutamani ,utaacha mwenyewe na watu wakikuangalia watasema KWELI amebadilika hata WEWE utajikuta unachukia dhambi ukimuona mwenye dhambi unamuhurumia UNATAMANI abadilike aache.

Huwezi kuja kanisani umevaa nguo FUPI VIMINI..halafu unatuambia YESU HAANGALII MWILI NJE anaangalia MOYO NA ROHO NDANI???huo ni UONGO ,ni Roho ya Jezebel,mavazi ya kikahaba.

Inatoka kanisani unaenda kwenye vilabu vya pombe ukiulizwa INASEMA pombe sio dhambi,Mungu ananiangalia ndani usinione hivi Mimi mlevi tu ,ila moyoni na Rohoni ni MSAFI??

2 Wakorintho 7:1

[1]Basi, wapenzi wangu, kwa kuwa tuna ahadi hizo, na tujitakase nafsi zetu na uchafu wote wa mwili na roho, huku tukitimiza utakatifu katika kumcha Mungu.

Amezungumzia USAFI WA
1)MWILI--
2)NAFSI--fikra,mawazo
3)ROHO

usitake kutuchanganya UNATENGANISHA MWILI NA ROHO..(hicho ni kifo) ukitenganisha Roho Yako ukitoa kwenye mwili unakuwa MFU,unakufa.

"Tazama, mimi ni BWANA, Mungu wa wote wenye mwili; Yeremia 32:27

MATENDO ya mwilini tunayadharau Bure ila ndio yamechangia kuwapeleka watu motoni.
Na wakati mwingine MTU alivyo Rohoni na moyoni inakuwa reflected kwenye MATENDO ya mwili wake,HUWEZI KUVAA MAVAZI YA KIKAHABA.. ukisema Mungu haangalii mwili??
Huwezi kuchuma dhabibu kwenye miiba kama unapanda katika mwili WAKO kufungulia Roho ya uzinzi kwa mavazi hata kwa watu wanao anguka kwenye uzinzi kwa kukutamani NAFSI zote unazoziingiza kwenye dhambi kwa kukutamani WEWE kwa mavazi ya kikahaba ,unachokipanda ndicho unachovuna.

MATENDO YA MWILINI NI MUHIMU
Thawabu za mbinguni wakati mwingine ni matokeo ya MATENDO YETU ya mema ya mwilini hapa DUNIANI ndiyo yanageuzwa kuwa hazina mbinguni..kitendo Cha ibrahimu kuwa tayari kumtia sadaka mwanae lile tendo la IMANI+ JUMLISHA TENDO LA MWILINI..ndio ikawa THAWABU na hazina mbinguni.
C

Mathayo 25:35-40
Maana nilikuwa na njaa nanyi mkanipa chakula; nilikuwa na kiu nanyi mkanipa maji; nilikuwa mgeni nanyi mkanikaribisha; nilikuwa uchi, mkanivika; nilikuwa mgonjwa nanyi mkaja kunitazama; nilikuwa gerezani nanyi mkaja kunitembelea.’ Hapo, hao watu wema watamjibu mfalme ‘Bwana, ni lini tulikuona mwenye njaa nasi tukakupa chakula, au ukiwa na kiu nasi tukakunywesha maji? Ni lini tulikuona ukiwa mgeni nasi tukakukaribisha, au bila nguo nasi tukakuvika? Ni lini tulikuona ukiwa mgonjwa au mfungwa nasi tukaja kukutazama?’

Mfalme atawajibu, ‘Kweli nawaambieni, kila kitu mlichomtendea mmojawapo wa hawa ndugu zangu wadogo, mlinitendea mimi.’

haya ni Matendo ya mwili yanageuzwa kuwa hazina mbinguni na kuwa UKUMBUSHO.

MATENDO ya Rohoni bila peke yake bila mwilini ni SAWA na SIFURI(IBRAHIMU alikuwa na Imani lakini Imani yake ilipata thamani alipoambatanisha na MATENDO lazima IMANI+MATENDO YA MWILINI.

mfano WA MATENDO ya kiroho ni kama haya.

Mt 7:22
Wengi wataniambia siku ile, Bwana, Bwana, hatukufanya unabii kwa jina lako, na kwa jina lako kutoa pepo, na kwa jina lako kufanya miujiza mingi?
Mathayo 7:23
Ndipo nitakapowaambia wazi, ‘Sikuwajua kamwe. Ondokeni kwangu, ninyi watenda maovu!’

WATENDA MAOVU..Yani Matendo ya mwilini

Anayekwambia MUNGU haangalii Matendo ya mwili anaangalia moyoni TU sijui Rohoni TU,NI UONGO NI ROHO YA KIBURI KUKATAA KWELI YA NENO..ni Roho ya mapepo,...SHINDWA PEPO TOKAAA PEPO

Roho Mtakatifu anakusaidia, lakini wewe una wajibu wa kufanya maamuzi na kutenda
:

1. Roho Mtakatifu Kama Msaidizi (Hakulazimishi)

Roho Mtakatifu amekuja kama "Msaidizi" au "Mshauri." Msaidizi hukusaidia pale unapoanza kufanya jambo, hafanyi kila kitu peke yake wakati wewe umekaa.
• Yohana 14:26 – "Lakini huyo Msaidizi, huyo Roho Mtakatifu, ambaye Baba atampeleka kwa jina langu, yeye atawafundisha yote, na kuwakumbusha yote niliyowaambia."
(Hapa tunaona kazi yake ni kufundisha na kukumbusha, lakini uamuzi wa kutii na kutenda yale uliyofundishwa ni wako).

2. Mungu Anafanya Kazi Ndani Yako, Lakini Wewe Lazima Utende

Biblia inaonyesha wazi ushirikiano kati ya nguvu ya Mungu ndani yetu na utendaji wetu wenyewe.
• Wafilipi 2:12-13 – "…utimizeni wokovu wenu wenyewe kwa kuogopa na kutetemeka. Kwa maana ndiye Mungu atendaye kazi ndani yenu, kutaka kwenu na kutenda kwenu, kwa kulitimiza kusudio lake jema."
(Mungu kupitia Roho wake anakupa nia na nguvu ya kutenda, lakini anasema wewe utimize/ufanye kazi hiyo).

3. Imani Bila Matendo Imekufa

Huwezi kusema unamtegemea Roho Mtakatifu ikiwa huchukui hatua zozote za kiimani kwa vitendo.
• Yakobo 2:26 – "Maana kama vile mwili pasipo roho umekufa, vivyo hivyo na imani pasipo matendo imekufa."
(Roho anahuisha imani yako, lakini matendo yako ndiyo yanayoonyesha kuwa hiyo imani ni hai).

4. Uhitaji wa Kuchagua Upande na Kuchukua Hatua

Mungu anapenda tufanye maamuzi thabiti badala ya kusubiri tu mambo yatokee yenyewe.
• Kumbukumbu la Torati 30:19 – "Nazishuhudiza mbingu na nchi juu yenu hivi leo, kuwa nimekuwekea mbele yako uzima na mauti, baraka na laana; basi chagua uzima, ili uishi, wewe na uzao wako."
(Mungu anakuonyesha njia, lakini neno la msingi hapa ni "Chagua"—hilo ni jukumu lako).
• Mithali 16:9 – "Moyo wa mtu huifikiri njia yake; Bali Bwana huziongoza hatua zake."
(Wewe una wajibu wa kufanya mpango na uamuzi moyoni mwako, na unapoanza kutembea, Roho wa Bwana anaongoza hatua hizo).

NJIA ZA KUFANYA
Yak 4:7-10
Basi mtiini Mungu. Mpingeni Shetani, naye atawakimbia.

2 Kor 10:5
tukiangusha mawazo na kila kitu kilichoinuka, kijiinuacho juu ya elimu ya Mungu; na tukiteka nyara kila fikira ipate kumtii Kristo.

Choose your language

Efe 6:11-18
Vaeni silaha zote za Mungu, mpate kuweza kuzipinga hila za Shetani. Kwa maana kushindana kwetu sisi si juu ya damu na nyama; bali ni juu ya falme na mamlaka, juu ya wakuu wa giza hili, juu ya majeshi ya pepo wabaya katika ulimwengu wa roho. Kwa sababu hiyo twaeni silaha zote za Mungu, mpate kuweza kushindana siku ya uovu, na mkiisha kuyatimiza yote, kusimama. Basi simameni, hali mmejifunga kweli viunoni, na kuvaa dirii ya haki kifuani, na kufungiwa miguu utayari tupatao kwa Injili ya amani; zaidi ya yote mkiitwaa ngao ya imani, ambayo kwa hiyo mtaweza kuizima mishale yote yenye moto ya yule mwovu. Tena ipokeeni chapeo ya wokovu, na upanga wa Roho ambao ni neno la Mungu; kwa sala zote na maombi mkisali kila wakati katika Roho, mkikesha kwa jambo hilo na kudumu katika kuwaombea watakatifu wote
 
Uzi mrefu sana ila nimejitahidi kupita nao Ote....🙏⁉️
 
Yakobo 1:13
"Mtu ajaribiwapo, asiseme, Ninajaribiwa na Mungu; maana Mungu hawezi kujaribiwa na maovu, wala yeye mwenyewe hamjaribu mtu."

Maana na Maelezo Muhimu

• Tabia ya Mungu: Mungu ni mtakatifu; hamjaribu mtu yeyote kwa uovu au kumvutia kufanya dhambi.
• Chanzo cha Majaribu (tamaa mbaya):

(Yakobo 1:14-15), mtu hujaribiwa pale anapovutwa na kudanganywa na tamaa zake mwenyewe.
• Matokeo ya tamaa: Tamaa hiyo ikichukua mimba huzaa dhambi, na dhambi ikikomaa huzaa kifo.

Yakobo 1:14-15,

Lakini kila mmoja hujaribiwa na tamaa yake mwenyewe huku akivutwa na kudanganywa. Halafu ile tamaa ikiisha kuchukua mimba huzaa dhambi, na ile dhambi ikiisha kukomaa huzaa mauti".
 
Yakobo 1:14-15, yanayosema: "Lakini kila mmoja hujaribiwa na tamaa yake mwenyewe huku akivutwa na kudanganywa. Halafu ile tamaa ikiisha kuchukua mimba huzaa dhambi, na ile dhambi ikiisha kukomaa huzaa mauti"
 
Hivi kati ya Mungu na Shetani nani Mkubwa? Jibu litakuwa ni Mungu. Nani alimuumba Shetani? Ni Mungu, nani alimuasi Mungu awali? Ni Shetani, kwanini Mungu hakuamua kumalizana na Shetani before, kama alishakiona si kiumbe kinacho mtii? Kwanini alimuacha? Sasa kama yeye kamuacha sisi tutamuweza? Mungu yupo wapi? Na shetani yupo wapi? Ina maana Shetani anajua alipo Mungu? Je shetani anajua kama Mungu katupa sisi kazi kumkataa na kumpinga. Shetani anajua kama sisi tupo na vita nae? Yeye anatuchukuliaje kwa hili? Je shetani ana upendo na huruma kwa jeshi lake la hoa wabaya wenye mabaya yoote, ama? Ana pepo yake na moto wake? Au anasubiri siku ya hukumu atumie pepo na moto wa Mungu? Mbona ana mazoea sana na Mungu? Tumefundishwa awali Mungu Baba alikuwa akitoa hukunu papo kwa hapo kwa wale watendao dhambi aijalishi awe nani, sasa huyu Shetani mbona kama ana uhuru Mwingi? Swali na mwisho kabisa, je Yule Mungu unayemuamini, ndiye yule unayemkusudia?
 
Back
Top Bottom