MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 15,923
- 40,246
Ni hivi, ukila ukashiba unafikiri wengine wote wamekula au wameshiba;
Ukiamka na afya njema asubuhi unafikiri wengine wote wameamka na afya njema;
Ukiwa unaishi unawaza watu wote wako na maisha yao kama yako;
Ukitembea mjini na kurudi nyumbani salama, unafikiri watu wote wako kwenye miji yenye amani na wanarudi nyumbani kwao salama na kukuta mali zao salama';
NASEMA HIVI, NAKURUDISHIA EH MUNGU WANGU SIFA NA UTUKUFU