Huwa najiuliza sana kwanini huyu Kiranga na wengine wengi huwa wanajitokeza kwenye uzi wowote ule unao muhusu Mungu na lengo ni kupinga uwepo wake.
Haijarishi hujamu mention dk1 ni nyingi hawa hapa.
Ni kwamba wakuu msipopita kimyamya tu mkatuacha sisi tunaokubali na kuamini uwepo wa Mungu...
Je, Ni watoto wangapi ni machokoraa mtaani,
Je, Ni wagonjwa wangapi wapo hospitalini wakiugua kwa maumivu huku wakisubiria siku yao ya kufariki,
Je, Ni Wanadamu wangapi wamefariki kwenye vita?
Je, Ni watu wangapi wamezaliwa wakiwa vilema na wengine vipofu huku wakiishi maisha ya maumivu...
Ni mimi wako UWESUTANZANIA ✍️
Sipo hapa kwa kubeza wala kukejeli nataka kupewa elimu kutoka kwa muislamu aliyesoma Quran tukufu ambayo ndio muongozo wa muislamu na usinilete hadithi kutoka muslim na tilmizu eti alimsikia mtume akisema hapana.
Nataka kwa mwenye andiko kutoka kwenye kitabu...
Tazama Ramani umekaa kizalendo zaidi, uwe wimbo wa Taifa haraka iwezekanavyo, Mungu ibariki Africa iwe sala ya Taifa.
=====
1. Tazama ramani utaona nchi nzuri
Yenye mito na mabonde mengi ya nafaka,
Nasema kwa kinywa halafu kwa kufikiri,
Nchi hiyo mashuhuri huitwa Tanzania
Majira yetu haya...
Mtaijua kweli nayo kweli itawaweka huru. Kweli ni neno la mungu.
MUNGU haabudiwi kila mahali, yeye anautaratibu mmoja. Anachagua sehem ya kuabudiwa. Na wote watakaomuabudu hapo basi watampata na kumuona. ila woote wasiomuabudu hapo hawatakaa wamuone kamwe
Wengi wamekuwa wakienda makanisani...
1. Ushahidi wa Kibiblia
Yohana 1:1 – "Hapo mwanzo kulikuwako Neno, naye Neno alikuwako kwa Mungu, naye Neno alikuwa Mungu."
Tito 2:13 – "Tukilitazamia tumaini lenye baraka na mafunuo ya utukufu wa Mungu mkuu na Mwokozi wetu Yesu Kristo."
Yesu mwenyewe alikiri kuwa ni Mungu:
Yohana 10:30 – "Mimi...
Nasisitiza kwa Mara nyingine tena, sikubaliani na fundisho la kwenye Bible na Qur'aan kwamba Mungu alimuumba mwanadamu ili amuabudu.
Sababu zangu kuu ni mbili:
1. Hakuna uthibitisho wala dalili yoyote ile kwenye nature inayo suggest kwamba Mungu ametuumba ili tumuabudu.
Ingekuwa huo ndio...
Zab 94:18 SUV
[18] Niliposema, Mguu wangu unateleza; Ee BWANA, fadhili zako zilinitegemeza.
Fadhili za Mungu ni kubwa sana katika maisha ya mwanadamu, tunapozungumza fadhili za Mungu, ujue tunazungumza upendo wake kwetu na huruma zake, hatukustahili kabisa, lakini kwa upendo wake alimtoa...
Wanajukwaa
Kuna changamoto moja ya kiafya ilinipiga - yaani ilikuwa mwili nauhisi kabisa upo na shida ila nilivyoenda hospitali kama mara tatu kwa vipimo nikaambiwa sina shida yoyote.
Ile hali ikawa inapelekea mimi kuwa mtu wa kulala lala tu, kazi zangu nazifanya kivivu, na kibaya zaidi...
Namuomba MUNGU Anipe mchumba
na mimi ,Mimi mkristo mkatoliki mwanamke mvumilivu umri ni 29+, Libra,
Sio mnene sana/Chaga
Ni wa kawaida
Sina Ugonjwa wowote
Naomba kama kuna mwenye hitaji la mchumba tuchumbiane
Akiwa Chaga inapendeza zaidi na hata wengine inaruhusiwa (hii ni kwa sabbu wengi...
Wakuu Leo Sipo Kisiasa Hata Kidogo, Japo Bado Ntamzungumzia Samia Kama Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania.
Kwanza Mama, Mungu Akubariki Sana.
Katika Vitu Hua Napenda Kuona Kwenye Maisha Yetu Ya Kawaida Basi Ni Hawa Viongozi Wetu Wa Juu Kujichanganya Na Sisi Hata Mara Chache Na Kupata...
Ukisoma biblia katika kitabu cha Mwanzo 32 kuanzia mstari wa 22 mpaka mstari wa 32
Utaona mistari ikielezea jinsi ambavyo Yakobo Alipambana na Mungu
22 Usiku huo, Yakobo akaamka, akawachukua wake zake wawili, wake wake wawili wa kufanywa wake wa mitala, na wanawe kumi na mmoja, akavuka kivuko...
Mfano : Matthew ( Mathayo) 10:34 imeandika
"Msidhani ya kuwa nalikuja kuleta amani duniani; la! Sikuja kuleta amani, bali upanga."
Inashangaza Mungu mwenye upendo anasema hajaja kuleta amani bali chaos
Na Mathayo 10:35 imeandika
"Kwa maana nalikuja kumfitini mtu na baba yake, na binti na...
Salaam jamiiforum
Mungu ni mwema kila wakati naweza kusema hivyo.
Tarehe 13 mwezi wa kumi mwaka Jana 2024 nilipata ajali mbaya sana,tena mbaya mno.
Hakika sikujua kama nitapona haswa baada ya daktari mmoja kuniambia nimeumia ndani Kwa ndani na X ray inaonesha upande wa mbavu ya kulia haipo...
MUNGU YUKO WAPI?
Mungu yuko kila mahali, mbinguni, duniani, na ndani ya waumini wake. Hii inaelezwa katika mafundisho mbalimbali ya Biblia:
1. Mungu yuko Mbinguni – Katika sala ya Bwana, Yesu anafundisha kusema: “Baba yetu uliye mbinguni…” (Mathayo 6:9), ikionyesha kuwa makao yake ya utukufu...
Disclaimer: Haya si mawazo yangu, nimecopy na kupaste.
ROHO WA NENO ANASEMA; Watumishi Wote Wanaozuia Watu Wasioe Na Kuolewa, Wanafundisha Mafundisho Ya MASHETANI... Na Hawa Hapa Pichani👇👇 Ni Baadhi Yao😠😠
#Wanawaaminisha Watu Kuoa Kwa Mwanamume Ni Mke Mmoja Tu. Na Kuwaambia Watu Ndoa Za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.