mungu

  1. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Aliyeuliwa na Mungu, Alobaini yake imefika na kupita. Tuliowaua 29/10/2025, bado hatujawaazimishia; hivi tuko seriously?

    Aliyeuliwa na izraeli mtoa roho amefikisha siku kadha na tumesherekea, wale walio uliwa na mapolisi ccm tarehe 29/10/2025 na kuwazika kama mijibwa tupo busy na matume, uku mkinuka dhambi za ukuaji(mfyuuuu)!
  2. L

    JamiiForums Tanzania Ni Paul Makonda Tenaa Apakwa Mafuta Na Mungu katika Ulimwengu Wa Kiroho.

    Ndugu zangu Watanzania, Mwamba Mwenyewe Paul Christian Makonda ataendelea kupaa , Kung'ara na kukwea juu zaidi na zaidi kila Uchao. Ataendelea kuwa nyota Ya Matumaini, ataendelea kuwa midomoni Mwa Watanzania. Ataendelea kuwa Miongoni Mwa Hazina chache tulizonazo kwa Taifa letu, ataendelea kuwa...
  3. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe baadhi ya mipango ya Mungu

    Wakuu wote tunafahamu kwa imani yangu ya kikristo kila kinachotokea huwa ni mipango ya Mungu. Liwe jambo zuri au lenye maafa huwa ni mpango wake. Ikitokea ajali watu wakafa ni mpango wake. Wakipona pia ni mpango wake. Sasa mimi leo nimeona niwakumbushe mipango yake ambayo kibinadamu ni ngumu...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Mapepo na Shetani Humuomba Mungu Pia na Wakati Mwingine Maombi yao Hukubaliwa

    NDIO nayo humuomba Mungu pale yanapohitaji Kufanya Kazi zao na Hukubaliwa.. Na Yatakufanya Vyovyote Yanavyotaka. Ewe Binadamu Kiumbe Kumbuka Hili kwamba Hata Mapepo Yana nafasi Mbele za Mungu Kumuomba Na Kwa Kuwa Mungu ni Mwenye HAKI huyaruhusu pale Inapofaa na Ndio maana ya Neno haki. Mungu...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Majaji msikubali laana ya milele. Tendeni haki, muda wa kuishi ni mdogo uliobaki, mtumikie Mungu

    6.11.2026 Bold Judges vs Shyster/Timorous Judges Bold Judges 1. Mwalusanya 2. Lugakingira. 3. Katiti 4. Mlay 5. Kalegeya 6................. Shyster Judges 1. 2. A bold judge is a progressive, principled jurist who interprets the constitution as a living document to protect human rights and...
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Watu zaidi ya 30, wakiwemo Askari wa Jeshi la Polisi, wamefariki Dunia katika ajali Morogoro

    Watu zaidi ya 30, wakiwemo askari wa Jeshi la Polisi, wamefariki dunia na wengine 37 kujeruhiwa katika ajali mbili tofauti zilizotokea usiku wa kuamkia leo mkoani Morogoro. Akizungumzia ajali hizo, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Andrew Kantimbo, amesema ajali ya kwanza imetokea eneo la...
  7. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Jambo/kitu gani hutakiwi kumhusisha Mungu?

    Ukitaka timu yako ishinde unaweza kumhusisha Mungu. Jee ikishinda ni sawa kumshukuru Mungu na ikishindwa ni Mungu wa kulaumiwa? Ukifanya biashara ni sawa kuhusisha Mungu, kama mizani yako haipo sawa ukipata faida unaweza kumshukuru Mungu. Unapotongoza upate mke unaweza kumhusisha Mungu hata...
  8. Yoda

    JamiiForums Tanzania Ni bora kuamini Mungu yupo umkose kuliko kuamini hayupo umkute?

    Huu ni msemo maarufu ambao unatumika na waamini mungu wengi siku ya leo lakini muanzilishi wake ni mwanahisabati na mwanafalsafa Mfaransa Blaise Pascal katika Karne ya 17, hoja hii imepwa jina la kamari ya Pascal. Inasema kwamba mtu yeyote mwenye busara anapaswa kuishi kana kwamba Mungu yupo...
  9. Duh Aisee

    JamiiForums Tanzania Inakaribia mwaka tokea ndugu zetu wauliwe na miili yao kupotezwa, haki ya Mungu watu waliofanya haya hawatoacha

    Watu wengine waliuliwa mabarabarani. Wengine nyumbani. Wengine walibebwa mahospitalini. Wengine walifia jela baada ya kutupwa wakisubiria kesi za uhaini. Asikudanganye mtu watu waliohusika na haya wataacha. Au watakutengenezea mazingira mazuri ya kupata haki yako popote.
  10. 1995_No_Ku_Fake

    JamiiForums Tanzania Kuna siku utakutana na Mungu ukiwa peke yako

    Wakuu, kuna jambo nimekuwa nikilitafakari sana. Katika maisha haya tunahangaika kutafuta pesa, heshima, mali, nafasi na kutambulika. Tunajenga nyumba, tunanunua magari, tunatafuta followers na tunataka watu wajue tumefanikiwa. Lakini kuna siku kila mmoja wetu ataondoka hapa duniani akiwa hana...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mungu mkuu, tunaomba ukombozi kamili wa Nchi hii.

    Twakusifu Mungu mkuu, Bwana twakuinamia. Ee Mungu, Mungu usiyeshindwa, Mungu mwenye haki, Mungu mwenye upendo na Mungu uliyewatoa wana wa Israel kutoka utumwani Misri kwa Farao kwa mkono wenye nguvu; nakuomba ukainyeshee Nchi hii UMANDE wa ukombozi kamili wa Nchi. UMANDE huo utakuwa ni laana kuu...
  12. I

    JamiiForums Tanzania MUNGU, SIASA ZA DUNIA NA MKAKATI WA MUDA MREFU: KWA NINI URUSI INAJENGA MAKANISA AFRIKA?

    Urusi inapojenga makanisa Afrika, inaleta dini tu, au pia inajenga ushawishi wa muda mrefu? Swali hili limeanza kupata uzito kutokana na kasi ambayo Kanisa la Kiorthodoksi la Urusi (ROC) limepanua shughuli zake barani Afrika katika miaka ya hivi karibuni. Desemba 2021, ROC ilianzisha...
  13. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba: Tuombe Mungu atuepushe na El Niño

    Tukumbuke pia kuendelea kumuomba Mungu atuepushe na tishio hili ambalo tumethibitishiwa kwamba ni jambo lililotathminiwa kitaalamu la uwezekano wa kuwepo elinino na tutumie muda wetu wa ibada kuendelea kumuomba Mungu aepushe. Mungu, yeye anaweza kutuepusha na haya yote. Dkt. Mwigulu Nchemba...
  14. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Hivi Mange ashawahi kujiuliza kwa nini Mungu alimpa kigugumizi?

    https://x.com/_zack255/status/2105896127283200170
  15. Q

    JamiiForums Tanzania Mapigo 10 ya Mungu kwenye siasa za Tanzania. Mungu akamwambia Farao bado pigo moja

    BWANA akamwambia Musa, Liko pigo moja bado, nitakaloleta juu ya Farao na juu ya Misri; baadaye atawapa ninyi ruhusa mtoke huku. BWANA akasema, usiku wa manane nitapita katikati ya nchi ya Misri; na wazaliwa wa kwanza wote watakufa, tangu yule mzaliwa wa kwanza wa Farao aketiye katika kiti chake...
  16. Yoda

    JamiiForums Tanzania Maswali ya hovyo zaidi ya waamini mungu kuhusu mjadala wa uwepo wake

    Katika mjadala kuhusu uwepo wa mungu haya ndio maswali matano ya hovyo sana ambayo huulizwa na waamini wengi kwa bashasha kubwa lakini uhalisia yanadhihirisha IQ ndogo tu za waulizaji 1. Kama Mungu hayupo nani aliweka sukari kwenye muwa? 2. Kama Mungu hayupo nani aliweka utamu kwenye nanasi...
  17. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Ni very fascinating hapa duniani kila jamii ina idea ya Mungu wake na kila jamii hio ndio inasema Mungu wake ndie sahihi

    ■India ■Thailand ■China ■Vatican ■Saudi Arabia ■Jamii zilizomo msitu wa Amazon Hizi ni sehemu ambazo ukienda lazima ukute utofauti mkubwa wa imani yako na utaishia kuwaita waabudu masanamu na mashetani ila pia na wewe wataishia kukucheka kwa namna hio. Kabla ya muarabu na Mzungu kuja...
  18. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Eli Nino inatoka Kwa Mungu ama Kwa shetani?

    Nashindwa kuelewa. Kama inatoka kwake Mungu je analengo Gani na watu wake? Kama inatoka Kwa shetani kwanini asiizuie kabla haijaleta madhara? Tuamini ni janga la asili ambalo si la ki-Mungu Wala kishetani? I
  19. Alexido jz instagram

    JamiiForums Tanzania NIKIWA MIONGONI MWA WATU WENYE ULEMAVU NACHUJUA FURSA KUMSHUKURU MTUMISHI JOEL LWAGA NA DIAMOND, MUNGU AWAZIDISHIE MLIPO TOA

    Nimefarijika sana kwa kweli, mmejua kutukumbuka, mi mwenyewe ni mlemavu wa masikio, sisiki vizuri, ilinichukua muda sana kuamini mi ni mlemavu nilikataa hatimae nikakubali no way out, nakumbuka dodoma, Arusha, nk kote huko tulipambana sana kupata mikopo ya asilimia tulizo tengewa na serikali...
  20. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Sehemu sahihi na sio sahihi kwa wanadamu waliopo duniani ?.Je ni makusudi ya mungu.

    Ili jambo nimetafakari sana kuhusu wanadamu wanapojikuta sehemu sahihi au sio sahihi kwa kuzaliwa,kuhama,kubadilisha mazingira,jambo,kazi na n.k. Kuna mambo unaweza kulazimisha sehemu sio sahihi na wakati wewe ni sahihi mfano kama teknolojia zingekuwa zinatokea afrika basi hata haya tunayo...
Back
Top Bottom