Sehemu sahihi na sio sahihi kwa wanadamu waliopo duniani ?.Je ni makusudi ya mungu.

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2023
Posts
6,007
Reaction score
15,216
Ili jambo nimetafakari sana kuhusu wanadamu wanapojikuta sehemu sahihi au sio sahihi kwa kuzaliwa,kuhama,kubadilisha mazingira,jambo,kazi na n.k.

Kuna mambo unaweza kulazimisha sehemu sio sahihi na wakati wewe ni sahihi mfano kama teknolojia zingekuwa zinatokea afrika basi hata haya tunayo tumia duniani yange kosekana.

Kuna watu wanazaliwa sio sehemu sahihi mfano leo wachezaji wa mpira wa kiafrika wameonekana sahihi ulaya.

Kuna watu wamezaliwa na ukiwaangalia tu unasema huyu jamaa sio mtu wa kuishi mazingira yetu ni kwamba sio sahihi alipo zaliwa au mfumo wake sio wa hayo.

Mfano tundu lissu kwa mtazamo wa sahihi ni kwamba hapa tanzania sio sahihi kuzaliwa hapa alitakiwa kuwa kama USA,IRAN na kwengine ambako anaweza kuipigania nchi kisheria.

Ili jambo sahihi lina umiza sana dunia yetu.
 
Kuna watu wanazaliwa sio sehemu sahihi mfano leo wacheza wa kiafrika wameonekana sahihi ulaya.

Aisee kweli jamaa kanyooka hana kona
 
Ni ushahidi mwingine hakuna mungu anayeingilia au kupangilia maisha ya binadamu. Mambo yanatokea kwa bahati (random chances) tu.
 
Kuna documentary moja hii mada wamejadili sana na jinsi sahihi inaonekana afrika sio afrika
 
Ili jambo nimetafakari sana kuhusu wanadamu wanapojikuta sehemu sahihi au sio sahihi kwa kuzaliwa,kuhama,kubadilisha mazingira,jambo,kazi na n.k.

Kuna mambo unaweza kulazimisha sehemu sio sahihi na wakati wewe ni sahihi mfano kama teknolojia zingekuwa zinatokea afrika basi hata haya tunayo tumia duniani yange kosekana.

Kuna watu wanazaliwa sio sehemu sahihi mfano leo wachezaji wa mpira wa kiafrika wameonekana sahihi ulaya.

Kuna watu wamezaliwa na ukiwaangalia tu unasema huyu jamaa sio mtu wa kuishi mazingira yetu ni kwamba sio sahihi alipo zaliwa au mfumo wake sio wa hayo.

Mfano tundu lissu kwa mtazamo wa sahihi ni kwamba hapa tanzania sio sahihi kuzaliwa hapa alitakiwa kuwa kama USA,IRAN na kwengine ambako anaweza kuipigania nchi kisheria.

Ili jambo sahihi lina umiza sana dunia yetu.
Lissu angekuwa Iran, wangeshampoteza mapema sana.
 
Hoja yako inagusa kitu cha msingi sana: mazingira yanaweza kumzuia mtu au kumfungulia uwezo wake. Lakini si rahisi kusema mtu amezaliwa “sehemu isiyo sahihi” kwa sababu hatujui maisha yake yangekuwaje kama angezaliwa sehemu nyingine. Wakati mwingine mazingira magumu ndiyo humjenga mtu na kumfanya agundue uwezo ambao usingejitokeza kwenye mazingira mepesi.

Kwa hiyo, badala ya kuuliza “nilizaliwa sehemu sahihi au si sahihi?”, labda swali kubwa zaidi ni: nifanye nini na mazingira niliyopewa ili uwezo wangu usipotee? Hapo ndipo uchaguzi, juhudi na mazingira vinapokutana.
 
Unaweza kukataa ni ukweli ambao unaweka fact zake zinaonekana.

Hivi unajua ukiwa genius ukapelekwa USA ni rahisi kufanya jambo kubwa.

Na ukiwa genius ukazaliwa afrika ukaisha kuwa muddy fiziki mchikichini RIP.
 
You must take responsibility to step away from situation that do not serve you,
If you don't like where you are,move,you are not a tree,

Kubadilisha mazingira kuna faida kubwa sana coz kuna toa mtazamo mpya wa maisha,kukusaidia kuona mambo kwa njia tofauti na kuongeza hamasa ya mafanikio,kunaweza kukupa fursa mpya za kiuchumi,rasilimali na market,kuongeza uwezo wako wa kufikiri na kujifunza mambo mapya,kukutana na watu wapya pia ina faida kubwa sana,hii ni hatua muhimu sana katika kuuvunja mnyororo wa mazowea ya kufanya kitu kile kile kwa njia ile ile na kukutana na watu wale wale,

Mfano umezaliwa sehemu fulani,ukasomea hapo hapo,ukaishi hapo hapo bila kwenda sehemu nyingine,ni ngumu sana kubadilika kifikra na kiuchumi coz akili yako itakua inaona kua Dunia yote ipo hivi hivi tu,utaridhika hata kama huna kitu,

Naungo mkono hoja ya mleta mada.
 
Kuwa na akili kubwa katikati ya watu wengi(majority) wenye akili ndogo.
Hili nalo hua sio jambo zuri sana,ukijiona akili kubwa ila umezungukwa na watu wenye akili ndogo,basi tambua kua haupo sehemu sahihi.
 
Back
Top Bottom