Nyie mashetani huwa hamnyi?We kuwepo hapa unafurushi la mavi makalioni
Nyie mashetani huwa hamnyi?We kuwepo hapa unafurushi la mavi makalioni
Naunga mkono hii hoja,Unaweza kukataa ni ukweli ambao unaweka fact zake zinaonekana.
Hivi unajua ukiwa genius ukapelekwa USA ni rahisi kufanya jambo kubwa.
Na ukiwa genius ukazaliwa afrika ukaisha kuwa muddy fiziki mchikichini RIP.
sasa kama wote wakiwa na akili kubwa mambo yataendaje..... kila mtu atataka yeye ndio awe na akili zaidi kuliko wenzake hakuna maelewano tena...Kuwa na akili kubwa katikati ya watu wengi(majority) wenye akili ndogo.
Ukweli ni kwamba mazingira yana nafasi kubwa sana kwenye kufungua au kufunga fursa za mtu. Kipaji bila mazingira yanayokikuza kinaweza kupotea, lakini hata Afrika kuna watu wamevuka mazingira yao na kufanya makubwa. Tatizo si bara pekee, ni mfumo wa fursa, elimu, mitaji na mazingira ya kukuza vipaji.Unaweza kukataa ni ukweli ambao unaweka fact zake zinaonekana.
Hivi unajua ukiwa genius ukapelekwa USA ni rahisi kufanya jambo kubwa.
Na ukiwa genius ukazaliwa afrika ukaisha kuwa muddy fiziki mchikichini RIP.
Kabisa. Kipaji kinaweza kuwa kikubwa, lakini mazingira ndiyo yanayoweza kukipa nafasi ya kuonekana na kukua. Wakati mwingine si kwamba mtu hana uwezo, bali yupo sehemu ambayo uwezo wake hautambuliki.Naunga mkono hii hoja,
Thamani ya kitu huonekana pale unapokua sehemu sahihi,
Mazingira yanaamua thamani yako.
Sawa.....Kuwa na akili kubwa katikati ya watu wengi(majority) wenye akili ndogo.
Mungu hajajiwi!! Na hakoseagi!
Even the real bible is from Africa, but why Africa is the last continent in every thing some where we go against GoDsIli jambo nimetafakari sana kuhusu wanadamu wanapojikuta sehemu sahihi au sio sahihi kwa kuzaliwa,kuhama,kubadilisha mazingira,jambo,kazi na n.k.
Kuna mambo unaweza kulazimisha sehemu sio sahihi na wakati wewe ni sahihi mfano kama teknolojia zingekuwa zinatokea afrika basi hata haya tunayo tumia duniani yange kosekana.
Kuna watu wanazaliwa sio sehemu sahihi mfano leo wachezaji wa mpira wa kiafrika wameonekana sahihi ulaya.
Kuna watu wamezaliwa na ukiwaangalia tu unasema huyu jamaa sio mtu wa kuishi mazingira yetu ni kwamba sio sahihi alipo zaliwa au mfumo wake sio wa hayo.
Mfano tundu lissu kwa mtazamo wa sahihi ni kwamba hapa tanzania sio sahihi kuzaliwa hapa alitakiwa kuwa kama USA,IRAN na kwengine ambako anaweza kuipigania nchi kisheria.
Ili jambo sahihi lina umiza sana dunia yetu.