Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 64,960
- 111,265
Katika mjadala kuhusu uwepo wa mungu haya ndio maswali matano ya hovyo sana ambayo huulizwa na waamini wengi kwa bashasha kubwa lakini uhalisia yanadhihirisha IQ ndogo tu za waulizaji
1. Kama Mungu hayupo nani aliweka sukari kwenye muwa?
2. Kama Mungu hayupo nani aliweka utamu kwenye nanasi?
3. Kama Mungu hayupo ulijiumba mwenyewe?
4. Mbona nyani hawageuki kuwa binadamu tena ?
5. Mbona hujui siku ya kifo chako/huwezi kujipangia kifo/ huna uwezo juu ya kifo?