Duru za ndani ya CCM zinanyetisha kuwa hali ya mtafaruku na mfadhaiko mkubwa imeikumba CCM kutokana na pigo takatifu la ushindi wa Tundu Lisu na John Heche katika uchaguzi wa CHADEMA taifa.
Vikao vya wakubwa vimekuwa haviishi, na kupelekea kuleta hofu inayoweza kuzua mpasuko mkubwa wa ndani ya...
Wakuu kuna sehemu boss kahitaji watu wa finance na account kwa ajiri ya auditing, sasa tunafanya nahitaji kuuliza wenye experience unapomaloza auditing kuna uwezekano wa kupata ajira hapohapo katika kampuni hio? (Internal audit) Umuhimu wake ni upi??
Naona kuna mtiririko wa mada nyingi za kukataa ndoa, kwanza niseme mimi nimeolewa na mume ambaye sijutii, hakika sijutii kabisa kuolewa naye tulianzaje bas kisa hiki nina imani kitakua na namna flan ya kufundisha hata kutia moyo wale ambao mioyo ilishakufa zamani kuhusiana na ndoa au mahusiano...
Imekuwa!
Kunapokuwa na mambo ya uchaguzi, mapambano ya kuwania nafasi au cheo na katika mpambano huo ukahusisha Mkubwa au Legend au mtu anayetetea Kitu alichokikalia kwa Miaka mingi kama Miaka ishirini kuendelea.
Legend huyo akapambanishwa na mdogo wake au mtu wa cheo cha chini au ambaye...
Taarifa ninazozipata kutoka ukumbini pale Mlimani City katika uchaguzi wa CHADEMA Taifa, ni kwamba Team Mabadiliko imeibuka kidedea.
Hii ni taarifa njema kwa Tanzania
Huu ni msiba kwa CCM
Hii mvua inayonyesha inanikumbusha zile nyakati zetu utotoni, kila event yenye baraka za Mungu lazima mvua...
HESHIMA YENU WAPENDWA UNAWEZA KUSOMA HUU UZI THEN KAA UTULIE JARIBU KUTAFAKARI HATA KIDOGO KILICHOANDIKWA.
Ni kosa kufikiri kwamba muda unaenda.
Muda hauendi. Muda upo hadi mwisho wa dunia.
Ni wewe unayeenda.
Haupotezi muda. Muda hauna kikomo. Unajipoteza mwenyewe. Wewe ndio una mwisho.
Ni...
Tumshukuru Mungu kwa Kila Jambo
Shukrani ni nini
Shukrani au kushukuru ni kitendo cha kutambua (appreciate) au kujua matendo ya Mungu katika maisha ya kila siku. Ni vema tukatambua kuwa kila kinachopatikana kwenye maisha ya kila siku siyo kwa nguvu zetu wenyewe, bali ni Mungu ndiye...
Rip chadema, ndivyo hivyo tunavyokuaga huku wakuu walliokuua maksudi wakipanga namna ya kujipoza mioyo yao kutokana na majeraha uliowaachia?
Chadema leo umeiga nyendo za CCM za kuengua watia nia ujumbe na nyadhifa mbalimbali ndani yako?
Chadema leo hii umewaliza watu kwa kuwakumbusha...
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Singida (SUWASA) kupitia mradi wa Uboreshaji wa huduma imefanikiwa kuwasogezea maji safi na salama wananchi wa mtaa wa Mungu Maji uliopo Manispaa ya Singida, hatua inayolenga kumtua mama ndoo kichwani.
Mradi huo uliofadhiliwa na SUWASA na kusimamiwa na...
Kuna watu ni wajinga wanaamini kabisa kwamba Kuna mungu utakuta mtu amefanyiwa ubaya na binadamu mwenzie eti namuachia mungu halafu Kwa mujibu wa dini huyo huyo mtu alienda kutubu anasamehewa aisee zindukeni dini na neno mungu limetungwa na matapeli Ili waweze kuitawala dunia ikiwemo kuanzisha...
Majina Mbalimbali ya Mungu
Kwa nini majina tofauti
Mungu ni mmoja tu, lakini katika umoja wake amekuwa akijifunua katika majina mengi, kulingana na uweza wake alio nao, au majira fulani yaliyopita, au matukio ya namna tofauti tofauti yaliyotokea.
Mifano ya majina tofauti kwa mtu yule yule
Ni...
Je ni ruksa kumtukana shetani kwa matusi mazito?
Nasema hivi kwa sababu jana nilipitia karibu na kijikanisa cha kilokole nikasikia waumini wakimtukana shetani kwa matusi mazito tena mengine ni ya nguoni, eti "shetani shenzi kabisa, mwizi mkubwa, ***** la mama yako, Malaya weeee, ndo maana...
Hakika Mungu yupo kwa hili lililowatokea wanandoa wawili nchini marekani katika hili janga la Moto linaloendelea,walikuwa na dakika 30 pekee za kuokoa maisha yao lkn kwa maombi na sala Mungu aliwanusuru wao na nyumba yao
Najiona kwenda kuangukia kwenye ugonjwa wa moyo kutokana na changamoto za huyu mwanamke. Nimekosea sana kupuuzia baadhi ya mambo kipindi cha uchumba nikidhan atabadilika.
Anamatumizi mabaya ya hela.
mvivu
anakiburi
ukimuelekeza anaona anaonewa
Kuna muda hadi nawaza huenda uwezo wake wa akili...
Wakuu huu ni ushuhuda.
Mwaka 2020 nilianza kuishi na Baba mzazi baada ya kuumia kupata Ajali .
Niliamua kubeba hilo jukumu 100% japo ndugu zangu walikuwa wanaruka ruka.
Ila asikuambie mtu tangia nianze kukaa na mzee wangu haya ndo niliyoyapata.
Kila nikitaka kufanya jambo nilikuwa...
Utangulizi:
Katika maandiko matakatifu, tunapata maagizo ya wazi kuhusu hali ya wafu na jinsi tunavyopaswa kushughulika nao. Aya za Mhubiri 9:5-6 na Kumbukumbu la Torati 18:10-12 zinatupa mwongozo wa moja kwa moja ambao unaweza kutumika katika mjadala huu. Hata hivyo, bado kuna desturi miongoni...
Kwema humu jamani, kwa nia njema tu sio kama nakufuru nauliza ili na mimi nipate kujua, ilikuaje mpka leo Sir God hajamsamehe Shetani, mana naambiwaga Shetani alimkosea Mungu lakini sikumbuki kama Mungu alimsamehe. Je Mungu bado ana kinyongo na Shetani?
Salaam, shalom!
Baada ya Mungu kuruhusu mtu kula nyama, alimkataza Kula Damu ya mnyama. Yaani ukichinja myama au ndege, Damu yake hupasi kuitumia Kwa matumizi ya chakula, ni machukizo maana ndani ya Damu ya m yama, mna uhai. ( Mwanzo 9:4).
Sasa Kwa kuwa shetani ni baba wa Hila, baada ya kuona...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.