mungu

  1. T

    Utabiri kuelekea uchaguzi Ukimya wa Mungu haumanishi mmekubalika jambo kubwa litatokea

    Mungu huweka serikali na viongozi kwa wakati na muda anautaka yeye. Warumi 13. Najuwa kuna watu hamuwezi kupenda ila leo natamani mjiulize ktk serikali ya hayati Magufuli idadi ya viongozi ndani ya serikali yake walitutoka wakati tukiwa tunategemea uwepo wao. Nani angeamini tungempoteza Magufuli...
  2. Carlos The Jackal

    Usimdhihaki wala usimkufuru Mungu. Kamwe hawezi ruhusu kiumbe alichokiumba kimkufuru, atakufutilia Mbali. Tazama Mifano hii

    Mlnakumbuka ya Brazili 2023? Walivyofanya sherehe ya kumtukuza Shetani? Kesho kutwa yake Mungu afutilia mbali kamji kote . Vipi kuhusu walomtukana Mungu?. https://youtu.be/_eGuEloeetM?si=o_JAQUPNjpvQoMOP Na hili la Los Angeles halijathibitishia Uwepo wa Mungu? Hivi mnajua wiki chache kabla...
  3. Msanii

    Je mahakama zetu ni adui wa HAKI? Je rais ni Mungu wa Tanzania?

    Habari wanabodi Nimefuatilia kwa kitambo sana mwenendo wa mfumo wa sheria na utawala nchini kwetu, nimekuja kupata swali linalonipa ukakasi sana sana KWa tukio la juzi kukamatwa usiku wa manane Dokta W. Slaa na namna tuhuma dhidi yake kwamba upelelezi haujakamilika inaleta picha ya namna vyombo...
  4. Waufukweni

    Pre GE2025 Kuna vita ya chinichini inaendelea dhidi ya viongozi wa dini wanaokosoa Serikali

    Kwanini wanapotosha, kwanini hakuna anayeweka uthibitisho wa video habari hii ya madai kuwa Tundu Lissu amethibitisha Padre Dkt. Charles Kitima kushiriki vikao vya siri vya CHADEMA? Katika video ya mahojiano na Waandishi wa Habari pale Uwanja wa Ndege hakuna mahali Lissu amemtaja Kitima lakini...
  5. D

    Kumbe kuna scenario ambapo ukijificha Mungu hakuoni!!

    Ukisoma katika biblia takatifu hasa kitabu cha mwanzo baada ya adamu kula tunda lile walilokatazwa kula Mungu aliwayafuta bustanini asiwaone. Kumbe kuna wakati mungu Ukijificha hakuoni. Basi nikitaka kuzini nitakuwa najificha ili asinione
  6. Carlos The Jackal

    Hasira ya Mungu imeshuka juu ya LOS ANGELES, inateketea Kama Sodoma Na Gomora

    Mimi siwatishi Wala nini, Vyombo vya habari vitawadanganya kua Ni Mabadiliko ya Hali ya hewa, Mara Moto usiojulikana chanzo ,mara vile !!. Usiombe Mungu akasirike alafu akuonyeshe waziwazi kua amekasirika na aamue kukutumia wewe kama mfano. Los Angeles, Jiji maarufu ambalo Mashoga na wooote wa...
  7. Dogoli kinyamkela

    Siri ya kuomba Mungu kwa usahihi ili upate majibu

    Kuna dhana ipo katika watu wengi kuangaika kutuma maombi yao kwa Mungu (ulimwengu wa kiroho) ili kuweza kupata majibu ya maombi yao. Tatizo ni jinsi ya kutuma maombi. Shida kubwa kwa watu ipo katika namna ya kuongea na Mungu/ulimwengu kwani wengi hawajapewa siri ya kuongea na muumba wa kweli...
  8. Mkalukungone mwamba

    Nigeria: Aliyemtukana Mungu ameachiwa huru baada ya kutumikia kifungo cha miaka minne gerezani

    Mwanaume asiyeamini kuwa Mungu yupo kutoka nchini Nigeria, Mubarak Bala (40) ameachiwa huru baada ya kutumikia kifungo cha miaka minne gerezani kwa tuhuma za kumtukana Mungu kupitia Facebook mwaka 2020. Mubarak alikamatwa Aprili 28, 2020, kwa tuhuma za kukufuru dini na uchochezi kutokana na...
  9. C

    Nimeanza safari ya ufugaji Sungura mwaka jana (2024) mwezi wa kumi, namshukuru Mungu, nimeanza kuona maendeleo taratibu, hatua kwa hatua

    Baada ya kukaa muda mrefu bila kujihusisha na ufugaji wa aina yoyote, kuacha mbwa mmoja ambae namfuga kwaajili ya ulinzi, mwaka jana, 2024 mwezi wa kumi mwanzoni, niliamua kuanza ufugaji wa Sungura kwaajili kupata mboga kwa matumizi ya nyumbani na pale patakapokuwa na Sungura wa ziada, basi...
  10. Magical power

    Ahsante Mungu ndoto yangu imetimia.

    Ahsante Mungu ndoto yangu imetimia. Nilianza kujiwekea akiba tangu mwaka 2018 na leo ndoto yangu imetimia kwani nimefanikiwa kununua kamera ndogo iliyopiga picha gari hii.🙏🙏
  11. SankaraBoukaka

    Kama Mungu ni mkamilifu, kwanini aliipitisha urethra (mrija wa mkojo) katikati ya tezi dume?

    Wakati tunaamini kuwa Mungu ni mkamilifu, bado tunakutana na mambo magumu kuhusu baadhi ya maumbile ya mwili wa binadamu. Mojawapo ya maswali hayo ni muundo wa tezi dume na jinsi urethra inavyopita katikati yake. Hii inaleta changamoto zifuatazo: 1. KUKOSEWA KATIKA MUUNDO? Kutegemea Umri...
  12. hmaloh

    Mungu yupo jamani natena anatenda na kujibu maombi

    Asalaam aleykum wana jf wengine itifaki imezingatiwa,leo nimeamua kuja na hii mada yakuwa Mungu yupo na anafanya kazi katika Kila sekunde ya saa kama hauamini basi nikwasababu tu umekataa kuamini kuwa yeye yupo na anatenda (God is almighty) pia haangalii dini wala dhehebu ila Imani yako thabiti...
  13. Carlos The Jackal

    Mkumbusheni Rais Samia, Mungu atamkasirikia na kumpa Kisogo endapo ataendelea Kugawa mamilioni Kwa Hawa Manabii Feki!!

    Ikiwa ni Mungu pekee Ndiye agawaye Mamlaka Kwa watu. Ikiwa ni Mungu pekee ndie anahitaji Mtawala kuyatenda yaliyo mapenzi yake. Katika Dunia hii ambayo Shetani na Mawakala zake wako kwenye vita Kali dhidi ya Kanisa. Basi Mtawala yoyote yule ambaye Mkono wake utachangamana na BABELI katika...
  14. G

    Unapopokea sifa, omba Mungu wako akupe busara na unyenyekevu, wengi wamepotea kwa kulewa sifa

    Adui namba moja wa mwanadamu ni "Sifa" Sifa ni neno dogo lenye herufi nne, lakini limeumiza, limeangamiza, limeua na limepoteza haiba, roho, nafsi, karama, vipaji na uwezo wa wanadamu wengi sana duniani. Bila shaka wahenga walijua madhara na athari za sifa, wakaonya kuwa "mgema akisifiwa tembo...
  15. J

    Mambo matatu ya kujua kuwa Mchungaji fulani si Mtumishi wa kweli wa Mungu

    Habari zenu wanajamii, siku hizi kuna makanisa mengi sana yanaibuka yenye wachungaji, manabii, mitume, walimu, n.k. Jambo linalopelekea upotoshwaji mwingi kufanyika kwa kutumia jina la Mungu na mwanae wa pekee Yesu Kristu. Haya ni mambo matatu unayoweza kutumia kujua kanisa au mtumishi gani ni...
  16. eden kimario

    Huyu mtu ni zawadi ya kipekee kwa Tanzania, ambayo Mungu ametupa. tusimkwaze na harakati zake. tushikamane naye

  17. J

    Mbinu 7 ambazo shetani hutumia kuwaweka watu mbali na Mungu katika dunia ya sasa

    Kwenye dunia ya sasa, shetani anapambana sana kuwaweka watu mbali na Mungu. Na anatumia mbinu na mitindo ya maisha ya dunia ya sasa kufanikisha hilo: 1. Kuvutia watu kwa maisha ya kidunia na mali: Shetani hutumia tamaa za ulimwengu, kama utajiri, umaarufu, furaha za nje, na starehe za mwili...
  18. S

    Kama kweli Mungu yupo, basi hana nguvu

    Habari zenu Wanajamiiforums. Kwa mda niliotumia kumuomba Mungu na kutokupata majibu yoyote, nahitimisha kuwa nguvu za Mungu si nyingi kama tulivyoaminishwa. Aisee nataka kuamia Mizimuni, Anayejua namna ya kutambikia Mizimu anielekeze, Mungu aliyeletwa na meli kwenye maisha yangu amefeli (Hana...
  19. S

    JE, KWELI MUNGU YUPO?

    Kama kweli Mungu yupo basi yeye ni katili sana na sifa ya kuwa ana UPENDO haimfai. Ni hayo tu, AM DONE.
  20. eden kimario

    Nawauliza watumishi wa Yesu Kristo: Mungu Mkuu kupita miungu yote, aliye hai peke yake, kwa nini wanaoneana Wivu katika kazi walizopewa!?

    habari ya wakati huu jamii forum leo nawazungumzia hawa watumishi na ninaposema watumishi sio tu wahubiri wa neno la Mungu na na utendaji wa huduma zao, bali na waimbaji wa nyimbo za injili ambao wao wanahubiri kupitia nyimbo, ikiwa ni moja ya zile huduma tano alizotoa Yesu Kristo ya...
Back
Top Bottom