Ukitafakari bila woga wala uzwazwa dhana mbili yaani mungu na shetani, unagundua yafuatayo:
Mosi, wote wawili waliumbwa au kufinyangwa na binadamu.
Pili, shetani ana nguvu sana kuliko mungu.
Tatu, shetani ana akili sana kuliko mungu. Kwa sababu, pamoja na kupigwa vita na kila mmoja, hana...
Hii ni THE GIDEONS Edition 1980 Copyringht by Thomas Nelson Inc.
Kwenye kitabu hiki kitakatifu cha Mungu, Musa aliandika kama ninavyo nukuu.
"IN THE BEGINING GOD CREATED THE HEAVEN AND THE EARTH, THE EARTH WAS WITHOUT FORM, AND VOID, AND DARKNESS WAS ON THE FACE OF THE DEEP, AND THE SPIRIT OF...
Ni kwanini ccm ina uraibu wa kufanya vimirad vidogo karne hii ya 21.
Vijumba vya hivi vidogo ni vya miaka ya 60.
Ukimtoa magufuli , ccm bado wanaishi mwaka 1960.
Nawaza msinijie juu!!Nikiangalia dunia ilipo na miradi yetu haviendani
Kutokana na maneno aliyoyasema mbowe akiwa nawaandishi wa habari nyumbani kwake Jana tarehe 18.12.2024 imejidhihirisha kuwa CHADEMA NI Mali ya mbowe maana kwa kinywa chake na nukuu" CHAMA CHANGU NIKIONA KINZAMA SHIMONI NITAINGIA MZIGONI "
Kwa maneno hayo inaonesha wazi kabisa chama hicho NI Mali...
MUNGU BAADA YA KUKATALIWA NA WANADAMU ZAIDI YA MARA MBILI AKAAMUA KWENDA MBALI NA USO WA DUNIA.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Maskini! Ni simulizi ya kuhuzunisha Sana. Hakuna kitu kibaya kama KUKATALIWA, hakuna kitu kibaya kama kutokupendwa.
Mungu akaumba dunia. Kisha akaona acha amuumbe...
Salaam, Shalom!!
Ni Rahisi sana kutolewa ugonjwa au LAANA iliyosababishwa na Hila za shetani na mapepo yake, lakini ugonjwa au LAANA Toka Kwa Mungu au wazazi huna namna ya kuiondoa.
Ukipatwa na LAANA Toka Kwa Mungu au wazazi waliokulea, huwezi pata msaada kwingine kokote, hayupo wa kukuombea...
Sijatambua ni mungu wa aina gani ambaye anaabudiwa na wanawaisrael sababu kubwa ni kwamba.
Kipindi yakobo anatokewa na Mungu beer sheba kama sikosei aliweka jiwe la agano,je hatuoni kiwa kinachoabudiwa ni mizimu ya Israeli?kama tunavyotambua kiwa Mungu ni nguvu na ipo kila mahala inakuwaje lile...
Kwa namna alivyouawa mzee Ali Kibao bila wahusika kujulikana, kutafutwa wala kuchuliwa hatua, ni mwendawazimu pekee anayeweza kujiamini mbele ya makatili na wauaji ambao wameshika kani chini ya kivuli cha watu wasiojulikana ingawa wanajulikana. Kwa kuzingatia hali na ukweli huu, nashangaa Tundu...
Mchungaji Mmoja ambaye ni maarufu sana huko Mkoa wa Geita amesikika akihubiria Mamia ya umati wa watu akisema Mungu ana kusudi na Tundu Lissu.
Amesema yeye angekuwa Lissu angeokoka na kuacha siasa na kugeukia uchungaji.
Mchungaji huyo ambaye awali aliokoka baada ya kutumikia Shirika la Siri la...
Nipo mahali aisee mdada kajifunguliq nyumbani sasa kijana now yupo 15yrs hana maamuzi anakosa hata ule uhuru binafsi kama mtoto kila kosa akifanya malalamiko anatukanwa Baba yake na kabila zima
Usihangaike kuomba, kuombewa, mafuta ya upako, maji ya upako.
Kanuni ya kupata muujiza kwa Mungu ni kuacha uovu. Kama bado unafanya uovu usitegemee muujiza kutoka kwa Mungu
Maandiko yanasema akusamehe maovu yako yote, akuponya magonjwa yako yote. ( zaburi 103:3)
Mahubiri ya yesu Kristo wakati...
Makala hii nitaiweka kwa vipande kuepusha kero ya usomaji.
Moja ya hoja maarufu kutoka kwa watu wanaoamini Mungu (Theists).
Ni hoja ambayo imelenga kuweka matumaini ya mwelekeo katika maisha ili kuwafanya watu waone kuamini Mungu yupo ndio uchaguzi bora zaidi (rational) kwasababu haitakupa...
Imani za kidini barani Afrika ni zaidi ya madawa ya kulevya zimeharibu akili na mfumo mzima wa kufikiri wa waafrika.
Linapokuja suala la udini Waafrika wanampigania Mungu kwa nguvu zao zote wakitetea dhana ya kufikirika ambayo hawawezi hata kuithibitisha uwepo wake. Tena unakuta wanaipigania...
Huwa nashangaa sana nikiona collective thoughts za waafrika hasa mitandao ya kijamii, Utaona mtu kaandika "Mwaka huu utapata milioni 100, andika amen" basi utakuta mpaka komenti elfu 1 watu wanaamini watajaziwa pesa kwenye mito wanayolalia waamke wazikute kama mapera.
Wengine hata...
Ukiangalia na kuchunguza kisa kizima cha kuzaliwa Yesu, unamshangaa yeye, mama yake, baba yake hata Mungu wake. Eti bikra alipata mimba kwa roho mtakatifu! Hii maana yake nini wakati tunaambiwa roho ya Mungu ilimfunika Maria. Kama kweli ilimfunika, nani anajua kilichofanyika wakati amefunikwa...
1. Wamarekani asilimia 63 ni wakristo.
2. China asilimia kubwa ni Buddhists na Taoism.
3. Japan asilimia 70 ni Shintoism.
4. Israel asilimia 70 na raidi ni Jewish.
5. Saudia asilimia 90 na zaidi ni waislamu.
6. India zaidi ya asilimia 70 ni wahindu.
Qatar ni nchi ya kiislamu Ina maendeleo...
Kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu,ni haki yangu kikatiba,nina elimu ya kutosha,umri unaruhusu,hivyo kwa mapenzi yangu makubwa na nchi yangu ya Tanzania ,na kwa kiu yangu kubwa ya kutaka kuiona Tanzania inapiga hatua za kimaendeleo katika kila nyanja,nimeona ifikapo mwakani na mm...
Hello!
Katika kazi ya utumishi wa Mungu kuna watumishi wa aina 3, watumishi wa kweli (Watumishi wa Mungu aliye hai), watumishi fake na watumishi wa uongo.
Kila kundi lina makundi mengine madogo madogo lakini nitaeleza kwa ufupi tu.
1. Watumishi wa kweli
Hawa ni watu wa Mungu ndani ya kanisa...
Ndugu zangu Watanzania, Kila mmoja wetu atumie muda kujiuliza hili swali, Kwan Watanzania tumemkosea nn Mungu? Au tuna laana? Mbona hakuna tunachokiweza?
Tunashindwa kuendesha hata mradi mmoja tu wa SGR mapema hivi? Tumeshaanza blah blah Mara sijui engine za diesel.
Iko wapi nafasi ya usalama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.