Ukisoma vitabu vya ngano viitwavyo vitakatifu vinadai kuwa Mungu alimuumba Adam tokana na udongo. Ajabu ya maajabu na kujichanganya, vitabu hivyo hivyo, vinasema:
Mosi, Pili aliumbwa kwa kufinyanga udongo.
Pili, je Mungu tunayesema hafananishwi na chochote, ilikuwaje akaumba kiumbe/viumbe kwa...
Kiuhalisia ni kwamba mara nyingi watu wamekua wakisema Mungu ni roho, namimi nakubaliana na hii kauli ya kwamba ni kweli Mungu ni roho, lakini tujiulize kidogo je, Mungu ni roho kwa namna gani? Kwa maana maandiko husema ya kwamba sisi tuliumbwa kwa mfano wake.
Kwahiyo kama sisi tumeumbwa kwa...
Kama kweli mnasema waumini wenu wanapotoa fedha zao wanamtolea Mungu, mbona asilimia kubwa ya fedha hizo mnabaki nazo wenyewe na kuwafanya kuwa mabilionea ilhali hakuna muumini yeyote anayekuwa bilionea kwa kutoa pesa zake? Au huyo Mungu ndio ninyi wenyewe?
Mungu hajagawanyika katika nafsi tatu. Mungu ni nguvu, Mungu ni energy. Mungu amesambaa katika kila kona unayoijua. Roho zilizo ndani ya nafsi na miili yetu ni sehemu tu ya Mungu. Ndiyo maana hata maandiko yamekiri kuwa sisi ni Mungu, yaani tunaroho wa Mungu. Hivyo, masomo ya Kikushi...
Zamani huko Ulaya, ukipinga ukiristo unapatilizwa chini ya kile kilichoitwa inquisition.
Kwenye uislam, ukiupinga chini ya dhana ya jihad unauawa.
Huwa nashangaa.
Kwanini kupigania dini ya 'Mungu' kana kwamba Mungu hana uwezo wa kuipigania dini yake?
Tunapigania dini ya Mungu au maslahi...
Amani ya Mungu itawale kila mmoja kwa imani yake wanajf popote mlipo.
Nimeoneshwa jambo ambalo sikutegemea kwa ndugu Makongoro Nyerere , sasa sijui ndo huyu mwanae na Baba wa taifa?
Mungu kanionesha mtu mwenye sura ya uyu ndugu na kuniambia ataenda kuwa mtu mkubwa sio mda ,mtu mkubwa hapo...
Kiranga anasemaje kuhusu Mungu.?
Kuna kafir mmoja alidai shetani ndio mungu na mungu ndio shetani.
Waluosomea Cuba watakubaluana nami kuwa Mungu wetu tangu uhuru amejibu maombi nara moja tu mwaka 2021
Ukweli ndo huu mara tu tukiulizwa swali hili upo wapi? maswali huwa ni mengi sana kichwani.
Ukiwa sehemu hatarishi hapo sasa ndo wasiwasi unakuwa mkubwa unajiuliza hivi kaniona au kaambiwa nilipo.
Inaweza chukua dk1-2 kujibu swali hili mazee.Mara nyingi huwa ni mtego usikurupuke kujibu kama...
Akishiriki kuaga mwili wa aliyekua Mbunge wa Kigambonio na Mkurugenzi Mteule wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Ukanda wa Afrika Dkt. Faustine Ndugulile, leo tarehe 02 Disemba, 2024, Spika wa Bunge Dkt. Tulia Ackson amesema:
"Namuomba Mungu kwenye hii safari ambayo kila mmoja ataenda basi mimi...
Habari nilizo zipata muda huu ni kwamba. Simu hizi zitakuwa zinakamata internet moja kwa moja kwenye satellite.
Hii ni habari njema sana wanasayansi ni wakombozi wa hii dunia.
=========
SpaceX and T-Mobile have secured a major victory with approval from the U.S. Federal Communications...
Kwa nini Mungu anataka binadamu wamuabudu, wamuombe, wamtolee sadaka na kumshukuru?
Kama unaamini Mungu yupo ni dhambi usipomuabudu, usipomuomba au usipomshukuru? Yani kama unakubali yupo lakini haufanyi ibada au shukrani yoyote kwake wewe unahesabika ni muovu? Atakufanikishia mambo yako?
Kwa...
Ni jioni sasa,nimesima hapa sebuleni kwangu,naangalia nje,mvua inanyesha.Naangalia miti na maua inavyopeperushwa na upepo, ni shwaaaaaaaaa, sauti ya majinya vua, na fyuuuuuuuuuuuuuuuu, sauti ya upepo,nani kwangu ni kimyaaaa kabisa,narudisha macho ndani,nakutana na vitu vya nyumbani, meza, viti...
MCHA MUNGU na MCHA DINI NI watu wawili tofauti.
MCHA MUNGU anaishi kwa kumtii Mungu moyoni mwake tena kwa hiyari bila shurti lakini MCHA DINI anaishi kwa kuwatii viongozi wa dini yake zikiwemo sheria walizozitunga kwa ajili yake!
MCHA MUNGU anatambua fika kwamba kila alitendalo liwe la Siri au...
Mimi huwa nashangaa watumishi kuchukulia maneno ya Musa (Zaburi ya 90:10) na kuacha neno la Mungu mwenyewe la (Mwanzo 6:3) "Bwana akasema, Roho yangu haitashindana na mwanadamu milele, kwa kuwa yeye naye ni nyama; basi siku zake zitakuwa miaka mia na ishirini." (Yaani miaka 120)
Sasa watu...
Older mnaokimbiliaa ndoa
Bora uchelewe kuoa ukimwomba Mungu akupe mwenye hofu yake
Mwanamke pekee atakayeishi kwa upendo nidhamu na hekima
Ni yule aliye na hofu na Mungu
Haya makanjanjaaa yamejazana ibdan yanaotea kama betting usijichanganye kizembee utakufaà
Ukishayaoaa yanageuka kuwa...
“And Samuel said unto Jesse, Are here all thy children? And he said, There remaineth yet the youngest, and, behold, he keepeth the sheep. And Samuel said unto Jesse, Send and fetch him: for we will not sit down till he come hither”. 1 Samuel 16:11 (KJV)
The question I want to ask today is what...
Samahani, hapo swali ni moja tu maana kuna mtu akishakunywa pombe tu anafanya vitu vya hovyo sana, baadae anarudi anakaa sawa, then anarudia tena makosa tena yanakuwa makubwa tu, watu wanamsamehe, anaenda kanisani anaombewa baadae anaanza tena.
Miaka inaenda, umri unaenda, hana kazi stable...
"Pray for Palestine" "Pray for Ukraine" "Pray for Congo" "Pray for Kariakoo"
Hizi zimekuwa nyimbo kila mahali utakapopita mtandaoni imekuwa ni kawaida ya wanaoamini kuna Mungu wakijifariji kwa kuandika maneno au kuomba wakiamini kuna mtu wa ajabu yupo mahali anasikiliza maombi yao na kuna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.