Wadau hamjamboni nyote?
Taarifa kamili hapo chini:
Al Mustapha ambaye ni Mkuu wa Chuo Kikuu cha Al Taghavi Tawi la Tanzania amewaomba Waislamu wote duniani kukipenda kitabu kitakatifu cha Quraan akisistiza ni kitabu pekee ambacho waumini wote wamekubaliana kukitumia na kimetoka kwa Mungu...
Tundu Lisu ana sifa moja kuu, anapenda kujenga hoja bila kuweka chuki au uadui. Hana adui wa kudumu na kutokuwa na adui hakujawahi kumfanya awe mnafiki kama walivyo wanasiasa na wanazuoni wengine.
Anapotamka wazi kwamba Magufuli hakuuza nchi kwa mikataba mibovu anasema ukweli. Anaposema Mkapa...
Salaam, Shalom.
Hii ni habari njema Kwa wakazi wa Dar es Salaam, Mungu amewaepusha mbali na dhahama ya mafuriko.
Iliarifiwa kabla juu ya janga kubwa la Mafuriko kuukumba mji mzima wa Dar na watu kuarifiwa kuhama,
Mtumishi mmoja amepata kibali Cha kuomba Kwa HAKI mbele za Mungu na kumsihi...
Sote tunafahamu na tunatambua kuwa uchawa (chawaism) upo katika nchi hii na katika ngazi tofauti za uongozi, lakini kitendo cha mtu kuonyesha uchawa uliopitiliza ni zaidi ya uzwazwa. Nilipomsikia Profesa Kabudi akisema kuwa Magufuli ni Mungu wake nilidhani ni masikhara. Kumbe Rais akikuteua...
MITHALI 18:22
Apataye mke apata kitu chema naye ajipatia kibali kwa BWANA.
WAEFESO 5:31
“Kwa sababu hiyo, mwanamume atamwacha baba yake na mama yake, ataungana na mkewe, nao wawili watakuwa mwili m'moja.
1 WAKORINTHO 7
Lakini kwa kuwa dhambi ya zinaa imeenea, kila mwanamume awe na mke...
Mungu ametuwekea mambo ya kutupa raha machache sana yaani ukifikiria raha ni kunywa pombe, kula chakula, kufanya mapenzi na kulala usingizi.ila cheki majanga yalivyo mengi magonjwa, majanga ya asili, umaskini, ajali n.k
At least kidogo tungekuwaga na uwezo wa kupaa Kama ndege yaani unaruka...
Salaam ,Shalom!!
Wapo wanaokwambia kuwa yanayotokea duniani ni mabadiliko tu ya TABIA Nchi, wengine wanaokwambia ni nature, nk nk
Rabbon ninakudokeza kuwa, hiki kipigo Dunia inachopokea ni adhabu Toka Kwa Mungu.
Mafuriko katika Nchi zenye jangwa kama Dubai, Saudi Arabia nk nk, Milima...
"Ewe Baba Mwenyezi Mungu naomba fanya kila uwezalo Klabu yangu ya Simba SC isiishie kabisa katika Nafasi ya Tatu bali ishie nafasi ya ama ya Tano au ya Saba ili sasa Sisi Mashabiki na Wanachama Kwanza tuanze Kupigana wenyewe kwa wenyewe kisha Hasira zetu tuzihamishie kwa Viongozi wetu na baadae...
Utasikia, fulani alikuwa jambazi hapo zamani kwa sasa kaokoka, fulani alikuwa tapeli sugu hapo zamani kaamua kuokoka au fulani alikuwa mbakaji hapo zamani kaamua kuokoka. NONSENSE, UJINGA! Mnakosea sana, mnjidanganya, mambo hayendi hivyo!
1. TUACHE MASIKHARA KWA MUNGU WA HAKI
Huwezi kuroga...
Mzuka wanajamvi!
Mji wa kisasa wa kitajiri unasifiwa kwa miundombinu bora duniani sasa hivi iko underwater mafuriko ya hatarii hadi shughuli zote kusimama. Hii ni baada ya mvua kubwa na dhoruba na radi.
Tulikuwa tunalalamika bure mafuriko Arusha na rufiji.
====
---
Torrential rain and...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.