Naanza kupata wasiwasi na uwepo wa Mungu

Naanza kupata wasiwasi na uwepo wa Mungu

comrade_kipepe

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2019
Posts
8,748
Reaction score
18,096
Mbona kama TAJIRI anaonekana ana nguvu na anaabudiwa kama Mungu? Mbona watumishi wa Mungu wanamuogopa Tajiri kuliko Mungu?? KAMA KWELI MUNGU UPO TAJIRI ASIMALIZE MIEZI 7

Kama Mungu yupo kweli Mbona anaacha TAJIRI anaabudiwa na kuombwa kama Mungu?

Kwasasa TAJIRI ana nguvu kuliko Mungu huyu tunaesema yupo, kilichobaki sasa ni kutungiwa nyimbo za kumsifu na kumuabudu Mwenyezi Mungu TAJIRI.

Mtakatifu TAJIRI utuombeee!
Wewe ndio MUMU WA WAJANE!
Wewe ndio MUNGU WA ISAKA NA YAKOBO!
Mtume TAJIRI S.A.W

Hapa chini kuna video za wamama wakilia kwa kuomba na kumuabudu TAJIRI, mmoja amefikia hadi hatu ya kusema WEWE NDIO KILA KITU HAKUNA MWINGINE TEGEMEZI LETU NIWEWE!

Tupate nyimbo mbili tatu za kumsifu na Kumuabudu TAJIRI awe na Roho ya IMANI kwa wajane hawa.



 
Tupate nyimbo mbili tatu za kumsifu na Kumuabudu TAJIRI awe na Roho ya IMANI kwa wajane hawa.
 
Back
Top Bottom