Kiongozi mwenye ya Mungu hawezi kufurahishwa na haya yaliyotokea na yanayoendelea kutokea nchini

Think2

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2025
Posts
3,087
Reaction score
6,024
Ni wendawazimu pekee wanaoweza kufurahia ushuzi huu nchini eti kiongozi mkubwa kabisa anaongea utumbo mbele ya vyombo ya habari eti walipigwa risasi sio watz ni raia kutoka nje, wakati watoto wetu dada zetu na wajomba zetu wamepigwa risasi wakiwa nyumbani swali hawa ni raia wa kigeni? Nahisi viongozi wapimwa akili mwenye akili sawasawa hawezi kuongea ushuzi huu.

Anatokea polisi mwenye cheo kikubwa et nae haamini et video zimetegenezwa kwa AI?? Watu wengi wameua kwa kupigwa risasi za chogo au kwasababu sio ndugu zao?

Inauma sana mtoto mdogo wa darasa la saba anaesubiri kujiunga form one kapigwa risasi akiwa nyumbani afu kuna Kenge wanataka maridhiano, utafanyeje maridhiano na wauaji ?

Watu wameua baba yako unafanyeje nao maridhiano lbd mwendawazimu pekoe anaweza kukaa megza moja na mashetani

Watoto wadogo wanapewa kesi za uhaini kisa kucheza challenge za tiktok 😂

Hii nchi imetoboka sasa vilaza ndio wameshika usukani wanatupeleka shimoni tukisema tunapewa kesi ya uhaini.

Mtu yuko zake dukani kagongwa risasi anafamilia inamtegemea watoto wadogo wataishi vipi bila mzazi wao.
 
Matukio Baada ya Uchaguzi 2025: Namna Majirani Nane Walivyouwawa Kinyerezi Dar es Salaam.

Majirani hao waliuwawa usiku wa kuamkia Novemba 03, katika mtaa wa Kanga-Kariakoo, Kinyerezi

Back
Top Bottom