GE2025 Mungu kawaweka Heche na Lissu gerezani kuonyesha ukweli

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
9,780
Reaction score
15,488
Mungu ana mbinu ambazo mwanadamu hawezi kuzielewa. Sasa hawawezi kusingizia kuchomwa kwa nchi viongozi wa Chadema. Lakini hawawezi kusingizia chama ambacho kimefungiwa wakati wa uchaguzi na walikuwa hawafanyi hata mikutano. Kibaya zaidi sasa serikali inataka kusingizia wakenya na watu ambao hawapo Tanzania!

Ukweli ni kwamba vijana wamechoka ufisadi, utekaji na unyimaji haki wa CCM na Samia. Watu walidai watwekaji wa CCM na Chadema kama Mdude na Polepole. Chaguzi fake matokeo fake na tuna Raisi sasa fake.
 
Mungu usimsingizie Upumbavu wako BOGA weye.
Hao wote wanashtakiwa kwa makosa yao waliyofanya.
MUNGU kwanza yuko na Waizraili Pakistani we unaleta ujinga.
 
Mungu ana mbinu ambazo mwanadamu hawezi kuzielewa. Sasa hawawezi kusingizia kuchomwa kwa nchi viongozi wa Chadema. Lakini hawawezi kusingizia chama ambacho kimefungiwa wakati wa uchaguzi na walikuwa hawafanyi hata mikutano. Kibaya zaidi sasa serikali inataka kusingizia wakenya na watu ambao hawapo Tanzania!

Ukweli ni kwamba vijana wamechoka ufisadi, utekaji na unyimaji haki wa CCM na Samia. Watu walidai watwekaji wa CCM na Chadema kama Mdude na Polepole. Chaguzi fake matokeo fake na tuna Raisi sasa fake.

Mungu ni FUNDI wa kila kitu. Hata ule Mpango wao wa kuifuta Chadema sasa umebua. Bila hii kitu kutokea walikuwa wanakwenda kuifuta Chadema kama Chama cha Siasa Tanzania.
 
Heche kagoma kula siku 4 sasa na anaumwa.
Mwenzie Lissu anatafuna mpunga tu awe na nguvu kupiga soga mahakamani
 
Back
Top Bottom