Afrika Mungu anatajwa sana kuliko Israel, Vatican na Mecca na hili ndo chanzo cha matatizo yote

Ibilisi Mjalaana

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2019
Posts
8,297
Reaction score
16,529
Dar ni automatic sauna

Niende kwenye mada, ukija Africa utakutana na jamii ya watu wa ajabu kwelikweli wao kila muda Mungu Mungu tu hawajali jitihada zao na mbinu zao wao wanaamini kila kitu ni mipango ya Mungu tu.

Mtu kapata kazi halmashaur anasema Mungu kamsaidia lakini jitihada zake hazip credit

Mtu kapata tupesa kidogo kwenye biashara anasema kamsaidia lakini jitihada zake hazip credit

Mtu kafaulu level fulan ya elimu itasikia Mungu katenda.. lkn jitihada zake hazip credit

Mtu anadhulumiwa haki yake anasema Mungu atamlipia hawek effort yoyote ile anasubir miujiza, huyo mtu akifa anasema Mungu kajibu 😄😄😄 wakat kifo ni universal truth

Mtu kafanikiwa kidogo kimaisha anajiona yeye ndo mchamungu wengine wote hawana imani jitihada zake hazip credit

Mungu yupo hatukatai lkn tuamini katka hatua na jitihada tu sio kila muda Mungu Mungu.

Huu upumbavu upo Africa katka Dunia yote na mbona bado sisi ndo katika watu wajinga, wapumbavu, wapenda ngono, wachawi, masikini wakutupwa, wanafiki, wezi, tamaa, vilaza na ubinafs huyo Mungu mbona haoneshi hayo maajabu hapo

Mimi nikiona mtu anataja Mungu katka kila mambo yake namuona mpumbavu wa mwisho kabsa

Trust your effort, process and strategy achana na Mambo ya Mungu Mungu kila muda kila jambo

Nawasilisha
 
Uhai wako ni Mungu
Kuishi kwako ni Mungu
Kufanya kazi kwako ni Mungu
Kusoma kwako ni Mungu
Kutembea kwako na kutenda kwako ni Mungu ameruhusu, asiyetambua Mungu katika hatua zake huyo amepotoka.
Unafikiri mafanikio yako yametokana na nguvu zako na ujanja-ujanja wako tu? Kama unafikiri hivyo ujue umepotoka.
Kwanini unajisikia vibaya watu kumtaja Mungu katika mafanikio yao? Shida inakuwa wapi? Ulitaka wamtaje nani, tunaanza na Mungu kisha wale watu Mungu aliwatumia kutusaidia kufika pale tulitakiwa.
Asante.
 
Hizi ngonjera zote ulizoandika ulizoweka nikiamua kufanya zisizitokee nashindwa?

Nikisema sili, sitakufa kama uhai ni Mungu?

Nikisema niumwe kimakusudi na nisijitibie sitakufa?

Nikisema sifanyi kazi nakaa tu, Mungu atanipeleka kazini kwa nguvu?

Nikisema sitak kusoma, Mungu atanipeleka shule?

Mm nacontrol maisha yangu nawew maisha yako umeacha maisha yako yawe controlled na external factors like luck,fate and other people huo ndo upumbavu wa mwisho kabsa dunia.
 
Dar ni automatic sauna

Niende kwenye mada, ukija Africa utakutana na jamii ya watu wa ajabu kwelikweli wao kila muda Mungu Mungu tu hawajali jitihada zao na mbinu zao wao wanaamini kila kitu ni mipango ya Mungu tu.

Mtu kapata kazi halmashaur anasema Mungu kamsaidia lakini jitihada zake hazip credit

Mtu kapata tupesa kidogo kwenye biashara anasema kamsaidia lakini jitihada zake hazip credit

Mtu kafaulu level fulan ya elimu itasikia Mungu katenda.. lkn jitihada zake hazip credit

Mtu anadhulumiwa haki yake anasema Mungu atamlipia hawek effort yoyote ile anasubir miujiza, huyo mtu akifa anasema Mungu kajibu 😄😄😄 wakat kifo ni universal truth

Mtu kafanikiwa kidogo kimaisha anajiona yeye ndo mchamungu wengine wote hawana imani jitihada zake hazip credit

Mungu yupo hatukatai lkn tuamini katka hatua na jitihada tu sio kila muda Mungu Mungu.

Huu upumbavu upo Africa katka Dunia yote na mbona bado sisi ndo katika watu wajinga, wapumbavu, wapenda ngono, wachawi, masikini wakutupwa, wanafiki, wezi, tamaa, vilaza na ubinafs huyo Mungu mbona haoneshi hayo maajabu hapo

Mimi nikiona mtu anataja Mungu katka kila mambo yake namuona mpumbavu wa mwisho kabsa

Trust your effort, process and strategy achana na Mambo ya Mungu Mungu kila muda kila jambo

Nawasilisha
Mungu ndio Kila kitu kwangu bro, nimekwepa risasi ya moto ila bomu la machozi likanibana pumzi na sikufa
 
Hizi ngonjera zote ulizoandika ulizoweka nikiamua kufanya zisizitokee nashindwa?

Nikisema sili, sitakufa kama uhai ni Mungu?

Nikisema niumwe kimakusudi na nisijitibie sitakufa?

Nikisema sifanyi kazi nakaa tu, Mungu atanipeleka kazini kwa nguvu?

Nikisema sitak kusoma, Mungu atanipeleka shule?

Mm nacontrol maisha yangu nawew maisha yako umeacha maisha yako yawe controlled na external factors like luck,fate and other people huo ndo upumbavu wa mwisho kabsa dunia.
Utakuwa haupo vizuri kichwani,
 
Daktari anaweza akamtibu mtu X.

Halafu huyo mtu X akipona anaelekea kanisani kutoa sadaka ya shukrani kwa Mchungaji.

Mtu X anasahau kabisa jitihada za daktari.

Foolish.
 
Hilo jambo ni kawaida sana katika jamii masikini na zilizo na kiwango duni cha elimu.
 
Dar ni automatic sauna

Niende kwenye mada, ukija Africa utakutana na jamii ya watu wa ajabu kwelikweli wao kila muda Mungu Mungu tu hawajali jitihada zao na mbinu zao wao wanaamini kila kitu ni mipango ya Mungu tu.

Mtu kapata kazi halmashaur anasema Mungu kamsaidia lakini jitihada zake hazip credit

Mtu kapata tupesa kidogo kwenye biashara anasema kamsaidia lakini jitihada zake hazip credit

Mtu kafaulu level fulan ya elimu itasikia Mungu katenda.. lkn jitihada zake hazip credit

Mtu anadhulumiwa haki yake anasema Mungu atamlipia hawek effort yoyote ile anasubir miujiza, huyo mtu akifa anasema Mungu kajibu 😄😄😄 wakat kifo ni universal truth

Mtu kafanikiwa kidogo kimaisha anajiona yeye ndo mchamungu wengine wote hawana imani jitihada zake hazip credit

Mungu yupo hatukatai lkn tuamini katka hatua na jitihada tu sio kila muda Mungu Mungu.

Huu upumbavu upo Africa katka Dunia yote na mbona bado sisi ndo katika watu wajinga, wapumbavu, wapenda ngono, wachawi, masikini wakutupwa, wanafiki, wezi, tamaa, vilaza na ubinafs huyo Mungu mbona haoneshi hayo maajabu hapo

Mimi nikiona mtu anataja Mungu katka kila mambo yake namuona mpumbavu wa mwisho kabsa

Trust your effort, process and strategy achana na Mambo ya Mungu Mungu kila muda kila jambo

Nawasilisha
Sijui kwanini mnapenda kuwapangia watu maisha na jinsi ya kuishi hivi ukimind your business unapungukiwa na nini? Mind your business buda
 
Dar ni automatic sauna

Niende kwenye mada, ukija Africa utakutana na jamii ya watu wa ajabu kwelikweli wao kila muda Mungu Mungu tu hawajali jitihada zao na mbinu zao wao wanaamini kila kitu ni mipango ya Mungu tu.

Mtu kapata kazi halmashaur anasema Mungu kamsaidia lakini jitihada zake hazip credit

Mtu kapata tupesa kidogo kwenye biashara anasema kamsaidia lakini jitihada zake hazip credit

Mtu kafaulu level fulan ya elimu itasikia Mungu katenda.. lkn jitihada zake hazip credit

Mtu anadhulumiwa haki yake anasema Mungu atamlipia hawek effort yoyote ile anasubir miujiza, huyo mtu akifa anasema Mungu kajibu 😄😄😄 wakat kifo ni universal truth

Mtu kafanikiwa kidogo kimaisha anajiona yeye ndo mchamungu wengine wote hawana imani jitihada zake hazip credit

Mungu yupo hatukatai lkn tuamini katka hatua na jitihada tu sio kila muda Mungu Mungu.

Huu upumbavu upo Africa katka Dunia yote na mbona bado sisi ndo katika watu wajinga, wapumbavu, wapenda ngono, wachawi, masikini wakutupwa, wanafiki, wezi, tamaa, vilaza na ubinafs huyo Mungu mbona haoneshi hayo maajabu hapo

Mimi nikiona mtu anataja Mungu katka kila mambo yake namuona mpumbavu wa mwisho kabsa

Trust your effort, process and strategy achana na Mambo ya Mungu Mungu kila muda kila jambo

Nawasilisha
Sifa zote ziende kwake
 
Back
Top Bottom