Afrika Mungu anatajwa sana kuliko Israel, Vatican na Mecca na hili ndo chanzo cha matatizo yote

Afrika Mungu anatajwa sana kuliko Israel, Vatican na Mecca na hili ndo chanzo cha matatizo yote

Kama ingekuwa ni jitihada tu, kuna watu wanajitihada kuzidi kipimo. Na kupitia hizo jitihada kusingekuwa na masikini?

Bila shaka umesomasoma hapo ulipo. Je, jitihada zako za elimu zimekufikisha ulipohisi unapaswa kufika?

Basi kumbe kuna nguvu iliyonyuma ambayo inatutofautisha.

Jaribu kufikiri; maisha ya binadamu yangetofautianaje na mnyama iwapo watu wasingemuhubiri huyu Mungu bila kujalisha yupo au la?
 
Back
Top Bottom