PostGE2025 Joh Makini: Mwenyezi Mungu atufanyie wepesi katika kipindi hiki kigumu

PostGE2025 Joh Makini: Mwenyezi Mungu atufanyie wepesi katika kipindi hiki kigumu

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Msanii wa muziki nchini Joh Makini ameungana na watanzania katika kipindi hiki kigumu "Pole yetu sote Watanzania lakini zaidi kwa ndugu jamaa na marafiki waliopoteza wapendwa wao Mwenyezi Mungu atufanyie wepesi katika kipindi hiki kigumu".


1762337649736.png
 
Binafsi nawapongeza wasanii wote wa Bongo muvi na Bongo fleva ambao waliamua kuchagua heshima badala ya fedha za laana, kwenye kipindi chote cha maigizo ya ccm.
 
wanazidi kutuchanganya na kuleta taharuki tumeambiwa walio andamana na kuuliwa ni raia kutoka nje ya nchi
 
Kama wanaogopa kusema kile kinachotakiwa kusemwa bora wanyamaze tu hatuwahitaji wala nini. Wakenya wenye platforms kama zao wanapaza sauti na kuunga mkono watanzania sio hawa viazi. Sasa hapo ndio kasema nini?
 
Hongeara sana Mwamba ... huna uchawa wala majivuno .sijawahi kukuona ukiwa katika vazi la kijani wala njano .
 
Back
Top Bottom