Habari naitwa Elifuraha Lyimo nipo Arusha natafuta kazi ya ualimu wa English Medium pia uzoefu usiopungua miaka 4 nafundisha Mathematics,History,Sst,Civic and Moral,Kiswahili kwa anayejua mahali kuna nafasi naomba anisaidie 0714954609 au Email:
[email protected]