Hata kama kuna kitu angetamani kufanya, hawezi kufanya….she has no legitimacy, mbingu zimemkataa na dunia imemkataa

Hata kama kuna kitu angetamani kufanya, hawezi kufanya….she has no legitimacy, mbingu zimemkataa na dunia imemkataa

Dadi Barnea

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2024
Posts
746
Reaction score
1,512
Alichokifunga Mungu mwanadamu hawezi kukifungua. Huyu keshapigwa pin mazima, hawezi kufanya lolote hadi apishe hiyo ofisi.

Baada ya Kaini kumwua ndugu yake Abeli, Biblia (katika Mwanzo 4:8–16) inaeleza mambo yafuatayo:

Mungu alimlaani Kaini – Mungu alimwambia kwamba damu ya Abeli ilikuwa “inalia kutoka ardhini” ikitaka haki. Kwa sababu hiyo, Mungu alimlaani Kaini kwamba:
  1. Ardhi isingemzalia tena mazao mema
  2. Atakuwa mtoro na mtu asiye na makazi duniani.
Kwa hivyo, Samia hata afurukute hivi, she’s an outcast, Mungu kamkataa na dunia imemkataa …. atakataliwa kutembelea mataifa mengi, atatengwa na hiyo imeanza mapema kuliko ilivyotarajiwa, atahukumiwa….atakula nyasi nyikani kama Nebukadneza, yeye na wanae na wakwe zake. Maana laana ya wazazi hupatiliza hata vitukuu.

Na yeye ni Mswahili mzuri pengine anaujua huu msemo japo unauma: Asiyefunzwa na Mamaye hufunzwa na Ulimwengu

##
 
Alichokifunga Mungu mwanadamu hawezi kukifungua. Huyu keshapigwa pin mazima, hawezi kufanya lolote hadi apishe hiyo ofisi.

Baada ya Kaini kumwua ndugu yake Abeli, Biblia (katika Mwanzo 4:8–16) inaeleza mambo yafuatayo:

Mungu alimlaani Kaini – Mungu alimwambia kwamba damu ya Abeli ilikuwa “inalia kutoka ardhini” ikitaka haki. Kwa sababu hiyo, Mungu alimlaani Kaini kwamba:
  1. Ardhi isingemzalia tena mazao mema
  2. Atakuwa mtoro na mtu asiye na makazi duniani.
Kwa hivyo, hoja yangu ni kwamba Samia hata afurukute hivi, she’s an outcast, Mungu kamkataa na dunia imemkataa …. atakataliwa kutembelea mataifa mengi, atatengwa na hiyo imeanza mapema kuliko ilivyotarajiwa, atahukumiwa….atakula nyasi nyikani kama Nebukadneza, yeye na wanae na wakwe zake. Maana laana ya wazazi hupatiliza hata vitukuu.

Na yeye ni Mswahili mzuri pengine anaujua huu msemo japo unaumwa: Asiyefunzwa na Mamaye hufunzwa na Ulimwengu

##
Unaongelea Mungu aliyefanya kikao na Shetani na kumruhusu shetani kwenda kuua watoto wa Ayubu kwa kile kinachoitwa kumjaribu Ayubu? Jenga hoja bila kuingiza hizi dini tulizoletewa.
 
Unaongelea Mungu aliyefanya kikao na Shetani na kumruhusu shetani kwenda kuua watoto wa Ayubu kwa kile kinachoitwa kumjaribu Ayubu? Jenga hoja bila kuingiza hizi dini tulizoletewa.
Ndiyo huyo huyo Mungu atakayeruhusu adhabu kwa Samia kwa kuwajaribu Watanzania, huyo ndiye ninayemjua; wewe kama una majini yako unayoyaamini endelea nayo. Pimbi wewe🚮🚮🚮🚮
 
Back
Top Bottom