PostGE2025 Mwamposa kama ni Nabii wa Mungu wa kweli mbona alimuombea rais Samia na vurugu zikatokea?

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
7,748
Reaction score
10,288
Nabii wa wa kweli kama Elia, Samwel na Elisha walikuwa wanakemea maovu.

Utekaji, ufisadi kupendelea familia za watawala.,

Kama Mwamposa ni nabii wa kweli mbona aliomba na kumuwekea mikono Rais Samia lakini watanzania wamemkataa na kuleta vurugu?

Nabii wa kweli hawezi kufumbia ufisadi, utekaji, wizi wa mali za umma na maonevu. Mfano Nabii Samwel na wengineo akina Elia na Elisha
 
Utekaji, ufisadi kupendelea familia za watawala.

Kama Mwamposa ni nabii wa kweli mbona aliomba na kumuwekea mikono Rais Samia lakini watanzania wamemkataa na kuleta vurugu?

Nabii wa kweli hawezi kufumbia ufisadi, utekaji, wizi wa mali za umma na maonevu. Mfano Nabii Samwel na wengineo akina Elia na Elisha
Kafiri wa kiislamu
 
Attachments

  • 20251113_220421.jpg
    20251113_220421.jpg
    56.6 KB · Views: 29
Nabii wa wa kweli kama Elia, Samwel na Elisha walikuwa wanakemea maovu.

Utekaji, ufisadi kupendelea familia za watawala.,

Kama Mwamposa ni nabii wa kweli mbona aliomba na kumuwekea mikono Rais Samia lakini watanzania wamemkataa na kuleta vurugu?

Nabii wa kweli hawezi kufumbia ufisadi, utekaji, wizi wa mali za umma na maonevu. Mfano Nabii Samwel na wengineo akina Elia na Elisha
Kweli wajinga hawatakaa waishe.

Kwa hiyo kwa akili yako ulikuwa unajua Mwamposa naye ni nabii sawa na akina nabii Ibrahimu, Mussa nk??
 
Nabii wa wa kweli kama Elia, Samwel na Elisha walikuwa wanakemea maovu.

Utekaji, ufisadi kupendelea familia za watawala.,

Kama Mwamposa ni nabii wa kweli mbona aliomba na kumuwekea mikono Rais Samia lakini watanzania wamemkataa na kuleta vurugu?

Nabii wa kweli hawezi kufumbia ufisadi, utekaji, wizi wa mali za umma na maonevu. Mfano Nabii Samwel na wengineo akina Elia na Elisha
Janja janja.......
 
Kila siku huwa nauliza swali sipati majibu.
Hivi hawa wanaojiita manabii huwa wanapewa cheo hicho na nani?
 
Nabii wa wa kweli kama Elia, Samwel na Elisha walikuwa wanakemea maovu.

Utekaji, ufisadi kupendelea familia za watawala.,

Kama Mwamposa ni nabii wa kweli mbona aliomba na kumuwekea mikono Rais Samia lakini watanzania wamemkataa na kuleta vurugu?

Nabii wa kweli hawezi kufumbia ufisadi, utekaji, wizi wa mali za umma na maonevu. Mfano Nabii Samwel na wengineo akina Elia na Elisha
Mwamposa ni tapeli na mkwepa kodi mbobevu
 
Nabii wa wa kweli kama Elia, Samwel na Elisha walikuwa wanakemea maovu.

Utekaji, ufisadi kupendelea familia za watawala.,

Kama Mwamposa ni nabii wa kweli mbona aliomba na kumuwekea mikono Rais Samia lakini watanzania wamemkataa na kuleta vurugu?

Nabii wa kweli hawezi kufumbia ufisadi, utekaji, wizi wa mali za umma na maonevu. Mfano Nabii Samwel na wengineo akina Elia na Elisha
Huyo ni tapeli asiye na huruma, aliua watu zaidi ya 20 wakigombea kununua mafuta ya upako. Huyo ni mkristo mwenye siasa kali, tapeli, muongo, hana akili, amedanganywa na Samia.
 
Vipi kuhusu hawa ma_sheikh wanaoliombea taifa letu kila siku liwe na amani pasipo HAKI, na hiyo amani bado imekosekana! Je nao Unawazungumziaje?
 
Back
Top Bottom