The Father of All JF-Expert Member Joined Feb 26, 2012 Posts 11,099 Reaction score 13,709 Nov 3, 2025 #1 Kama ulivyoumba shetani, sina shaka. Pia, uliumba Ida Amina Mama. Je, tulikukosea nini wakati hatukugeuzana kama wale ulio 'washushia' dini?
Kama ulivyoumba shetani, sina shaka. Pia, uliumba Ida Amina Mama. Je, tulikukosea nini wakati hatukugeuzana kama wale ulio 'washushia' dini?
Jumlisha JF-Expert Member Joined Jul 10, 2022 Posts 2,193 Reaction score 4,434 Nov 3, 2025 #2 Dah inaumiza sana kwanini sisi tu
Determinantor Platinum Member Joined Mar 17, 2008 Posts 61,459 Reaction score 100,799 Nov 3, 2025 #3 Unaua vijana wanaotafuta kesho yao? Na sasa unataka Suluhu? Mtakufa kifo kibaya
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 Nov 3, 2025 #4 Inasikitisha sana... Cc: Mahondaw
H Hamatan JF-Expert Member Joined Nov 10, 2020 Posts 7,840 Reaction score 18,115 Nov 5, 2025 #5 Ni aheri mwanamke asingelizaliwa. Kuzaliwa kwake imekuwa ni majonzi ya wanadamu wengi.