Jamani mpira ni burudani tu.
Na wala kushinda sio lazima.
Hata akina PSG au Liverpool huko ng'ambo hawashindi kila siku.
Kwa hiyo Simba na Yanga Pokeeni meseji hiyo.
Nimejionea leo uhusika wa MUNGU dhidi ya dhulma.
Lile kosa la kibinadamu la chasambi lililopelekea Fountain kupata goli...
Nashukuru wanajamii forum Kwa kuniombea nimemaliza kazi salama nimeona kweli hii forum ni kama familia asanteni sana wakuu tuendelee kupendana humu milele hatujuani Kwa sura ila tuendeleze upendo ndugu zangu
Ndugu..
Ufukara tunajua ni laana na hakuna mtu anayetaka wala kutamani kuwafukara, Mungu mwenyewe alisema atatubariki na utajiri unatoka kwake na tukimuomba atatupatia na kutujazilishia vya kutosha.
Pia Yesu alisema ukiomba jambo lolote kwa jina lake atalifanya hali kadhalika tukaambiwa...
Naomba hii dhana ya hofu ya mungu ifutike mara moja na isijirudie tena, mungu hutakiwi kumwogopa bali unatakiwa kumuheshimu na kumpenda kwa maana mungu siyo mbaya na Hana nia mbaya kwetu.
Nimeshakutana na watu wanasema natafuta mwanamke mwenye hofu ya mungu pia kuna baadhi ya wazazi...
Mimi kama mtumishi wa serikali nimesimamia uchaguzi toka 2010 mpaka 2024 uchaguzi wa serikali za mitaa.
Mwaka 2020 wakurugenzi walitukusanya wasimamizi wakuu na kutupa muongozo na utaratibu wa nini kinatakiwa kufanyika. Msimamizi mkuuu unaelezwa kinaga ubaga mgombea wa CCM ngazi ya...
Uchaguzi Mkuu unakaribia. Huu ndio wakati watu wanamwomba Mungu maisha marefu,afya njema na pia wawe diwani au wapate cheo chochote.
Wengine wanaenda kwa waganga.
Mungu wape nguvu Hawa wapambanaji wa haki za wananchi waweze kuikamata kinshasa na kuweza kuleta Maendeleo Kwa wacongoman bila ubaguzi wowote sababu Hawa ndio wapigania haki wa kweli japo wanapigana dhidi ya magaidi ya FARDC waliozoea kunyonya raia wameenda kumsaidia gaidi mwenzao tshekedi ila...
Huu ndio ushauri wangu kwa CHADEMA mpya chini ya Mwenyekiti, Tundu Lissu.
Nakumbuka makama wake, John Heche, siku Lissu anaingia ofisini kwa mara ya kwanza, aliahid kuwa wataanza kuanika madudu mbalimbali na alitoa mfano wa uagiza wa mabehewa ya treni(kama ni mapya, yamepigwa rangi, n.k)...
Nilikuwa napitapita kwenye Youtube nikakutana na video ya ndugu huyu ambaye ni nabii na mchungaji wa huduma iitwayo "Huduma ya Kristo (Christ's Ministry) iliyoko huko Arusha, Tanzania...
Anachokisema hapa kinafikirisha na kutafakarisha sana na naileta hapa kushea na kujadili kwa pamoja...
Mungu tenda miujiza yako kwenye uchaguzi mkuu wa Tanzania mwaka huu 2025 CCM ishindwe sababu wamejimilikisha ukuu wako.
“kwa kuwa hakuna neno lisilowezekana kwa Mungu.
”
— Luka 1:37 (Biblia Takatifu)
GOD BLESS TANGANYIKA
Unapomwaga mbegu, ndipo utagundua kwamba maisha siyo tu kuhusu NGONO.
Kuanzia mwanzo wa mazungumzo hadi mnapofika kitandani, na hata mkiwa juu ya kila mmoja, kila kitu kinahisi vizuri. Lakini mchezo hubadilika mara tu unapomwaga mbegu.
Unapomwaga mbegu, ndipo utagundua kuwa ulikuwa unafanya...
Jana nimeshangazwa na kukutana na mheshimiwa wa taifa ambalo limeshakubali kubadilika kutoka kuwa kanisa akiimba injili ya rehema na baraka kwa kutimiza miaka mingi.
Waheshimiwa wanaogopa kukutana na Mungu siku wakifa hii pia ni sifa ya mnyama
Waheshimiwa wanamtukuza joel lwaga na moni...
👉🏾Katika nadharia isiyoelezeka kisayansi napendelea kusema mapenzi au maoni ya watu wengi yana uzito mkubwa, na yanaweza kuonekana kama ishara ya mapenzi ya Mungu.
Katika mitazamo ya kidini,ikiwemo Ukristo na Uislamu, kuna mafundisho yanayosema kwamba Mungu ndiye chanzo cha mamlaka yote...
Hellow Afrika!!
Afrika na wanae wanapitishwa tena katika moto Ili kuwasaidia kurudi kuijenga Africa Yao tena,
Ni kama tu tai, akitaka kumfunza kifaranga chake kuruka, huondoa nyasi Ili miiba Imchome aruke na kuanza safari ya kujitegemea.
Wazungu wanatoka ulaya kuja kufanya KILIMO na kufungua...
Wanabodini Habari..
Siku Za hivi Karibuni Hapa Jukwaani Na Hata Mitaani Nimeshuhudia Ongezeko Kunwa La Watu Wasioamini Uwepo Wa Mungu.. Mnadhani Shida Ni Nini? Na Nini Kifanyike Kutukomboa Sisi Na Kizazi Chetu Toka Kwenye Hii Laana??
Je Kuna Motive Behind Ya Hili Swala? Au Waabudu Shetani...
Habari za siku ya leo WanaJamiiForums?
Kama kichwa cha habari kilivyojitosheleza. Sababu zinazonifanya niwe na mashaka na uwepo wa Mungu ni hizi hapa.
Sina dhambi mi ni mtakatifu haswa,
Lakini nimepitia mambo mazito mno ambayo mtu yeyote lazima angekuwa na mashaka na uwepo wa Mungu.
Sio...
Nimemsikia nabii mmoja wa Arusha ambaye ana cheo cha daktari wa falsafa (PhD) akifundisha kwenye radio yake kwamba Mungu hujifunua kwa majina tofauti kila anapofanya agano. Sasa ananukuu pale Mungu anapoongea na Musa kumwambia alimtokea Ibrahimu kama Mungu mwenyezi lakini hakujulikana na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.