Mungu mkuu, tunaomba ukombozi kamili wa Nchi hii.

Mushkov

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2024
Posts
667
Reaction score
1,403
Twakusifu Mungu mkuu, Bwana twakuinamia.
Ee Mungu, Mungu usiyeshindwa, Mungu mwenye haki, Mungu mwenye upendo na Mungu uliyewatoa wana wa Israel kutoka utumwani Misri kwa Farao kwa mkono wenye nguvu; nakuomba ukainyeshee Nchi hii UMANDE wa ukombozi kamili wa Nchi. UMANDE huo utakuwa ni laana kuu kwa wadhalimu wote pamoja na ndugu zao na wafuasi wao. Kwa upande mwingine, UMANDE huo utawajaza ujasiri, maarifa na Umoja wapenda haki pamoja na waliopitia katika mateso makali ndani ya Nchi yao na kwa Umoja na kwa pamoja wataipiganis Nchi yao. Amina.
 
Amina.
Hata baada ya Daniel kuteswa, alishinda mateso hayo.
Sawa sawa na Meshak, Shadrack na Abednego.
Mungu wetu ni mkuu sana.
Uonevu, utekaji na mauaji ya watanzania Mungu anayashughulikia.
Enyi watawala jiandaeni na malipo kwa mnayoyafanya.
 
Hakuna anayekuja kukuokoa
 
Kuna Raisi mmoja wa Zambia aliwawataka wananchi wake waombe kwa mungu thamani ya kwacha dhidi ya dola ipande.

Sasa wewe nawe uko ligi moja na huyo raisi
 
Twakusifu Mungu mkuu, Bwana twakuinamia.
Ee Mungu, Mungu usiyeshindwa, Mungu mwenye haki, Mungu mwenye upendo na Mungu uliyewatoa wana wa Israel kutoka utumwani Misri kwa Farao kwa mkono wenye nguvu; nakuomba ukainyeshee Nchi hii UMANDE wa ukombozi kamili wa Nchi. UMANDE huo utakuwa ni laana kuu kwa wadhalimu wote pamoja na ndugu zao na wafuasi wao. Kwa upande mwingine, UMANDE huo utawajaza ujasiri, maarifa na Umoja wapenda haki pamoja na waliopitia katika mateso makali ndani ya Nchi yao na kwa Umoja na kwa pamoja wataipiganis Nchi yao. Amina.
Amen.

Gentleman,
this is demonic blasphemy, gentleman.

Mungu hawezi kubabaika na maombi ya watu useless wasio na utii wala adabu kwa mamlaka za wanandamu zilizotoka kwake, na kamwe hawezi kuwageukia watu wenye viburi na waliojikosesha maarifa kwa makusudi na kujiangamiza wenywe kindezi ndezi tu gentleman :NoGodNo:
 
Mkuu cha kufanya mshukuru tu kwa sababu kazi ya kulikomboa Taifa hili anaifanya sana!
 
Gentleman,
this is demonic blasphemy, gentleman.

Mungu hawezi kubabaika na maombi ya watu useless wasio na utii wala adabu kwa mamlaka za wanandamu zilizotoka kwake, na kamwe hawezi kuwageukia watu wenye viburi na waliojikosesha maarifa kwa makusudi na kujiangamiza wenywe kindezi ndezi tu gentleman :NoGodNo:
Screenshot_20251222-120716~2.png
 
Amina.
Hata baada ya Daniel kuteswa, alishinda mateso hayo.
Sawa sawa na Meshak, Shadrack na Abednego.
Mungu wetu ni mkuu sana.
Uonevu, utekaji na mauaji ya watanzania Mungu anayashughulikia.
Enyi watawala jiandaeni na malipo kwa mnayoyafanya.
Angalia jina lako na ulichoandika
Au hujui kubadili nikufundishe?
 
Back
Top Bottom