Mwigulu Nchemba: Tuombe Mungu atuepushe na El Niño

Mwigulu Nchemba: Tuombe Mungu atuepushe na El Niño

Zack Abdul

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2026
Posts
1,194
Reaction score
911
Tukumbuke pia kuendelea kumuomba Mungu atuepushe na tishio hili ambalo tumethibitishiwa kwamba ni jambo lililotathminiwa kitaalamu la uwezekano wa kuwepo elinino na tutumie muda wetu wa ibada kuendelea kumuomba Mungu aepushe. Mungu, yeye anaweza kutuepusha na haya yote.

Dkt. Mwigulu Nchemba
Waziri Mkuu wa Tanzania


🗓️Oktoba 4, 2026
📍HANDENI, TANGA
—————————————————-

Amesema hayo alipomwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Ibada ya Misa Takatifu ya kuwekwa wakfu kwa Kasisi Kanoni Charles Mika Lundu kuwa Askofu wa kwanza wa Dayosisi ya Handeni, iliyofanyika katika Kanisa Kuu la Kristu Mfalme, Chanika, mkoani Tanga.
 
Mmeona hakuna cha El mino wala enyimino tayari mnaanza kumhusisha Mungu wakati tayar mshakula mabilioni, bc rudisheni yale mamilioni mana tayar mshaomba Mungu aingilie kati
 
Tukumbuke pia kuendelea kumuomba Mungu atuepushe na tishio hili ambalo tumethibitishiwa kwamba ni jambo lililotathminiwa kitaalamu la uwezekano wa kuwepo elinino na tutumie muda wetu wa ibada kuendelea kumuomba Mungu aepushe. Mungu, yeye anaweza kutuepusha na haya yote.

Dkt. Mwigulu Nchemba
Waziri Mkuu wa Tanzania
View attachment 3683690

🗓️Oktoba 4, 2026
📍HANDENI, TANGA
—————————————————-

Amesema hayo alipomwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Ibada ya Misa Takatifu ya kuwekwa wakfu kwa Kasisi Kanoni Charles Mika Lundu kuwa Askofu wa kwanza wa Dayosisi ya Handeni, iliyofanyika katika Kanisa Kuu la Kristu Mfalme, Chanika, mkoani Tanga.
October 4/2026
 
.
 

Attachments

  • Screenshot_20260514-220943~2.png
    Screenshot_20260514-220943~2.png
    600.8 KB · Views: 10
  • 1790929942246.png
    1790929942246.png
    465.3 KB · Views: 6
  • 1791104219413.png
    1791104219413.png
    1.6 MB · Views: 9
  • 1791051520452.png
    1791051520452.png
    436.1 KB · Views: 9
Ile 700 Billion iliyochotwa kufanya maandalizi ya El nino imeenda wapi?
 
Back
Top Bottom