Mwigulu Lameck Nchemba Madelu ni mwanasiasa na mwanachama wa chama cha kisiasa nchini Tanzania, Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Mwigulu alikuwa Waziri wa Fedha na Mipango tangu 31 Machi 2021, mpaka July 2023 ambapo wizara hiyo ilivunjwa na kuwa wizara mbili yaani Wizara ya Fedha inayoongozwa na Mwigulu Nchemba na Wizara ya Mipango na Uwekezaji inayosimamiwa na Waziri Kitila Mkumbo.
Kwa hakika inapendeza,
na unaweza kutathimi na kuhitimisha wewe mwenyewe kwa muonekano na body language hiyo kwenye video huyo muungwana ana behave, anadeserve na kuqualify kua nani huko tuendako katika siasa za kitaifa na kimataifa?
In fact,
amemuwakilisha vema sana rais wa Tanzania Dr.Samia...
Muhimu kwetu sote kwa pamoja ni mustakabali wa vijana wetu kutokana na uwezo mkubwa walionao. Afrika inasimama kama bara changa zaidi duniani; hata hivyo, kila mwaka, mamilioni ya vijana wa kike na wa kiume huingia kwenye soko la ajira kutafuta fursa ambazo hazipo, - Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck...
afrika
bara
kutokana
mkubwa
mkuu
muhimu
mustakabali
mwigulumwigulunchemba
pamoja
uwezo
vijana
waziri
waziri mkuu
waziri mkuu mwigulu
waziri mkuu mwigulunchemba
𝗞𝗔𝗡𝗜𝗦𝗔 𝗟𝗔 𝗪𝗔𝗔𝗗𝗩𝗘𝗡𝗧𝗜𝗦𝗧𝗔 𝗪𝗔𝗦𝗔𝗕𝗔𝗧𝗢 𝗟𝗔𝗠𝗦𝗛𝗨𝗞𝗨𝗥𝗨 𝗥𝗔𝗜𝗦 𝗦𝗔𝗠𝗜𝗔 𝗞𝗪𝗔 𝗠𝗦𝗔𝗠𝗔𝗛𝗔 𝗪𝗔 𝗞𝗢𝗗𝗜
Bodi ya Wadhamini wa Kanisa la Waadventista Wasabato imemuomba Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara, Mhe. Ghati Zephania Chomete (Mb), kufikisha salamu za shukrani kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt...
WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Tanzania inalenga kuwa miongoni mwa wazalishaji 10 bora wa chakula duniani kutokana na uwekezaji ambao umefanyika kwenye sekta ya kilimo.
“Matarajio yetu ya muda mrefu yameelezwa katika Dira ya Maendeleo Tanzania ya 2050. Chini ya lengo la kwanza...
"Watanzania Wanahitaji kujua ni nani atakuja Tanzania, ataleta kiasi gani cha fedha, atajenga nini, ataajiri Watanzania wangapi na mradi huo utaanza lini.
Hapo ndipo mafanikio ya ziara ya London yatakapoweza kupimwa kwa ushahidi si kwa idadi ya mikutano iliyofanyika na kututumia picha za...
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba na Mwenza wake Bi. Neema Nchemba wakiwa pamoja na Mama Maria Nyerere katika Misa Takatifu ya Kumbukizi ya Hayati Baba wa Taifa, Mwalimu Julius K. Nyerere, iliyofanyika leo Oktoba 14, 2026 Kanisa Kuu la Mtakatifu Epifania, Sumbawanga, Rukwa.
Katika Ibada hiyo...
𝗞𝗮𝗿𝗶𝗯𝘂 𝗛𝗮𝗹𝗺𝗮𝘀𝗵𝗮𝘂𝗿𝗶 𝘆𝗮 𝗠𝗷𝗶 𝘄𝗮 𝗕𝗮𝗴𝗮𝗺𝗼𝘆𝗼
Kunogile Ukae
Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba.
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
🕰️ 4:00 Asubuhi.
📆 Ijumaa - 16 Oktoba, 2026.
Ratiba ya Ziara
1. Kutembelea eneo la uwekezaji TISEZA.
2. Kukagua ujenzi wa bandari ya Bagamoyo.
3. Kuzungumza...
Kampuni ya ndege ya British Airways imetangaza kurejesha safari za moja kwa moja kati ya Uingereza na Tanzania kuanzia Mei 2027, hatua inayolenga kuongeza usafiri wa watalii na wasafiri wa kibiashara kati ya mataifa hayo.
Tangazo hilo limetolewa Oktoba 7, 2026, na Mkuu wa Masoko wa British...
𝗗𝗞𝗧. 𝗠𝗪𝗜𝗚𝗨𝗟𝗨 𝗔𝗙𝗔𝗡𝗬𝗔 𝗠𝗔𝗭𝗨𝗡𝗚𝗨𝗠𝗭𝗢 𝗡𝗔 𝗠𝗔𝗞𝗔𝗠𝗨 𝗠𝗪𝗘𝗡𝗬𝗘𝗞𝗜𝗧𝗜 𝗪𝗔 𝗕𝗨𝗡𝗚𝗘 𝗟𝗔 𝗩𝗜𝗘𝗧𝗡𝗔𝗠
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, Oktoba 5, 2026, amefanya mazungumzo na Makamu Mwenyekiti wa Bunge la Vietnam, Mhe. Nguyen Hong Dien, katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Arusha (AICC), kando ya Mkutano wa 153 wa Umoja...
katika
kupitia
mabunge
mahitaji
mkuu
muhimu
mwigulumwigulunchemba
nafasi
sheria
taasisi
taasisi za umma
umma
wananchi
waziri
waziri mkuu
waziri mkuu mwigulu
waziri mkuu mwigulunchemba
𝗗𝗞𝗧. 𝗠𝗪𝗜𝗚𝗨𝗟𝗨 𝗔𝗙𝗔𝗡𝗬𝗔 𝗠𝗔𝗭𝗨𝗡𝗚𝗨𝗠𝗭𝗢 𝗡𝗔 𝗠𝗔𝗞𝗔𝗠𝗨 𝗠𝗪𝗘𝗡𝗬𝗘𝗞𝗜𝗧𝗜 𝗪𝗔 𝗕𝗨𝗡𝗚𝗘 𝗟𝗔 𝗩𝗜𝗘𝗧𝗡𝗔𝗠
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, Oktoba 5, 2026, amefanya mazungumzo na Makamu Mwenyekiti wa Bunge la Vietnam, Mhe. Nguyen Hong Dien, katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Arusha (AICC), kando ya Mkutano wa 153 wa Umoja...
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, alivyowasili kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC) ambapo amemwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika ufunguzi wa Mkutano wa 153 wa Umoja wa Mabunge Duniani IPU.
Mkutano huo unaofanyika leo Oktoba 5, 2026 jijini Arusha...
aicc
arusha
dkt. mwigulu
dkt. mwigulunchemba
dkt. samia
kimataifa
kituo
mikutano
mkuu
mwigulumwigulunchemba
rais
rais dkt. samia
samia
samia suluhu
suluhu
waziri
waziri mkuu
Serikali imeweka kipaumbele katika kuwahudumia wenye uhitaji, Maafisa Maendeleo ya Jamii endeleeni kuvitambua na kuvisajili vituo vya wenye uhitaji - Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Amesema hayo leo 5 Oktoba, 2026 alipokuwa mgeni rasmi katika harambee...
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo, Jumatatu Oktoba 5, 2026, ni mgeni rasmi katika harambee ya kuchangia maendeleo ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Kaskazini Mashariki, ikiwemo kuboresha vituo vya huduma na shughuli za diakonia.
Harambee hiyo inafanyika...
Tukumbuke pia kuendelea kumuomba Mungu atuepushe na tishio hili ambalo tumethibitishiwa kwamba ni jambo lililotathminiwa kitaalamu la uwezekano wa kuwepo elinino na tutumie muda wetu wa ibada kuendelea kumuomba Mungu aepushe. Mungu, yeye anaweza kutuepusha na haya yote.
Dkt. Mwigulu Nchemba...
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Jumapili, Oktoba 4, 2026, amesimikwa rasmi kuwa Kanoni Mlei (Lay Canon) wa Kanisa Anglikana Tanzania katika ibada iliyofanyika katika Kanisa Kuu Anglikana la Kristo Mfalme Chanika, Dayosisi ya Handeni, mkoani Tanga.
Dkt. Mwigulu amesimikwa katika wadhifa...
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, amesisitiza umuhimu wa kurasimisha taratibu za ushirikiano katika shughuli za uchimbaji wa madini kwa kutumia mikataba rasmi, akisema hatua hiyo itasaidia kuweka wazi makubaliano ya pande zinazohusika na kuzuia migogoro.
Ametoa kauli hiyo wakati akizungumza...
dkt. mwigulu
dkt. mwigulunchemba
katika
kutumia
madini
mkuu
mwigulumwigulunchemba
shughuli
taratibu
uchimbaji
uchimbaji wa madini
umuhimu
ushirikiano
waziri
waziri mkuu
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mwigulu Nchemba amelitaka Jeshi la Polisi nchini kutofumbia macho watu wanaojichukulia sheria mkononi wakati mwingine hata dhidi ya vyombo vya dola.
Ametoa wito huo akiwa Mwibara mkoani Mara leo Oktoba 2, 2026 akieleza kuwa vitendo hivyo...
Je, kuna mtu ana uhakika kama ni halisi? Vipi kama ile Connection ni Ai(Akili kinemba).?
Kama ni kweli, kwanini anakosa umakini vitani? Ataficha wapi sura yake?🙈🙈🙈
Tatu: kama kweli Polisi walimshikilia Mbunge wa CCM Mariam Ditopile kwa wiki mbili kwa kinachodaiwa ni tuhuma za kwamba alihusika...
Mwigulu Nchemba amekutana na kufanya mazungumzo na viongozi wa madereva wa mabasi na malori nchini.
Viongozi hao wamekubali kusitisha mgomo uliodumu kwa siku mbili, ili huduma za usafiri ziendelee kama kawaida. Hata hivyo, serikali imeahidi kuzifanyia kazi changamoto zinazowakabili madereva...
Mwigulu Nchemba kukagua hali ya usafirishaji wa abiria na kuzungumza na wananchi pamoja na madereva.
Ziara hiyo itafanyika leo, Jumatano, 30 Septemba 2026, katika Kituo cha Mabasi Magufuli, Mbezi Luis, Dar es Salaam.
Anayejiita Waziri wa mambo ya ndani Patrobas Katambi hana mvuto wala...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.