Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mwigulu Nchemba amelitaka Jeshi la Polisi nchini kutofumbia macho watu wanaojichukulia sheria mkononi wakati mwingine hata dhidi ya vyombo vya dola.
Ametoa wito huo akiwa Mwibara mkoani Mara leo Oktoba 2, 2026 akieleza kuwa vitendo hivyo vikifumbiwa macho vitatengeneza madhara makubwa na kuathiri hali ya kiusalama nchini.
===============
Haya vita ni vita ukichukua sheria mkono kama wale wakina fulani kimewarambaaa! oder imeshatoka na aliyepewa anaroho mbaya kinomaaaaa