Mwigulu Nchemba awalainisha madereva. Wasitisha mgomo ulodumu kwa siku mbili

Mwigulu Nchemba awalainisha madereva. Wasitisha mgomo ulodumu kwa siku mbili

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
28,132
Reaction score
64,416
Mwigulu Nchemba amekutana na kufanya mazungumzo na viongozi wa madereva wa mabasi na malori nchini.

Viongozi hao wamekubali kusitisha mgomo uliodumu kwa siku mbili, ili huduma za usafiri ziendelee kama kawaida. Hata hivyo, serikali imeahidi kuzifanyia kazi changamoto zinazowakabili madereva haraka iwezekanavyo
 
Mwigulu Nchemba amekutana na kufanya mazungumzo na viongozi wa madereva wa mabasi na malori nchini.

Viongozi hao wamekubali kusitisha mgomo uliodumu kwa siku mbili, ili huduma za usafiri ziendelee kama kawaida. Hata hivyo, serikali imeahidi kuzifanyia kazi changamoto zinazowakabili madereva.
Madereva wanastahili Heshima,Hili la point ni noma,pia njiani police wamefanya kuwà dili kuchukua Hela!
 
Mwigulu Nchemba amekutana na kufanya mazungumzo na viongozi wa madereva wa mabasi na malori nchini.

Viongozi hao wamekubali kusitisha mgomo uliodumu kwa siku mbili, ili huduma za usafiri ziendelee kama kawaida. Hata hivyo, serikali imeahidi kuzifanyia kazi changamoto zinazowakabili madereva haraka iwezekanavyo
Daadeq....

Na wale waliochomolewa number plate kwenye mabasi yao inakuwaje?
 
Kuelekea mwisho wa mwaka ajali zipungue.
 
YBWYB!
1790782578268.png

No menenti mente!
 
Yule Jamaa aliekuwa anatamba ambaye hatapeleka gari barabarani atajuta kwanini alizaliwa kwenye hii Dunia siijui atakuwa anajisikiaje.Kweli.aibu utaona wewe.
 
SOLUTION IKO WAPI KILA KM 8 TRAFFIC YUPO
Bahi _Dodoma ni km 55,Kuna traffic Kila hatua kama 18 kweli mtafika saa ngapi konda anashuka na Kuacha posho la Maana hakuna wanachokagua!Wanalipwa mshahara, wenzako wanahangaika!
 
Mwigulu michembe ameyaambia mabus yake na ya wafanyabiashara wenzake warudi barabarani
 
Back
Top Bottom