Serikali imeweka kipaumbele katika kuwahudumia wenye uhitaji, Maafisa Maendeleo ya Jamii endeleeni kuvitambua na kuvisaji -Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba

Serikali imeweka kipaumbele katika kuwahudumia wenye uhitaji, Maafisa Maendeleo ya Jamii endeleeni kuvitambua na kuvisaji -Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba

Habari za Zanzibar

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2024
Posts
651
Reaction score
433
Serikali imeweka kipaumbele katika kuwahudumia wenye uhitaji, Maafisa Maendeleo ya Jamii endeleeni kuvitambua na kuvisajili vituo vya wenye uhitaji - Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Amesema hayo leo 5 Oktoba, 2026 alipokuwa mgeni rasmi katika harambee ya kuchangia maendeleo na maboresho ya vituo vya huduma na diakonia vya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Kaskazini Mashariki, iliyofanyika katika viwanja vya Tanga Beach Resort, jijini Tanga.
 
Back
Top Bottom