mwigulu nchemba

Mwigulu Nchemba
Mwigulu Lameck Nchemba Madelu ni mwanasiasa na mwanachama wa chama cha kisiasa nchini Tanzania, Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Mwigulu alikuwa Waziri wa Fedha na Mipango tangu 31 Machi 2021, mpaka July 2023 ambapo wizara hiyo ilivunjwa na kuwa wizara mbili yaani Wizara ya Fedha inayoongozwa na Mwigulu Nchemba na Wizara ya Mipango na Uwekezaji inayosimamiwa na Waziri Kitila Mkumbo.
  1. Pfizer

    Singida: Mkurugenzi wa NIRC, Raymond Mndolwa akimuonesha Waziri Dkt. Mwigulu ramani ya jiografia ya bonde la umwagiliaji Ulemo-Zinziligi-Mbelekese

    Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Taifa ya Umwagiliaji (NIRC) Raymond Mndolwa akimuonesha Waziri wa Fedha, Mhe Dkt. Mwigulu Nchemba (Mb) ramani ya jiografia ya bonde la umwagiliaji Ulemo-Zinziligi-Mbelekese lililopo katika halmashauri ya wilaya ya Iramba mkoani Singida. Aidha Mndolwa amewaelekeza...
  2. S

    Mwigulu awaomba viongozi wa Yanga wapotezee suala la Kagoma ili aweze kucheza Simba

    Nafahamu undani wa Suala la Yusuf Kagoma, ni kweli Kagoma alisaini mkataba Yanga, na baadae akasaini Simba. Najua kutokwenda kwake Yanga na badala yake kusaini Simba hata sio Masuala ya Fedha. Tutatumia muda sana tukitaka kuchimba haya. Kagoma ni mtoto wetu, Yanga ni Club kubwa sana na...
  3. L

    Dkt Mwigulu Nchemba Atumia Usafiri Wa Treni ya Mwendokasi kutoka Dar hadi Dodoma

    Ndugu zangu Watanzania, Mheshimiwa Daktari Mwigulu Lameck Nchemba,Ambaye ni waziri wetu wa Fedha ametumia usafiri wa Treni ya Mwendo kasi kutoka Dar kuelekea Dodoma.ambapo Mheshimiwa Waziri ameonekana akiwa amejaa Tabasamu na furaha kubwa sana katika uso wake akiwa ndani ya usafiri huo. Ambao...
  4. L

    Dkt Mwigulu Nchemba Ammiminia sifa na pongezi Rais Samia kwa kuendelea Kuaminiwa na Viongozi Mbalimbali Duniani

    Ndugu zangu Watanzania, Waziri wa Fedha Mheshimiwa Daktari Mwigulu Lameck Nchemba Amemmiminia sifa na pongezi Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan,kwa kuendelea kubeba imani na kuendelea kuaminika na viongozi wenzake Duniani Kwote. Hii ni...
  5. L

    Pre GE2025 Dkt. Mwigulu Nchemba: Ni ushamba kugombana kisa uchaguzi, tuendelee kumuombea Rais Samia

    Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu amewaasa wananchi kuacha kugombana kwa sababu za siasa kwani kitendo hicho kinasababisha maafa, yatima, wajane na kukosekana kwa amani. Dkt. Nchemba ameyasema hayo kwenye kilele cha Makambi alipokuwa akizungumza na waumini wa Kanisa la...
  6. M

    Mwigulu Nchemba agiza gari la maji limwagie uwanjani. Vumbi litawaumiza mashabiki wa Singida big stars.

    Vumbi limetawala hapo Namfua Stadium. Misomisondo amefunika ila tatizo vumbi la Singida. Mwageni maji basi.
  7. Mkongwe Mzoefu

    Mwigulu umewadanganya Wastaafu, Bunge na Rais. Laana ya wazee mtaiona

    Leo mkijifanya mnasherehekea kwa mbwembwe na ukwasi mkubwa kumbukumbu ya mashujaa, nimekaa hapa na askari mstaafu wa JWTZ aliyeishia cheo cha Staff Sargent na alikatikia mguu akiwa vitani Uganda 1979 na mzee huyu analipwa pension na Hazina shs 100,000/ kwa mwezi. Hawa ndio wastaafu ambao baada...
  8. B

    Mwigulu Nchemba na Mawaziri wengine jiandae mikeka bado inatoka Ikulu

    Ikulu wametoa taarifa kwa umma juu ya utenguzi wa baadhi ya viongozi kwenye baadhi ya taasisi za Serikali ikiwamo Posta na TTCL kwa viongozi wake wakuu na bodi kuvunjwa Hiyo ni dalili kuwa bado yamkini hali si shwari kwa baadhi ya mawaziri waliobakia madarakani na wakubwa wengine wanaotumikia...
  9. S

    Pre GE2025 Kama Nape na Makamba wamewekwa kando, si Mwigulu, Biteko, Tulia, Mwinyi, Makonda wala Majaliwa watamrithi kiti Rais Samia

    Wanabodi, Baada ya team moja ya wasaka Urais iliyotumia muda mwingi kujiandaa kuangushwa ni dhahiri kabisa team hii haitakaa kimya kwani hata hivyo team hii pia kama zilivyo team zingine inamtandao mpana ndani na nje ya Tanzania naamini tunaufahamu. Kitendo Cha team hii kuangushwa wataamini...
  10. Stuxnet

    Japo hatukupangii, mtumbue na Mwigulu Nchemba ili tujuwe nani mmiliki wa hizi timu za Ligi Kuu

    Jamaa ana ukwasi siyo wa kawaida. Anashindana kumiliki mabasi na akina Shabiby na Aboud. Mabasi yake yanaitwa Esther. Anamiliki/ anewahi kumiliki timu za Singida Big Stars, Ihefu, DTB na mara nyingine husaidia kulipa mishahara wachezaji wa Tanga. Kwa vile amekanusha mara kwa mara kuhusu...
  11. GENTAMYCINE

    Mtani wangu Mwigulu Nchemba tafadhali naomba uniazime hata kwa muda tu Mganga wako niwaazime Simba SC kwani anajua mno

    Kama Mama hakuoni pamoja na Kelele zote juu yako na bado uko tu naamini hata Simba SC yangu hii ambayo kwa sasa ikiwa kwa Farao Misri huku ikiogopa Kuthubutu kucheza Mechi ya Kirafiki ya maana kama Wanaojitambua nini wanafanya Yanga SC waliocheza yao majuzi kwa Mkaburu South Afrika ikimtumia...
  12. S

    Dkt. Mwigulu, ni nani mwenye kumiliki app za mikopo ya online? Je, wamesajiliwa kufanya hii biashara kihalali?

    Waziri wa Fedha, Dr. Mwigulu Nchemba , tunaomba kujua huyu mtu ni nani hasa na je, BOT walimpa leseni ya kufanya hii biashara kihalali hapa nchini? Na kama ana leseni, basi Waziri Mwigulu hebu chunguza leseni ya huyu bwana kama imetolewa kwa njia halali hasa kutokana na riba wanazochaji, muda...
  13. Tlaatlaah

    Dkt.Tulia, Dkt. Mwigulu, Dkt. Nchimbi, Paul Makonda na January Makamba ni hazina kwa Tanzania ijayo

    Haiba, hulka, maono, mipango, mitazamo na utendaji wao una viashiria, sifa, vigezo na uelekeo wa nafasi za juu katika uongozi wa nchi. Hii ni kwa mujibu wa haki, maoni na mtazamo wangu huru kikatiba.. Nachelea kuwasihi wananchi na waTanzania wote kwa ujumla, kutafakari jambo hili muhimu sana...
  14. D

    Rais Samia Suluhu Hassan mfukuze kazi Waziri Mwigulu Nchemba kuepuka wananchi kukufukuza wewe kazi 2025

    Ukweli mchungu kwa Rais Samia, Serikali na chama-tawala CCM ni kwamba wananchi wamechoshwa mno na janga la ufisadi uliobadilika na kuwa utamaduni wa watendaji wa Serikali ya CCM. Kitendo cha afisa wa umma TRA kukutwa na pesa taslimu nyumbani kwake 7bilioni ni ishara mbaya sana. Huyu ni...
  15. Analogia Malenga

    Kwanini TRA wasigawe EFDs badala ya kuziuza?

    VAT ni kifupi cha Value Added Tax. Ni kodi inayotozwa kwenye bidhaa, huduma, na mali isiyohamishika ya shughuli yoyote ya kiuchumi wakati thamani inapoongezwa katika kila hatua ya uzalishaji na hatua ya mwisho ya mauzo. Viwango ni 18% kwa usambazaji wa kiwango cha kawaida, na 0% kwa mauzo ya...
  16. Mr Why

    Majibu ya Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba kuhusiana na mgomo wa Wafanyabiashara

    Waziri Mwigulu Nchemba amedai kuwa VAT haitashushwa haya mambo ya migomo ni transitions tu huko mbele tutaelewana https://youtu.be/jaFFC54DVQk?si=_VNvINncCIzKRlIA
  17. ChoiceVariable

    Mwigulu Nchemba: Maskini Hakopi na Hakopesheki.Tunakopa Kwa sababu Tanzania ni Tajiri.

    Akihotimisha Hotuba ya Bajeti, Waziri wa Fedha De.Mwigulu Nchemba amesema Nchi inakopa Kwa sababu ni Tajiri Kwa kuwa maskini hawezi kopa,kukopeshwa maana haaminiki. Dr.Mwigulu amesema Nchi zote Zenye Uchumi mkubwa ndio Zina Madeni makubwa kuanzia Ulaya,Marekani Hadi Afrika kwani ndio utaratibu...
  18. Erythrocyte

    Serikali yasalimu amri mgomo wa wafanyabiashara Kariakoo, yakubali kusitisha kamatakamata ya TRA na kuleta mfumo mpya wa kodi

    Hiyo ndio Taarifa ya sasa baada ya mgomo wa wafanyabiashara wa Kariakoo unaoendelea ======= Waziri wa Viwanda na Biashara, Kitila Mkumbo amesema wamekutana na wafanyabiashara wa Kariakoo na kutoka sehemu nyingine Tanzania wakiongozwa na mwenyekiti wa wafanyabiashara Kariakoo, Majid Mbwana...
  19. CCM MKAMBARANI

    Pre GE2025 Mpina anatumia nafasi hii ili arudi kwenye uwanja wa siasa baada ya kupotea kwenye ramani

    Habari za wakati huu wanajamiiforum? Tumekuwa na mkanganyiko mkubwa wa kitaifa juu ya scandali ya sukari hapa nchini. Kinara ni mtu ambaye amekuwepo bungeni kwa miaka 19 sasa, je hajui uozo uliokuwepo wakati wa baba yake Magufuli? Jibu ni hapana,alikuwa anajua na alifaidika na mfumo. Mpina...
  20. Mdude_Nyagali

    Tanzania tunapaswa kuwa na sheria kali dhidi ya viongozi mafisadi na wala rushwa

    Kwa huu ufisadi wa mawaziri na watendaji wengine unaoendelea nchini, ningekuwa Rais ningeukomesha ndani ya siku 100 za mwanzo katika uongozi wangu. Ningetunga sheria ya ufisadi na uhujumu uchumi ambayo ufisadi unaozidi mabilion adhabu yake ni kifo. Kwamba kesi za namna hiyo sheria itaweka wazi...
Back
Top Bottom