Habari za Zanzibar
JF-Expert Member
- Dec 18, 2024
- 651
- 433
πππ‘ππ¦π ππ πͺππππ©ππ‘π§ππ¦π§π πͺππ¦ππππ§π’ πππ π¦ππ¨ππ¨π₯π¨ π₯πππ¦ π¦ππ ππ ππͺπ π π¦ππ πππ πͺπ ππ’ππ
Bodi ya Wadhamini wa Kanisa la Waadventista Wasabato imemuomba Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara, Mhe. Ghati Zephania Chomete (Mb), kufikisha salamu za shukrani kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa kutoa msamaha wa kodi na ushuru wa forodha wakati wa ununuzi wa magari ya kitume kwa ajili ya shughuli za Kanisa.
Ombi hilo limetolewa na Katibu Mkuu wa Kanisa la Waadventista Wasabato, Mchungaji Enock Marwa Sando, Oktoba 24, 2026, wakati wa kupokea gari lililonunuliwa kwa michango ya waumini, wadau na marafiki wa Kanisa la Waadventista Wasabato, Jimbo Kuu la Mara (Mara Conference).
Gari hilo limegharimu jumla ya takribani shilingi milioni 407.4 na linatarajiwa kusaidia katika utekelezaji wa shughuli za kitume na huduma mbalimbali za Kanisa.