Kanisa la Waadventista Wasabato lamshukuru Rais Samia kwa msamaha wa kodi

Kanisa la Waadventista Wasabato lamshukuru Rais Samia kwa msamaha wa kodi

KANISA LA WASABATO MNATIA AIBU UNANUA GARI YA BEI KUBWA NAMNA HILO WAKATI VIJJNI MAKANISA MENGI NI YA NYASI?KWANN HUO UTUME UKAJENGE MAKANISA VIJJN? NDANI YA KANISA KUNA WAPIGAJI WENG SANA
 
Hiyo hela wangeenda hata kununua shamba la miti,au kujenga zahanati ama hospitali.

Kesho likipata ajali milion 400 zinapotea hivyo hivyo..hopless kabisa
 
Back
Top Bottom