Mwigulu Nchemba kutinga mchana huu Stand ya Magufuli. Kutatua mgomo wa madereva

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
28,132
Reaction score
64,416
Mwigulu Nchemba kukagua hali ya usafirishaji wa abiria na kuzungumza na wananchi pamoja na madereva.

Ziara hiyo itafanyika leo, Jumatano, 30 Septemba 2026, katika Kituo cha Mabasi Magufuli, Mbezi Luis, Dar es Salaam.

Anayejiita Waziri wa mambo ya ndani Patrobas Katambi hana mvuto wala hasikilizwi. Hata sijui hiyo nafasi kaipataje. Unashindwa kutatua kero za madereva, Unaishia kubandua plate number
 
Jana katambi alivomaliza kusikiliza changamoto za madereva speaker za pale Stendi zikaanza kutangaza kuanza kwa safari Kuna basi la Mwanza lilikua linatoka walipigiwa kelele lilizingirwa ndani ya dakika chache haieleweki hata abiria walishushwaje.
 
Dudubaya mwenyewe alimdindia na hakumfanya chochote sasa ndio iwe kwa madereva. Yaani katambi alitakiwa awe mtendaji wa kijiji.
 
Umenikosha sana ulivyomuita madelu kwa jina lake pasipo kuanza na neno waziri haramu mkuu!

Tukiwatambua kwa majina yao tu inatosha! Sana!
 
Jana katambi alivomaliza kusikiliza changamoto za madereva speaker za pale Stendi zikaanza kutangaza kuanza kwa safari Kuna basi la Mwanza lilikua linatoka walipigiwa kelele lilizingirwa ndani ya dakika chache haieleweki hata abiria walishushwaje.
😂😂😂
 
Mwigulu Nchemba kukagua hali ya usafirishaji wa abiria na kuzungumza na wananchi pamoja na madereva.

Ziara hiyo itafanyika leo, Jumatano, 30 Septemba 2026, katika Kituo cha Mabasi Magufuli, Mbezi Luis, Dar es Salaam.

Anayejiita Waziri wa mambo ya ndani Patrobas Katambi hana mvuto wala hasikilizwi. Hata sijui hiyo nafasi kaipataje. Unashindwa kutatua kero za madereva, Unaishia kubandua plate number
Anaona anapata hasara Bus zake za Esther haziafanyi kazi.
 
Vichekesho nchi hii havitaisha kamwe
ni sawa na kujipiga kidole mwenyewe halafu utegemee harafu tofauti!
 
Waziri Wa Mambo Ya Ndani Ya Nchi
Waziri Wa Utamaduni, Sanaa Na Michezo
Waziri Mkuu

Mbona Hilo Jambo Laonekana Kushindikana
 
Alianza Msando, akaja na ubabe wake. Mtu unaenda kutatua kero alafu unaleta ubabe. Ile kauli yake ya kupeleka magari yard ilikuwa ya kipumbavu sana. Hii nchi ina viongozi wa ajabu sana.
 
Dudubaya mwenyewe alimdindia na hakumfanya chochote sasa ndio iwe kwa madereva. Yaani katambi alitakiwa awe mtendaji wa kijiji.
nafasi ya katambi inanyemelewa sana na makonda na kama ataipata Tanzania tutarushwa kichurachura daily
 
Mwigulu Nchemba kukagua hali ya usafirishaji wa abiria na kuzungumza na wananchi pamoja na madereva.

Ziara hiyo itafanyika leo, Jumatano, 30 Septemba 2026, katika Kituo cha Mabasi Magufuli, Mbezi Luis, Dar es Salaam.

Anayejiita Waziri wa mambo ya ndani Patrobas Katambi hana mvuto wala hasikilizwi. Hata sijui hiyo nafasi kaipataje. Unashindwa kutatua kero za madereva, Unaishia kubandua plate number
Watanzania taifa letu kunashida kubwa kuliko macho na akili zetu zionavyo,kuelekea oct29,zilitokea vurugu za mwendokazi kinara,je dalili ya migomo hivi Leo ni ishara gani,?Je huu uholela kwenye kila Jambo ndani ya taifa hili ni salama kwa Nani?Mzee P,ikibidi nitakuuliza wewe na wenzio kwenye Tania ya Habari je kwenu hamna Wazee?Ama kwenu Wazee ni wavutabangi wazamani,na Wazee wa kilo?
 
Mwigulu Nchemba kukagua hali ya usafirishaji wa abiria na kuzungumza na wananchi pamoja na madereva.

Ziara hiyo itafanyika leo, Jumatano, 30 Septemba 2026, katika Kituo cha Mabasi Magufuli, Mbezi Luis, Dar es Salaam.

Anayejiita Waziri wa mambo ya ndani Patrobas Katambi hana mvuto wala hasikilizwi. Hata sijui hiyo nafasi kaipataje. Unashindwa kutatua kero za madereva, Unaishia kubandua plate number
Tegeme kusikia neno guys mara 100
 
Back
Top Bottom