Majaji msikubali laana ya milele. Tendeni haki, muda wa kuishi ni mdogo uliobaki, mtumikie Mungu

Majaji msikubali laana ya milele. Tendeni haki, muda wa kuishi ni mdogo uliobaki, mtumikie Mungu

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
52,815
Reaction score
103,955
6.11.2026

Bold Judges vs Shyster/Timorous Judges

Bold Judges
1. Mwalusanya
2. Lugakingira.
3. Katiti
4. Mlay
5. Kalegeya
6.................
Shyster Judges
1.
2.

A bold judge is a progressive, principled jurist who interprets the constitution as a living document to protect human rights and check authoritarianism,

whereas a shyster judge (or shyster-like behavior on the bench) refers to a corrupt, trickish, or dishonest figure who subverts the rule of law for personal, political, or petty gain
 
Hao Haina haja ya kuwaomba watende haki,, wao kama wanakubali kuendeshwa na mihemko ya kisiasa na maelekezo kutoka juu , so be it. Ila wakumbuke tu watu sio wajinga as long as wapo Tz
 
Haki siyo Kuachiwa tuu hata kufungwa nayo ni haki
 
6.11.2026

Bold Judges vs Shyster/Timorous Judges

Bold Judges
1. Mwalusanya
2. Lugakingira.
3. Katiti
4. Mlay
5. Kalegeya
6.................
Shyster Judges
1.
2.

A bold judge is a progressive, principled jurist who interprets the constitution as a living document to protect human rights and check authoritarianism,

whereas a shyster judge (or shyster-like behavior on the bench) refers to a corrupt, trickish, or dishonest figure who subverts the rule of law for personal, political, or petty gain
ok.
asante kwa porojo 🐒
 
Kwani siku zimefika?
 
Nia ya Mtu tayali ni kutenda
vitabu vya Dini vimetoa ufafanuzi mzuri zaidi

Na Mungu mwenyewe kahaidi kuwahaukumu wanye nia ya kutenda dhambi !!!

hata kama hawajafikia kutenda iyo dhambi
Lkn Nia yao tu
inatosha kuwahukumu ✍️
 
Hakimu Mmoja aliita mchungaji kwenda kuombea nyumba yake mpya ya ghorofa moja alikuwa anaizindua.
Mchungaji alipoingia TU ndani ya nyumba hiyo.akakosa AMNAI kabisa moyo ukaanza kuuma na simanzi. KADIRI alivyopanda ngazi .akawa anasikia kelele za watu wanalia wanadai HAKI HAKI HAKI...kelele,..huku yule hakimu yeye hazisikii..

Mchungaji akamuuliza hakimu ,hii nyumba umeijengaje kwa NJIA Gani halali au haramu ,?au ilizulumu mtu.

Hakimu AKASEMA ni KWELI kuna kesi kama tatu hizi nilipindisha Nika kandamiza HAKI za watu,nikawapa HAKI wasiostahili HAKI nilipopata pesa nyingi kwenye hizo kesi tatu .ndio nikajenga hii nyumba.

mchungaji akamwambia ndio MAANA Mimi toka naingia hapa nasikia kelele humu ndani za MACHOZI ya watu wanadai HAKI zao ulizowazulumu.

Daktari Mmoja pia alikuwa anaota sana mimba muda kwa muda MREFU .

Naye akajenga yumba,lakini ndani kwake usiku alikuwa hapati usingizi mpaka alewe pombe,akipanda kitandani kulala TU anasikia sauti za vitoto vichanga vinalia ngwaaaaaa waaaa waaa.
 
Hukumu ya kumnyonga Lissu hadi afe imeshaandikwa na Profesa Kabudi hao wataisoma tu hiyo tarehe 6 November.
 
Sisemi zaidi lkn Majaji wanayo sababu muhimu ya kuamua juu ya kesi ya Lissu wenyewe wale Majaji wawe waislamu wawe Cristian bado nia ni kitendo !!!!

Kwaiyo kwa Mungu sio dhambi kuwahukumu watu kwania yao mbaya yenye madhara
makubwa 😀
 
Mifumo yote ya haki imeoza, ina ongozwa na mihemko na matakwa ya wanasiasa wa ngazi za juu.
 
6.11.2026

Bold Judges vs Shyster/Timorous Judges

Bold Judges
1. Mwalusanya
2. Lugakingira.
3. Katiti
4. Mlay
5. Kalegeya
6.................
Shyster Judges
1.
2.

A bold judge is a progressive, principled jurist who interprets the constitution as a living document to protect human rights and check authoritarianism,

whereas a shyster judge (or shyster-like behavior on the bench) refers to a corrupt, trickish, or dishonest figure who subverts the rule of law for personal, political, or petty gain
Ahahahahaha! Mshaanza kulialia kama kawaida yenu. Haya. Tutawasikiliza baada ya hukumu ya Lissu kunyongwa hadi kufa!
 
6.11.2026

Bold Judges vs Shyster/Timorous Judges

Bold Judges
1. Mwalusanya
2. Lugakingira.
3. Katiti
4. Mlay
5. Kalegeya
6.................
Shyster Judges
1.
2.

A bold judge is a progressive, principled jurist who interprets the constitution as a living document to protect human rights and check authoritarianism,

whereas a shyster judge (or shyster-like behavior on the bench) refers to a corrupt, trickish, or dishonest figure who subverts the rule of law for personal, political, or petty gain
Ni lazima watende haki.Kutoa hukumu inayostahiki kwa mtu aliyeliingiza taifa katika fitna kubwa. Watu walikuwa wamekaa sawa na amani yao lakini maneno ya uchochezi, chuki na kibri cha hali ya juu,yakapelekea watu kuuana na uharibifu mkubwa wa mali za watu.Ulimi wake umeleta madhara makubwa kwa taifa hili. Haki ni lazima itendeke.
 
6.11.2026

Bold Judges vs Shyster/Timorous Judges

Bold Judges
1. Mwalusanya
2. Lugakingira.
3. Katiti
4. Mlay
5. Kalegeya
6.................
Shyster Judges
1.
2.

A bold judge is a progressive, principled jurist who interprets the constitution as a living document to protect human rights and check authoritarianism,

whereas a shyster judge (or shyster-like behavior on the bench) refers to a corrupt, trickish, or dishonest figure who subverts the rule of law for personal, political, or petty gain
Shida ya Watanganyika ni kuwa wao wanataka ujitoe kuwapigania lakini wao hawako tayari kukupigania pale jambo linapokufika, na ndio maana inabidi hao unaotaka wasimamie haki inabidi wakubali na kupokea amri kutoka kwa aliyewaweka hapo, ukiangalia Lisu yupo ndani na Watanganyika wanaendelea tu na shughuli zao ya Lissu hayawahusu, akaja Polepole nae vile vile Watanganyika wanaendelea na shughuli zao, kama haitoshi akaja Nchimbi hakuna hata anayemzungumzia, kwa hali hii hao majaji watakuwa wamepata funzo na huo ndio ukweli wenyewe,tunawalaumu bure majaji wakati wa kulaumiwa ni Watanganyika wote.
 
Haki siyo Kuachiwa tuu hata kufungwa nayo ni haki

Mbona u.ekuwa mwendawazimu hivyo!! Mleta mada amesema watende haki. Tunafahamu kila taasisi kwa sasa zimetekwa na genge la wauaji. Iwe ni mahakama, bunge, polisi na hata baadhi ya taasisi za dini, zimetekwa na wauaji, na zote zinamtumikia ibilisi shetani.
Ndiyo maana mleta mada anewakumbusha majaji kama watu binafsi, kuwa pamoha na taasisi zao kutekwa na genge la wauaji, watambue kuwa wao ni binadamu, siku zao zikifika, hakuna kujitetea kuwa nilielekezwa, watahukumiwa wao kama wanadamu binafsi.

Kwa kweli nawaonea huruma sana waliopo kwenye taasisi kama za polisi, Tiss, Mahakama, Bunge, maDC, maRC, na viongozi wote wa chama kile cha mauaji, maana kwa kweli kuwa watu wa haki, kuwa watu wema, inahitaji jitihada binafsi za pekee, kwa sababu juu yao yupo shetani anayewateka wamtumikie shetani kwa kutenda uovu!! Yaani upo kwenye nyumba ya mwovu, unaelekezwa utende uovu, wewe uende ukatende wewe, ni kazi ngumu sana.

Hongera sana mleta mada, umetimiza wajibu wako kama kiumbe wa Mungu, wajibu wa kushauri na kuwakumbusha majaji, wakienda jehanamu kwa sababu ya kutenda uovu, hawatamlaumu yeyote, maana uliwakumbusha. Na huo ni wajibu wa kila mcha Mungu anapoona kuna mwanadamu anapotea na kujitenga na upendo wa Mungu.
 
Back
Top Bottom