Mapepo na Shetani Humuomba Mungu Pia na Wakati Mwingine Maombi yao Hukubaliwa

Tuvia

Senior Member
Joined
Sep 17, 2026
Posts
101
Reaction score
108
NDIO nayo humuomba Mungu pale yanapohitaji Kufanya Kazi zao na Hukubaliwa.. Na Yatakufanya Vyovyote Yanavyotaka.

Ewe Binadamu Kiumbe Kumbuka Hili kwamba Hata Mapepo Yana nafasi Mbele za Mungu Kumuomba Na Kwa Kuwa Mungu ni Mwenye HAKI huyaruhusu pale Inapofaa na Ndio maana ya Neno haki. Mungu mwenye Haki anato haki kwa Kila Kiumbe Chake

Kumbuka Pepo Anaishi ndani ya Miili ya Viumbe Wengine, ukiwemo Huo mwili wako mwenyewe na Ndio makao yake. Na Pia Mwili wako anaishi Mungu na Roho matakatifu maana Ndio makao yake.

Sasa Unapokuwa mchafu Roho wa Mungu haishi tena ndani yako anatoka anakaa mbali nawe.. kinachoishi Humo badala yake ni Mapepo machafu na Roho chafu zinazokufanya Uwe una tamaa za WIZI, UZINZI, UASHERATI , KUUA, Kuona Mungu hayupo, Kutukana, Kutamani wake za Watu, Kutamani watoto wadogo n.k

MAPEPO YANAOMBAJE NAFASI KWA MTU..
Pepo likifukuzwa hutafuta Hifadhi sehemu Nyingine (mtu asiye msafi) na Likikosa linarudi lilipotolewa na kama Lilipotolewa pakiwa patupu(Hajabadilika aliyetolewa pepo na Ni mdhambi bado) linaingia na Linaita Wengine Saba waovu kuliko lenyewe ili lisitolewe Tena Kirahisi

Ipo hivi Unaweza Ukawa Umemkubali Mungu na Ukawa mwema na Mtenda Mema kama Vile Ulivyokuwa Mtoto huna Hatia ila Baadae Ukaanza kutenda Dhambi na Ushajua Hii ni Dhambi kabisa na Unajua Mungu amekataza na hutaki kutubu kabisa Dhambi zako basi Mapepo Humfuata Mungu na Kuomba Nafasi Hiyo Iliyo wazi naye Mungu Huyaruhusu kufanya Hivyo Maana Hukutaka Kumrudia Yeye. Na Yanakushtaki kabisa Kwake Mungu Kwamba Ikiwa Mtu Huyo Amekukataa Inakuwaje Kama Yeye ni Mungu wa Haki ayakatalie Yasikuingie na Kwa Vile Mungu ni Mungu wa HAKI anayaruhusu kama Yalivyokushtaki.

Sasa ni muhimu kufahamu kuwa mapepo yapo kwenye mizunguko kila siku. Na ni muhimu pia kufahamu kuwa mapepo, pamoja na shetani wanaomba mbele za Mungu, (yaani wanapeleka hoja za maombi), na katika hayo mengine wanakubaliwa, na kufanyiwa kama walivyoomba. Ndio maana kuna umakini sana wa kuzidi kujitakasa, kwasababu biblia inasema shetani ni mshitaki wetu, maana yake anapeleka habari zetu mbele za Mungu, na katikati ya hizo habari anaingiza na maombi yake kututaka sisi.

Utaona alifanya hivyo kwa Ayubu, na alifanya hivyo kwa mfalme Ahabu..

1Wafalme 22: 19 “Mikaya akasema, Sikia basi neno la Bwana; Nalimwona Bwana ameketi katika kiti chake cha enzi, na jeshi lote la mbinguni wamesimama upande wa mkono wake wa kuume na wa kushoto.

20 Bwana akasema, Ni nani atakayemdanganya Ahabu, ili akwee Ramoth-Gileadi akaanguke? Basi huyu akasema hivi; na huyu hivi.

21 Akatoka pepo, akasimama mbele za Bwana, akasema, Mimi nitamdanganya.

22 Bwana akamwambia, Jinsi gani? Akasema, Nitaondoka, na kuwa pepo wa uongo kinywani mwa manabii wake wote. Akasema, Utamdanganya, na kudiriki pia; ondoka ukafanye hivyo.

23 Basi angalia, Bwana ametia pepo wa uongo kinywani mwa manabii wako hawa wote; naye Bwana amenena mabaya juu yako”.

Unaweza kuuliza ni wapi tena maroho hayo yalionekana kumwomba Mungu…Tusome.

Mathayo 8.28 “Naye alipofika ng’ambo, katika nchi ya Wagerasi, watu wawili wenye pepo walikutana naye, wanatoka makaburini, wakali mno, hata mtu asiweze kuipitia njia ile.

29 Na tazama, wakapiga kelele, wakisema, Tuna nini nawe, Mwana wa Mungu? Je! Umekuja kututesa kabla ya muhula wetu?

30 Basi, kulikuwako mbali nao kundi la nguruwe wengi wakilisha.

31 Wale pepo wakamsihi, wakisema, Ukitutoa, tuache twende, tukaingie katika lile kundi la nguruwe.

32 Akawaambia, Nendeni. Wakatoka, wakaingia katika nguruwe; na kumbe! Kundi lote wakatelemka kwa kasi gengeni hata baharini, wakafa majini”.

Hapo mapepo yanamwomba Bwana, na tena yanamsihi yasiende shimoni, bali yaende kwa nguruwe wale…Yalikuwa na sababu zote kwanini yaombe vile

Na hata leo ni hivyo hivyo, wewe ni muasherati mapepo yanaomba ruhusa juu yako, na hata pengine yamesharuhusiwa bila wewe kujua, hayo yatakuongoza baharini kukuua kama yalivyofanya kwa wale nguruwe.

Umekuwa mtu wa vinyongo, na kutokusamehe, tayari umefungua mlango wa mapepo kukuvamia na kukuharibu..Umekuwa mwabudu sanamu wewe tayari ni ngome ya adui.

Lakini leo umesikia neno hili, fungua moyo wako tubu, mwambie Bwana sitaki kuwa kituo cha mapepo, bali unataka kuwa kituo cha Roho Mtakatifu ndani yako. Na kama umedhamiria kutubu kabisa, unachopaswa kufanya baada ya toba hiyo ni kugeuka kikweli kweli, kama kulikuwa na watu hujawasamehe moyoni mwako kutokana na sababu Fulani Fulani, kuanzia dakika hii unawasamehe wote, haijalishi wamefanya kosa gani, kwasababu hata sisi Kristo alitusamehe.

SI MAPEPO YOTE NI YA KULIPUKA NA KUPIGA KELELE, MENGINE HAYAONGEI WALA KUSEMA CHOCHOTE KILE
 
NDIO nayo humuomba Mungu pale yanapohitaji Kufanya Kazi zao na Hukubaliwa.. Na Yatakufanya Vyovyote Yanavyotaka.

Ewe Binadamu Kiumbe Kumbuka Hili kwamba Hata Mapepo Yana nafasi Mbele za Mungu Kumuomba Na Kwa Kuwa Mungu ni Mwenye HAKI huyaruhusu pale Inapofaa na Ndio maana ya Neno haki. Mungu mwenye Haki anato haki kwa Kila Kiumbe Chake

Kumbuka Pepo Anaishi ndani ya Miili ya Viumbe Wengine, ukiwemo Huo mwili wako mwenyewe na Ndio makao yake. Na Pia Mwili wako anaishi Mungu na Roho matakatifu maana Ndio makao yake.

Sasa Unapokuwa mchafu Roho wa Mungu haishi tena ndani yako anatoka anakaa mbali nawe.. kinachoishi Humo badala yake ni Mapepo machafu na Roho chafu zinazokufanya Uwe una tamaa za WIZI, UZINZI, UASHERATI , KUUA, Kuona Mungu hayupo, Kutukana, Kutamani wake za Watu, Kutamani watoto wadogo n.k

MAPEPO YANAOMBAJE NAFASI KWA MTU..
Pepo likifukuzwa hutafuta Hifadhi sehemu Nyingine (mtu asiye msafi) na Likikosa linarudi lilipotolewa na kama Lilipotolewa pakiwa patupu(Hajabadilika aliyetolewa pepo na Ni mdhambi bado) linaingia na Linaita Wengine Saba waovu kuliko lenyewe ili lisitolewe Tena Kirahisi

Ipo hivi Unaweza Ukawa Umemkubali Mungu na Ukawa mwema na Mtenda Mema kama Vile Ulivyokuwa Mtoto huna Hatia ila Baadae Ukaanza kutenda Dhambi na Ushajua Hii ni Dhambi kabisa na Unajua Mungu amekataza na hutaki kutubu kabisa Dhambi zako basi Mapepo Humfuata Mungu na Kuomba Nafasi Hiyo Iliyo wazi naye Mungu Huyaruhusu kufanya Hivyo Maana Hukutaka Kumrudia Yeye. Na Yanakushtaki kabisa Kwake Mungu Kwamba Ikiwa Mtu Huyo Amekukataa Inakuwaje Kama Yeye ni Mungu wa Haki ayakatalie Yasikuingie na Kwa Vile Mungu ni Mungu wa HAKI anayaruhusu kama Yalivyokushtaki.

Sasa ni muhimu kufahamu kuwa mapepo yapo kwenye mizunguko kila siku. Na ni muhimu pia kufahamu kuwa mapepo, pamoja na shetani wanaomba mbele za Mungu, (yaani wanapeleka hoja za maombi), na katika hayo mengine wanakubaliwa, na kufanyiwa kama walivyoomba. Ndio maana kuna umakini sana wa kuzidi kujitakasa, kwasababu biblia inasema shetani ni mshitaki wetu, maana yake anapeleka habari zetu mbele za Mungu, na katikati ya hizo habari anaingiza na maombi yake kututaka sisi.

Utaona alifanya hivyo kwa Ayubu, na alifanya hivyo kwa mfalme Ahabu..

Unaweza kuuliza ni wapi tena maroho hayo yalionekana kumwomba Mungu…Tusome.

Hapo mapepo yanamwomba Bwana, na tena yanamsihi yasiende shimoni, bali yaende kwa nguruwe wale…Yalikuwa na sababu zote kwanini yaombe vile

Na hata leo ni hivyo hivyo, wewe ni muasherati mapepo yanaomba ruhusa juu yako, na hata pengine yamesharuhusiwa bila wewe kujua, hayo yatakuongoza baharini kukuua kama yalivyofanya kwa wale nguruwe.

Umekuwa mtu wa vinyongo, na kutokusamehe, tayari umefungua mlango wa mapepo kukuvamia na kukuharibu..Umekuwa mwabudu sanamu wewe tayari ni ngome ya adui.

Lakini leo umesikia neno hili, fungua moyo wako tubu, mwambie Bwana sitaki kuwa kituo cha mapepo, bali unataka kuwa kituo cha Roho Mtakatifu ndani yako. Na kama umedhamiria kutubu kabisa, unachopaswa kufanya baada ya toba hiyo ni kugeuka kikweli kweli, kama kulikuwa na watu hujawasamehe moyoni mwako kutokana na sababu Fulani Fulani, kuanzia dakika hii unawasamehe wote, haijalishi wamefanya kosa gani, kwasababu hata sisi Kristo alitusamehe.

SI MAPEPO YOTE NI YA KULIPUKA NA KUPIGA KELELE, MENGINE HAYAONGEI WALA KUSEMA CHOCHOTE KILE

mapepo yangu ni Waislamu kama mimi.

Hata majina yao tu yanasadifu.
 
mapepo yangu ni Waislamu kama mimi.

Hata majina yao tu yanasadifu.
Hayajali Dini .. Yenyewe yanatafuta tu mahali pa Kukaa maana Bila Mwili hayaishi

Kwahiyo YAKIKUKUTA ni mchafu na Mdhambi yanakuingia ili yatimize Majukumu yao zaidi
 
Back
Top Bottom